Hivi wamiliki hawakukubali wanafunz kulipa 200/-?Na je hawajui kuwa wanafunz wananyanyaswa na makondakta?
Wanaolipwa 500,000 ni walimu wa daraja au level ipi na wanaolipwa 300,000 ni daraja au level ipi mintaarafu ya utafiti ulioutaja??Waliowengi wapo kwenye 500,000 na 300,000 hivyo nimechukulia hiyo kama average, japo wapo wanaopata zaidi ya 500,000, lakini kwa mujibu wa utafiti uliofanyika wakati fulani ilionekana scales zao zina-range hapo
Kwani askari wasiolipa nauli hawana mishahara??Mkuu, jambo hili lipo kisiasa zaidi. Huyo DC ana mkubwa wake ambaye ni RC! Jambo hili nadhani lingepelekwa kwa RC lingekwama. Licha ya kuwadhalilisha walimu wa Dar pia litapunguza malipo ya kodi toka kwa wamiliki wa magari. Halafu haiingii akilini kwa mtoto ambae mzazi wake hana uwezo wa michango anamtafutia nauli ya basi huku mwl anaelipwa mshahara eti anasafiri bure!
Wanaolipwa 500,000 ni walimu wa daraja au level ipi na wanaolipwa 300,000 ni daraja au level ipi mintaarafu ya utafiti ulioutaja??
Sawa kabisa mbona hospitali binafsi kama Agakhan wanawezamimi naona afadhali angefanya utaratibu wa kununua STAFF BUSES... Mbona wanajeshi asa hivi wana "military buses"
Lengo lake linaweza likawa zuri ila idea yake ya kufanikisha ilo lengo ndo utata unaazia apo....
Alaf ingekua poa zaidi kama ayo mabasi yanakua STAFF kwa wafanyakazi wa Manispaa nzima... inawezekana kabisa kufanikisha ilo jambo!!
umeona eh, zero brain kama hawa kule lumumba vitamin ya chamaWatu kama nyie ni Chakula Bora ya ccm
Watumishi wote wa umma wapande bure maana wote ni watoto wa baba mmojaIdara ya Mahakama imeweka mabasi makubwa aina ya TATA,kwa ajili ya watumish,kuna ya route ya Tegeta,Mbezi ya Kimara,Mbagala na kwingineko.Walimu,WAPANDE BURE
Mkoba amesema ukweli tusubili ni suala la muda tutaona mapungufu katika jambo hili ambalo walimu wenyewe hawajahusishwaMkoba anataka sifa na si kingine
mkuu lakini walimu wenyewe nao wanaponda hio issue ya makonda,wao wanataka walipwe malimbikzo na stahiki zao na c kuwazuga na issue ya nauli kwakuwa hamna aliewah lalamka kuwa anashindwa kwenda shule kwakuwa anakosa nauliYeye Mkoba hajui shida za walimu badala ya kushukuru yeye anaanza kulaumu ,nia apate ujiko kuwa alishiriki kufanikisha hilo jambo,huo ni wivu wa kike,jeyeye na chama chake ni kipi wamefanya kusaidia waalimu kuondokana adha ya maisha duni na tabuwanazopata kila siku
kweli mkuu....wawalipe madai yao na sio kuwambia waapande bure bhana aibu gani hiii!!!!Walimu sio omba omba bana..... walipwe madai yao na wawezeshwe kupewa nauli.... utaratibu huu ni wa kuwadhalilisha walimu wetu wapendwa .... wakati wanafunzi wanalipa nauli walimu wasafiri bure kweli???? Hapana hatujafikia hapo......
watu wanaumiza vichwa kufanya ubunifu ili waonekane na magufuri wanafanya kaziMwenyekiti wa chama cha walimu Tanzania G. Mkoba amesema haoni kama ni sahihi kwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni kuingia kwenye makubaliano na wenye mabasi ya daladala ya kuwasafirisha walimu bure bila kuwashirikisha walimu wenyewe, hivyo ameshauri kuwa ni vizuri mambo yanayowahusu waalimu yakawa yanawashirikisha walimu.
Chanzo: Clouds tv
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwiwatu wanaumiza vichwa kufanya ubunifu ili waonekane na magufuri wanafanya kazi
Hivi kwa mfano mwalimu anapanda gari.na mwanafunzi wake halafu mwalimu anaambiwa kusimama ili mwanafunzi aliye lipa sh 200 akae.utafurahia? Wazo ni zuri.ili njia sio sahihi....wanatakiwa kuweka transport allowance kwa walimu wote wala sio kuwa wapatia usafiri wale wa mjini....hizi bure zina zalilisha ndugu. Ukitaka kukosana na mzungu mwambie una mpatia kitu fulani bureWatu wakipewa ahueni ya maisha bado watalalamika
Vp kuhusu mwenye degree??Katika 500K wengi ni Diploma holders waliokuwa wameajiriwa miaka ya 2009 kama sijakosea sana na wenye 300K ni wale ngazi ya cheti (Grade A)
Vp kuhusu mwenye degree??
Nasikitika kukwambia hakuna mwalimu anayelipwa mshahara wa 300,000!
Wenye certificate (daraja la IIIA) mshahara wao ni mkubwa zaidi ya 300,000 (400,000+)
Aidha, walimu wenye diploma waliojiriwa 2009 kama walifanikiwa kupandishwa madaraja kwa wakati muafaka, mshahara wao ni zaidi ya hiyo 500,000 uliyoisema wewe!!
Mwalimu mwenye diploma anayeaajiriwa leo mshahara wake ni 500,000+
Nadhani unazungumzia viwango vya mishahara vya miaka ya nyuma, Rejea waraka wa mishahara mipya Kuanzia July 2015 ndugu,
Mwalimu yupi unaemzungumzia kupokea tsh.336000 kwa mwez baada ya makato
Kwa siku Mwalimu analipa shilingi 1200 kwenda na kurudi kazini, kwa wiki analipa 1,200 X 5 = 6,000, kwa mwezi analipa shilingi 6,000 X 4 = 24,000 (usafiri wa daladala)
Kama Mwalimu huyo anatoka mbali na kilipo kituo cha daladala basi atalipia bodaboda si chini ya shilingi 2,000 kwa siku (kwenda na kurudi) = shilingi 10,000 kwa wiki, = shilingi 40,000 kwa mwezi
Ukijumlisha na nauli ya daladala kwa mwezi unakuta mwalimu huyo analipa nauli ya shilingi (24,000 + 40,000) = shilingi 64,000
Ukiangalia mshahara wake kwa mwezi ni shilingi 400,000
Ukitoa kodi na makato mengine anabaki na take home ya kama shilingi 336,000
akilipa kodi ya nyumba, umeme, maji chakula nk Mwalimu huyo anakuwa na negative income, ndiyo maana wameamua kumpunguzia maumivu kwa ku subsidize nauli
Mwalimu yupi unaemzungumzia kupokea tsh.336000 kwa mwez baada ya makato
Tena wakithubutu kuruhusu walimu kisafiri bure haki ya mama walahi nawachongeshea vitambulisho ndugu zangu woteMwenyekiti wa chama cha walimu Tanzania G. Mkoba amesema haoni kama ni sahihi kwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni kuingia kwenye makubaliano na wenye mabasi ya daladala ya kuwasafirisha walimu bure bila kuwashirikisha walimu wenyewe, hivyo ameshauri kuwa ni vizuri mambo yanayowahusu waalimu yakawa yanawashirikisha walimu.
Chanzo: Clouds tv
Nasikitika kukwambia hakuna mwalimu anayelipwa mshahara wa 300,000