Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
ningependa kufahamishwa namna ya kuficha my ip address, naamini hilindio jambo la msingi kabla ya mengine kufuata.......
ningependa kufahamishwa namna ya kuficha my ip address, naamini hilindio jambo la msingi kabla ya mengine kufuata.......
Kwny PC mkuuKwenye simu au PC bro ?The best anonymization nayoijua Mimi ni Tor.It encrypts your communications and bounces them through a series of relays.Very effective.Ila browsing habit nazo utahitaji Uzi change ili anonymization ya TOR ikae vzuri
Kwa watu Wote ambao wako interested Na virus,worm Trojans AndroidRAT, botnets,ransomware Na all in all cyber security waweza changia lolote ulilonalo hapa ndani tuka discuss Na kujadili
Kuna two possible scenarios hapo.If we create an IT environment with aware security and full implementation then we can save a lot of cash lost due to cyber attacks.If we fail in proper implementation tutapoteza Ela Sana na haita attract investors wowoteWhat is the fate of IT industry in Tanzania as far as cyber security is concerned?
Tumia TOR bro.Iko vizuri Sana kwa anonymization.Kwny PC mkuu
Hii TOR n browser ama n kitu gan hk.....??Tumia TOR bro.Iko vizuri Sana kwa anonymization.
Wanazidi wale wa USA?Hackers stole $800,000 from ATMs using Fileless Malware
Na hacker wa kibongo naombeni mjifunze toka kwa wa Russia aisee maana wako over technical
WA USA gani hao ?Wanazidi wale wa USA?
Hii ni thread kwa ajili ya ku post Link za latest Best Hacks,kutoka katika tovuti maarufu kwa habari hizo,ambazo wamefanya wenzetu na kubaki kuzi appreciate tu.Mi nilijua thread hii imeanzishwa kwa lengo la kujifunza kumbe na matusi juu. Tujaribu basis kuweka heshima kwa wazazi wetu jamani. Kama lengo ni kujifunza tujikite katika kujifunza na kushauriana
Ethics politics blah blah blah ahsante kwa ushauri wako.Ila nini toa news baadala ya ushauri wa kimaadiliMi nilijua thread hii imeanzishwa kwa lengo la kujifunza kumbe na matusi juu. Tujaribu basis kuweka heshima kwa wazazi wetu jamani. Kama lengo ni kujifunza tujikite katika kujifunza na kushauriana