CV ya William Lukuvi

Status
Not open for further replies.
Mwaka 2011 kwenye mahafali ya chuo kikuu huria cha tanzania alipata ma(political science)
 
Katika CV yake haionyeshi wapi alihitimu elimu ya sekondari, inawezekanaje mtu aanze na vyuo bila msingi wa elimu za awali kama shule za msingi na sekondari?

Kuna dalili ya kutumia vyeti feki na uchakachuaji wa hali ya juu ambao ameuficha. Hawa ukitaka kuwapima jaribu kugusa kimombo "whats up man!" utamwona na jibu la yes! yes sir!

Tunahitaji mtu wa kujitole kufuatilia wongo wa CV ya Lukuvi kama amedanganya Taifa na wapiga kura wake afunguliwe mashtaka kama ilivyotokea kwa Kihiyo.
 
Kainerugaba MsemakweliKatika kitabu chake;"Orodha ya Mafisadi wa Elumu", Toleo la kwanza, 2009, anasema yafuatayo:
"Taarifa za kweli ni kwamba baada ya kumaliza elimu ya msingi, mwaka 1975 MHESHIMIWA WILLIAM LUKUVI alienda kusomea ualimu wa shule za msingi katika chuo cha ualimu - Tabara. Mwaka 1980 kwa siku chache alienda Iringa kujifunza maswala ya usalama wa taifa. Mwaka 1985 alienda Moscow - Urusi kujifunza siasa kwa miezi michache" (uk.7)

Kainerugaba anaendelea kusema kuwa; "...MHESHIMIWA WILLIAM LUKUVI hajawahi kusomea Digrii hiyo ya Maswala ya Kimataifa ya Diplomasia."(uk.7)

Hakuna haja ya kuhangaika kutaka kujua kama William Lukuvi aliweza kusoma na kufikia viwango alivyofikia. Huyo Lukuvi hajawahi kumshtak huyo mwandishi aliandika kuhusu ufisadi wake katika kitabu.
 
Mbona wa hivyo wengi tu,wengine ni wazazi wetu na wako kwenye system natamani watajwe maana ninavyohangaika kuipata hiyo Bachelor alafu watu wengine wanapewa kienyeji!
 

Mambo yale yale ya Pacific Western University
 
Standard 7.
Alikuwa mwalimu wa upe na kada wa magamba kwa muda mrefu.
Anapenda kupita mitaa ya IFM na benz yake, akiwa kwenye mawindo ya totoz.
Yeye na mzee wa short gun, mapete na masimu ya 7mil, hawatofautiani sana...

Mmh! Hizi data sio mchezo.
 
huyu jamaa ni hewa,o level atakuwa alifeli na a level hajakanyaga.
Alafu kakusanya certificate kibao ambazo hata TCU hawazitambui,then katoboa BA,inachekesha hii.

Anko wako nini mkuu, mbona unampa promo, huyu ni mwalimu wa UPE that justify that jamaa ni Standard Seven graduate a.k.a LY
 
UN acredited university.......kazi ipo tena bado ana survive.
 
[h=3]Washington International University[/h]
A non-traditional, distance learning university, with no classroom attendance required. Offers Bachelor, Master and Doctor of Philosophy degree programs in Business, Liberal

Nimeona kwenye cv yake kwamba ana degree toka hicho chuo hapo juu. Kama ni kweli hiyo cv ni yake basi ni mhuni. Hicho chuo kikupa degree, uwezi kwenda chuo kingine ukapewa hata admission ya diploma kwa kutumia cheti hiki.

Ni uhuni kwa mtu kuweka hiyo sifa kwenye cv yake. Yeye akija USA basi atembelee hawa wajasiriamali aone hicho chuo na atafuta hiyo cv right away.
 
Shame on us, tunawezaje kuwa na watu tunaotegemea katika karne hii watoe maamuzi mazito, wafikiri 'vissionary' kwa ajili ya taifa na wabishane na watu wengine ambao wanataka kuchota toka kwetu hali uwezo wao ukiwa jinsi ulivyo. Tunajua kuna karama, lakini kwa bahati hata karama hazipo kwa ndugu huyu, inapaswa haya yakemewa na wajue hatuko tayari kuwatosa vijana wasomi ili kutoa nafasi kwa ---* Mr. Yes nafikiri ni sawa, naomba mwongozo.'---'
 
Nakumbuka alipokuwa UVCCM yeye na wenzake (sikumbuki majina yao), walikuwa wasimamizi wakuu wa Mradi wa Mabasi ya wanafunzi ambao haukudumu na ukawafia. Yasemekana walichakachua mapato!
 
- Duh! hii CV ni safi sana kuliko wengine wengi huko bungeni ambao hatutaki kuwasema hapa, maana tukidai zao itakwua kiama hapa, binafsi I am impressed na hii CV kumbe ana elimu kubwa tu, saafi sana!

- Jamani siasa za siku hizi ni muhimu sana kuchambua kwa Comparative, yaani unaonyesha CV ya Upinzani iliyo sawa unalinganisha na mtu wa CCM mwenye hadhi kama yake huko upande wa pili, na mnajua nani huko upande wa pili anakaribia wadhifa na Waziri Lukuvi, so mlete zote tuone mpunga na mchelle ulipo, au?

- Otherwise, inakuwa unbalanced analysis!


William.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ