Bhugotabhululu
Member
- Mar 29, 2013
- 82
- 25
hiyo bei ya kiwanja labda uende Nkasi lakini humu mijini viwanja bei mbaya saana bado miundombinu ya barabara, maji na umeme kumbuka hawa NHC hawanunui viwanja ambavyo ni serviced wananununua plot maeneo makubwa na kupanga miji wenyewe kwa kushirikiana na halmashauriBei ya kiwanja cha serikali haizidi 1.5 Mil lakini makampuni yananunua na kuuza 10 Mil. NHC inauzwa nyumba 50 Mil kwa mshahara upi? Nyumba ya 15 Mil wao wauza 50 Mil, je 50 Mil ni being rahisi kwa mtanzania.