Cv za wake za watu!

Cv za wake za watu!

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,300
Asilimia 90 ya CURRICULUM VITAE za wake za watu wanao omba kazi kwenye kampuni na mashirika mbalimbali , kwenye sehemu ya MARITAL STATUS zao wameandika wapo SINGLE.. Ukifundua mke wako ameandika yupo Single kwenye CV yake utachukuliaje hiyo?
 
Inawezekana aliandika CV zamani kabla sijamuoa na hivyo akasahau ku-update CV yake.
 
Hivi kama mnaishi bila makaratasi nayo unajaza married? Huchelewi barabarani kutangazwa kuwa...siyo kweli bwana,.... yule sijamuoa bwana, tunaishi tu pamoja!
 
Inawezekana hayo makampuni yana ukiritimba wa kuajiri walioolewa....hata kama mimi ningemshauri wife aondoe hicho kipengele kwenye CV ila kibaki moyoni mwake...Ni kama kufikiri pete ya ndoa inamchunga mke/mme, ni kujiloga mwenyewe.
 
Ndio hivyo, mwanamke anapenda ndoa yake lazima abadili CV, IMO

Yesuuu na Maria..... halafu baada ya hapo unapita majiani kulalama kuhusu rushwa ya ngono wakati mwenyewe umejiwekea ''meridi bati availebo''.
 
Asilimia 90 ya CURRICULUM VITAE za wake za watu wanao omba kazi kwenye kampuni na mashirika mbalimbali , kwenye sehemu ya MARITAL STATUS zao wameandika wapo SINGLE.. Ukifundua mke wako ameandika yupo Single kwenye CV yake utachukuliaje hiyo?

Marital status kwenye resume inayotumiwa kuombea kazi inahusu nini?

Mambo mengine bana...
 
Unampa taarifa kuwa unataka kuoa, yeye aendelee kuwa singo mwenyewe!!
 
Asilimia 90 ya CURRICULUM VITAE za wake za watu wanao omba kazi kwenye kampuni na mashirika mbalimbali , kwenye sehemu ya MARITAL STATUS zao wameandika wapo SINGLE..

Huenda kuna ukweli ila ulipohusisha takwimu tu nimeingiwa na kutokuamini...
 
Ili wajue kama ni medical, itakava wangapi.... usijitoe akili banaa...

What the hell are you talking about?

Ni kampuni gani hizo ambazo huomba marital status kwenye resume ya muomba kazi?

Lazima vitakuwa ni hivyo vikampuni vyenu mbuzi na vya kijinga huko tambuka reli kwa sababu hakuna kampuni ya maana inayoweza kumuomba mtu habari ambazo hazihusiani kabisa na kazi aitakayo.

Na kama unazungumzia medical benefits, huo ni uamuzi wa mwajiriwa kuhusu nani amweke kwenye list ya covered dependents wake na nani asimweke.

It's just so stupid. Honestly, one of the most stupidest thing I've ever heard.
 
Halafu nyie watu mmefundishwa wapi kuandika hizo resumes ambazo mnaweka marital au relationship status zenu?

That's just so unprofessional.
Kiranga come see this foolishness.
 
Last edited by a moderator:
Halafu nyie watu mmefundishwa wapi kuandika hizo resumes ambazo mnaweka marital au relationship status zenu?

That's just so unprofessional.
Kiranga come see this foolishness.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom