Cv ya Werema kweli ndo umlinganishe na Prof Issa Shivji? Kwa masters ya Online

E bhana! Nimesoma CV ya prof. Shivji hadi najihisi kuchanganyikiwa!
CV ya Werema haikunishtua kabisa kwani ni mtu wa kawaida mno!
 
JK amejiharibu, angezama vyuo vikuu akaiba majembe haya yakakarabati hii nchi!!!

Fikiria huyu angekua AG, ingekuwaje??

Namfahamu Dr. Waguru Magigi, kijana hatari yuko SUA ( MUCCoBS)....... Huuu ni upangaaaaaa

Dr. Kitila

Tatizo lenu mnafikiri CV ndio zinafanya kazi.
 
c.v unaisoma mpk unajiuliza maswali huyu jamaa acha awe prof, hv hizi c.v za wabunge na hawa wengine mbona uwa sizielewi? Zinachanganya kweli, kwa hili werema ajifikirie usije ukawa ugonjwa wa kuropoka tu, amuombe radhi prof maana hamfikii hata kidogo.
 
Asante Mkuu! MImi nakuja na observation nyingine nilipoangalia CV hii.Je ni sahihi kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwa na Chama? Je anaweza kutendea haki watu husika? Au ndo kifungu kinachtaka mgombea kuwa na chama. Lakini yeye kama mwanasheria hagombei kupewa cheo hicho...au criteria za rais kumteua mwanasheria mkuu mojawapo ni lazima awe mwanachama? Vipi endapo kuna watu wenye competencies za kutosha lakini hawana political orientation yoyote na si wanachama wa chama chochote, lakini ni wasomi wazuri wa sheria, wazalendo na wenye track record nzuri zilizo-outstanding?

BUBE, Mbona kwa Tanzania kila kitu kinawezekana! Wakuu wa Mikoa ni makada wa chama,
Wakuu wa Wilaya ni makada wa chama, Makatibu Wakuu makada, Maafisa wa Polisi akiwemo
IGP ni makada, Wanajeshi ni makada, na hata Wakurugenzi wa Taasisi. Ndiyo maana wanailinda
CCM kwa nguvu zote maana ikipotea na wao kibarua kimeota nyasi!
mbalimbali ni makada
 
CV ya Issa Shivji inatisha!
Sio CV tu bali nimuelewa na Mshauri wa sheria aliyebobea.Wakati ana master ndiyo kwanza huyo werema yupo shule ya msingi hata kwa umri ni baba na mwanae.Machapisho,vitabu,mabandiko na uzoevu Kazini.....................................,Hamfiki hata robo na ndiyo maana ameamua kumdhalilisha,Lkn Ukweli unasimama na hauhitaji kuwa na Lobbist wa kuutetea!
 
Werema, my brother unatudharirisha sana, unatufanya tuwe wanyonge.... uchumia tumbo mbaya sana, haya wewe na CCM Damu damu, siku inakuja hapo atakapotamani kuificha sura yake, mtu anatoa kauli nyepesi kama ya ..., hakika imenisikisha sana
 
Inakuwaje unapotuma CV kwa muajiri anakuita tena kwenye Interview wakati CV imeshamaliza kazi ya kukuelezea?

Anataka athibitishe kuwa yote aliyoyasoma yanahusiana na wewe,
ndiyo maana CV inatangulia kwanza ili akufahamu vizuri!
 
Mtu mzma anapokosa maneno ya kuzungumza huwa anaropoka hapo utackia watu wakisema una akili za kitoto. Mmesahau kuwa Werema huwa anasaidiwa na Chenge anapozidiwa? Jamaa hakwepo nini?
 
Hii ndiyo Tanzania ambayo inaongozwa na watu wasio na maono mpaka wanafika kuwatusi na kuwavunjia heshima watu ambao wana positive impact kwa taifa letu. Taifa ili nikama familia ambayo haina wazazi au walezi wa kuwashauri na kuwaelekeza watoto walio achwa na wazazi wao maana kila mtoto sasa anafanya anacho kitaka.KUNA KITU JANA NILISHANGAA NAHODHA VUAI ANASHINDWA KUTOFAUTISHA A STATE, A NATION, NATION-STATE AND A COUNTRY.
 
issa gustamhusein shivji ni profesa ndo alitakuwa kuwa jaji.. Sio vilaza wengine wanaungaunga
 
Yaani CV ya Wamema na Prof. Shivji ni sawa na kulingansha Tembo na kifaranga cha kuku maana ahata ukiweka kuku mwenyewe bado sana....

Hivi Warema hajisikii vibaya wala aibu kwa kumponda Prof. Shivji
 
Kilicho nifurahisha ana two Kids werema je ana wangapi? ha ha ha.. .ha. kazi kweli Lol.
 
Back
Top Bottom