Baada ya kufuatilia mjadala kwa muda mrefu, naona dogo unaweza. Una umri mzuri wa kujifunza na kufanya mengi kwenye cyber security. Mimi natafuta team kwa ajili ya CTF, lakini kwa sasa sina nafasi nzuri. Nitakutafuta baada ya 7 months. Do you mind?Wabongo wanaona hacking ni kama muujiza hvi.Eti inachukua miaka mingi Mara oooh zim master algorithms hahaha bullshit za wanafunzi wa CS ma vyuoni(wenye IQ ndogo).Kwahyo mnataka kutuambia kuwa ukimaster quick sort algorithim au greedy algorithim unakuwa hacker ? Mara kasome calculus linear differentiation what the **** hahaha Kuna uhusiano gani wa ku take advantage return to libc kwenye program execution na derivatives ?Naona Kuna mwanachuo mmoja humu ndani anajiita Graph anatutajia syllabus yake ya computer science chuoni .Shit bora hata ungesema kasomeni discrete mathematics kitu kama logic particularly predicative logic ambayo iko fundamental hadi kwenye malware.discrete probability maybe ukiwa unataka uchunguze collisions za kwenye encryption schemes but for real calculus??Hahah nimetumia metasploit na cjwahi ona derivatives kwenye zle Ruby exploits.Cjui wewe nani kakuambia kuwa calculus inakufanya uwe hacker lecture wako yule babu itakuwa.People we need change aisee we need people who can hack na cyo watu wakutoa ushauri wa jinsi ya ku hack.
Usisikilize ushauri wa wabongo(most of them hawajawahi hack na wana IQ ndogo).Wengine wanakushauri Lakini hata hawajawahi ona exploit.Wengine wanawaita wenzao script kiddies Lakini ukiwaletea exploit hawawezi isoma na kuielewa. Probably hawajawahi hata tengeneza.Na Wengine wanaongea sana kwenye forums za jf.System bongo zinaonekana secured kwasababu hazijapata fanatics kama wakina anonymous.We need to change people.Tunahitaji watu wanajua kufungua reverse TCP shells na ku escalate privileges,Tunahitaji watu wanajua reverse dlls na cyo wanafunzi wa computer science ma vyouni ambao hawajawahi hata hack wanajua definition tu na wanasoma hacking stories kwenye websites.
Alf by the way humu jf hamna hackers njooni kwenye forums hapo chini muone watu wanavyotengeneza malware.Njooni humo muone botnet admins na cyo wanafunzi wa chuo waliojifunza darasani definition yake darasani wakaenda kitaa kuanza jitangaza mafundi.
Have a nice day.
https://hackforums.net
Kwenye hii fani mi Mgeni kabisa na nina interest nayo. Tegemeo langu ni kujifunza kutoka kwenu sasa nilipooona matusi nikawa disappointed mkuu.Ethics politics blah blah blah ahsante kwa ushauri wako.Ila nini toa news baadala ya ushauri wa kimaadili
ucwaze bro matusi convo ilikuwa heated up to.jioni ntapost kitabu cha grey ethical hacking kwa beginner wote.hope mtajifuunzaKwenye hii fani mi Mgeni kabisa na nina interest nayo. Tegemeo langu ni kujifunza kutoka kwenu sasa nilipooona matusi nikawa disappointed mkuu.
Anytime bro events za capture za flag haziwezi puuziwa.Baada ya kufuatilia mjadala kwa muda mrefu, naona dogo unaweza. Una umri mzuri wa kujifunza na kufanya mengi kwenye cyber security. Mimi natafuta team kwa ajili ya CTF, lakini kwa sasa sina nafasi nzuri. Nitakutafuta baada ya 7 months. Do you mind?
Ivi wadau mliosoma web programming JF kweli haina vulnerabilities yoyote maana na uchu nayo kinoma
Kwamfano nataka kuhack hizi social network acc...fb ...insta... Kuna ulazima wa kuwa na knowlge kubwa kene haya ma-programing language?[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Hackers stole $800,000 from ATMs using Fileless Malware
Na hacker wa kibongo naombeni mjifunze toka kwa wa Russia aisee maana wako over technical
Ni pm I have a job for you.Bro am not a web developer.The only reason nimejifunza hzo language ni ili ku identify vulnerabilities tu.Mengine kwangu sina interest
USA ana hela ila in terms of skills Russia,Israel,China wanatisha sana
Sanaa mkuu,mm ni mdau wa huu uzi but still kuna utofaut nimeuona kwa huyu mdau coz keshanitengenezea mdudu flan namtumia huku big upBaada ya kufuatilia mjadala kwa muda mrefu, naona dogo unaweza. Una umri mzuri wa kujifunza na kufanya mengi kwenye cyber security. Mimi natafuta team kwa ajili ya CTF, lakini kwa sasa sina nafasi nzuri. Nitakutafuta baada ya 7 months. Do you mind?
Poa endelea kujinoa, nikiwa tayari nitakutafuta.Sanaa mkuu,mm ni mdau wa huu uzi but still kuna utofaut nimeuona kwa huyu mdau coz keshanitengenezea mdudu flan namtumia huku big up