Blockchain
JF-Expert Member
- Feb 27, 2026
- 950
- 2,644
πππ kwamna napenda hela kuliko utamu auHuyo hiyo ela kaa kushoto!
Freelancer!?πView attachment 3580127
Na wote tuseme tawileFreelancer!?πView attachment 3580127
Huna hiyo ela kijana, na ulishawamaliza mishangazi humu wewe tapeliπ«’πππ kwamna napenda hela kuliko utamu au
Ni kipata wa hivi na log out JeyihefuKama ingewezekana kupeana location hapa JF ingekuwa poa sanaπ hii weather hata wao inawakula na wanatamani joto la mchanaView attachment 3580129
Mbona location zinatumikaKama ingewezekana kupeana location hapa JF ingekuwa poa sanaπ hii weather hata wao inawakula na wanatamani joto la mchanaView attachment 3580129
Elites ni mimi na Mshana Jr peke yetu, hakuna list π πHebu weka hiyo list ya hao JF Elites hapa, na utaje wao ni elites kwenye maeneo (fields or niches) yapi.? ππ½
π΅π£πΆπ
ππππ Una maanisha mishangazi ya humu hata kama huna hela unaila tuu eeh ...Kweli atukanae watu hachagui tusi.. mishangazi ikufikie aiseeHuna hiyo ela kijana, na ulishawamaliza mishangazi humu wewe tapeliπ«’
DahπππNa wazazi hadi askariπ€£View attachment 3580130
We jizime data na unaongiza kwa kuwapitia kimasihara kweliπππππ Una maanisha mishangazi ya humu hata kama huna hela unaila tuu eeh ...Kweli atukanae watu hachagui tusi.. mishangazi ikufikie aisee
ππ najua shida yako kikongwe wa buza akufikie.. na mie sikai kwenye hiyo equestion walahiiiWe jizime data na unaongiza kwa kuwapitia kimasihara kweliπ
Hiyo comb ndio ikakufanya uruke judo. Usiwaze dudu wala mendeππ₯Na wazazi hadi askariπ€£View attachment 3580130
Wewe tenaSpecial cycle 2 where I belong. No matter what no matter whyβ€β€ππ€View attachment 3580105
πππ hili mambo yetu yale
Hilo PDF lako tunalokukusanyia litakua na page 100 kidogo πππNa wazazi hadi askariπ€£View attachment 3580130
Umemuonja nani πIla kuna watu ni watamu humu ndaniππΏππΏππΏππΏπ