Cv za wabunge viti maalum chadema;- sabrina mrasi sungura .

Status
Not open for further replies.
You are getting me wrong son, I said suppose it is true. I meant you didn't come up with anything tangible to drill your point home! Go home and do your home work, son!
 
Naomba kuuliza, kwani CV ya mtu ndiyo inafanya kazi? Au kuwa na CV nzuri ndo kunakupa ccredit kuwa ww ni mzuri sana kaika uwajibikaji.

Msaad please, connection kati ya CV na tabia ya mtu inakujaje?
 

mi nadhani tuanzie kwako, tujuze CV yako
 

kwa jinsi alivo mkar, nahisi uliingia kichwa kichwa ukala za uso, sasa unatafuta sympathy JF
 

Kumbe kuna Zanzibar University, Inatoa nini yaani degree au? Kuna wapambanaji wengine wanataka kuja huko.
Ila nahisi ulinyang'anywa. Punguza munkari.
 
s
wali.
mchango wa sungura katika mageuzi ya tanzania ni yepi?. au uanamke wake?.
 

Wewe ndo janga la kitaifa, halafu muongo sana! Wabunge wa chadema karibia wote huwa wanachangia bungeni, wewe una yako!
 
Kumbe kuna Zanzibar University, Inatoa nini yaani degree au? Kuna wapambanaji wengine wanataka kuja huko.
Ila nahisi ulinyang'anywa. Punguza munkari.
ndio maana le baharia le mutuz alilalamikia wabunge wa chadema kuchukua rushwa humu. alimficha tu... NI SABRINA SUNGURA BANA..
 
Hindra gandhi, Ha n sa su chi, raisi wa malawi. Msiwadhalilishe wanawake. Wanaweza kupambana. Unakumbuka mabodiguard wa Gadafi.
 
Angalia kwenye website ya Bunge. Japo hajaongea kuchangia mada lakini michango yake kwa maandishi ni mingi Kulinganisha hata na EL. Nisichojua ni kuwa aliandika nini.
sasa miaka 2 bungeni unachangia mara 14 halafu unajivunia?...kaangalie kwa kamanda mnyika ama halima mdee sasa utalipata jibu...
 
Aisee kazi ipo,na hawa ndo wapewe dola 2015,hata maadili hawana,huyo komu hajaoa?
ameoa na ana mke mzuri kama mtutsi na anwatoto wawili mmoja anaitwa uchaguzi ..basi tu laana za dunia
 

Nadhani una lako jambo against her.

Dada CV sio uwezo, ni SIFA
May be due to some circumstances beyond her control, she did not have the access to opportunities you had - like higher Education.
Usishushe hadhi ya wanawake wenzio. This is obvious and full expression and demonstration of ENVY
 
Dada kwa hoja yako nadhani Chama kitajiangalia na wanachama wataamka kuona kama kuna aina yoyote ya mambo kutoenda vizuri kwa wabunge hawa wa viti maalum. Si issue kuwepo kwao ila wamepatikanaje, kwa sifa zipi zenye maslahi kwa uhai wa chama 100-500 years to come? siyo wawekwe tu kwa kufurahisha wau fulani ndani ya chama.
Pia kwa wote wanao-attack hoja ya INNO nadhani watulize vichwa na kuatafakari nini anajaribu kulenga katika hoja yake!!!
Mawazo kama haya yakiachwa yayeyuke na kuonekana kama ni majungu yatakuwa mwiba baadaye kwa chama zaidi ya wabunge wenyewe watakavyokuwa mwiba na mizigo kwa chama hapo baadaye. Ni nadra sana kupata mawazo mbadala kama haya.
Kwa wenzetu magamba ndo kuna majungu, CDM ni ukweli na haki ahata pale maslahi ya mtu yanapohatarishwa haki lazima isimame na ukweli.
Nasema ASANTE dada INNO kwa hoja yako mabadala.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…