CWT wameishiwa ubunifu, Mei Mosi kuvaa sare inayoendana na ya TLP

Mzazi anamponda mwalimu kwa Ni failure ana mdharau kweli kweli

Halafu anampeleka mwanae akafundishwe na Huyo huyo mwalimu

Sasa unadhani Kati ya mzazi na mwalimu Nani Ni kilaza ?

Si angempeleka kwa mainjinia au madaktari wamfundishe Hadi chekechekea Hadi chuo kikuu.

Au amfundishe nyumbani kwake.

U can't be serious walimu wanastahili heshima pia nyie msiwadharau wale watu .

Halafu baadae mwanao akipata one au two unaniona kichwa kumbe kuna watu walifanya bidii nyuma ya hio one two.

Upumbavu Ni kipaji
 
U can't be serious walimu wanastahili heshima pia nyie msiwadharau wale watu .
Nani kasema hawastahili heshima? Wanastahili heshima kama yeyote navyostahili heshima, lkn ukweli unabaki kuwa ONE na TWO huwezi kuzikuta kwenye ualimu, hoja yangu ni hiyo!
 
Wabunge bhana
 
Nani kasema hawastahili heshima? Wanastahili heshima kama yeyote navyostahili heshima, lkn ukweli unabaki kuwa ONE na TWO huwezi kuzikuta kwenye ualimu, hoja yangu ni hiyo!
Nina marafiki kibao Wana one na two wako kwenye ualimu

Wengine wako kwenye hio fani sababu ya changamoto za ajira walifocus wakaona hawana pakutokea hawana mjomba wa kuwashika ndio wakaelekea huko

Kama hujawaona Ni kwenye cycle yako Ila Mimi nawajua kibao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…