Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Ni kwamba upo sedated mpaka mida hii au nn mamii!??
hilo neno limenifanya niende kuangalia kwenye dictionary yangu
Ni kwamba upo sedated mpaka mida hii au nn mamii!??
ungefanyaje?
Last time I saw her was in California she working for Playboy.
you can Google Ida Ljungqvist
ungefanyaje?
![]()
ni Mcuteeee
Usisahau pia na vipodozi vimechangia...hapo huenda ana faundesheni kama nne hivi
Last time I saw her was in California she working for Playboy.
you can Google Ida Ljungqvist
Usisahau pia na vipodozi vimechangia...hapo huenda ana faundesheni kama nne hivi
Na huyu pia Mbongo mwenzetu anaitwa Ida, unamuonaje?
![]()
Ni wa bongo movie?
mkuu alikua deported baada ya kupiga mipunga flani hivi ye na bwana wake Richard Mziray ndio wakarudi bongo kuseto na kufunga ndoa. Saivi wanaishi Mbezi Beach huku.Hapana mkuu...huyo dada anaishi mbele huko (USA) na shughuli zake anafanya huko huko ingawaje hapa Bongo huwa anakuja kufanya fujo kidogo...
kabisa aisee, bongo kuna vipusa asikwambie mtukwa kweli watoto wako bomba jamani ni bora wangekuwa wanapelekwa miss world kuliko hao wanaoendaga