Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,519
- 7,287
mkuu alikua deported baada ya kupiga mipunga flani hivi ye na bwana wake Richard Mziray ndio wakarudi bongo kuseto na kufunga ndoa. Saivi wanaishi Mbezi Beach huku.
Na huyu pia Mbongo mwenzetu anaitwa Ida, unamuonaje?
![]()
Too much make up na huu wanja wa sina bwana siupendii...Sijui wadada wanaupendea nini hata haupendezi wallahi!!Why does anyone need false lashes? atleast zikaribie reality basi...hapo kila mtu anajua kabandika makopeee:confused2:Wema sepe...
![]()
kumbe ndivyo ilivyo?
Nalog off
Too much make up na huu wanja wa sina bwana siupendii...Sijui wadada wanaupendea nini hata haupendezi wallahi!!Why does anyone need false lashes? atleast zikaribie reality basi...hapo kila mtu anajua kabandika makopeee:confused2:
Na huyu pia Mbongo mwenzetu anaitwa Ida, unamuonaje?
![]()
kuna watu wamependelewa
aisee nadhani kama tabia inaendana na sura yake itakuwa bonge la mrembo
kweli hawamuwezi.Ndio siri ya mchezo.
aisee huyu dada nampenda sana nikirudi lazima nimtafute japo kwa siku moja.Wema sepe...
![]()
hahahaha kha! ina maana huu ni mlupo? kitu kikali kiko wapi?Kijana after kupiga box unaenda kumalizia visenti vyako kwa huyo mlupo
Unataka kuniambia upo ulipo hamna wachumba was maana