Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,555
- 17,947
Wabongo mnatisha kwa kujua life za watu
Na ndio kilichobaki!
Wabongo mnatisha kwa kujua life za watu
Mr Ebbo alisema,ONGEA NAYE MPAKA MWISHO NI 500/=safi sana mkuu Washawasha anatumia falsafa yangu ya:
"Usione samaki mkubwa ukaogopa, uliza bei"
huyu mwanamama anapiga sana mizinga?ha ha ha mizinga hio uwiiiii!
Hakuna mwanamke mbaya duniani ila wapo ambao hawatunzwi vizuri,wewe ndiye ambaye hujui kumtunza,mpendezeshe huyo my girlfriend wako,halafu utakuja kuniambia.Jamani huyu dada alivyo mzuri ....yaani demu wangu namuona kama Dr Remmy Ongala! najiona sina bahati kabisa!
Jamani huyu dada alivyo mzuri ....yaani demu wangu namuona kama Dr Remmy Ongala! najiona sina bahati kabisa!
Too much make up na huu wanja wa sina bwana siupendii...Sijui wadada wanaupendea nini hata haupendezi wallahi!!Why does anyone need false lashes? atleast zikaribie reality basi...hapo kila mtu anajua kabandika makopeee:confused2:
kijijini ni tabia mjini ni sura.Uzuri wa mke si sura ni tabia, mmesahau huu usemi au?
Too much make up na huu wanja wa sina bwana siupendii...Sijui wadada wanaupendea nini hata haupendezi wallahi!!Why does anyone need false lashes? atleast zikaribie reality basi...hapo kila mtu anajua kabandika makopeee:confused2:
kijijini ni tabia mjini ni sura.
Nalog off
ungefanyaje?
sijaelewa wadau, ina maana biashara ya porb movie hii ni nani au yule yule aliye kwenye thread?
Jamani huyu dada alivyo mzuri ....yaani demu wangu namuona kama Dr Remmy Ongala! najiona sina bahati kabisa!
Yule Ida au?sio huyo aliye kwenye thread...ni huyo mwingine pic yake
ilowekwa tena......sijui umeelewa sasa
Na huyu pia Mbongo mwenzetu anaitwa Ida, unamuonaje?
![]()
umeona eeehh?noumer thana aisee
Hapana chezeiya watu walioumbwa early monday morning!! Simply beautiful, looool!