Du CV kurasa 40. Hapa sasa ndio napata picha ya wapi tunakwenda. Unajua mtu akishakosa kujiamini ni tatizo sana. Mara nyingi huwa mtu anaanza kujikingia kifua na Elimu yake au Utajiri wake yote huwa ni mwanzao wa kufilisika. Take an example of what's happening to Chemba na Werema.