Cv ya saed kubenea..

Said Kubenea yupo Holand, Ede Christian University anachukuwa course ya uandishi wa habari...ndoto zake ni kuwa muandishi wa Dr Slaa atakapochukuwa nchi.
Mimi nilichotaka kufahamu ni kwamba alianza darasa la kwanza lini na wapi na akamaliza mwaka gani na wapi,na baada ya hapo kama alifanikiwa kujiunga na sekondari ilikua lini na wapi na akamaliza mwaka gani then high school kama nako alipita pita kabla ya kuingia chuo kikuu ilikua mwaka gani mpka gani na chuo kikuu alisomea kitu gani na kuhitimu mwaka gani kabla ya baadae kwenda huko aliko sasa
 
CV please,mbona za wengine huwa tunaziulizia,lengo ni kuhakiki kama ni kilaza au la,maana inawezekana ukawa mpiganaji lakini kilaza tu

CV mbona unayo? angalia kazi zake au unataka kuangalia vyeti vyake? Kuna wengi wana vyeti kama hivyo lakini hamna kitu.
 
CV mbona unayo? angalia kazi zake au unataka kuangalia vyeti vyake? Kuna wengi wana vyeti kama hivyo lakini hamna kitu.
E eeeh!basi yameisha jamani maana leo ntapewa kila sababu mradi tu cv isiwekwe hadharani,angekuwa mbunge ningekwenda kwenye tovuti ya bunge nikaicopy cv yake na kuipaste hapa ili kuepusha shari hii,tatizo tukimpenda mtu huwa kuna mambo hatupendi kuyasikia kumhusu,kuna siku mwenzetu mmoja alihoji cv ya slaa,weeee alijuta kuhoji naona leo mimi mmenistahi tu mpaka sasa sijapokea tusi lolote,nashukuru,kwaherini bandugu cv yake ntaitafuta pahala pengine then ntaiweka hapa ikiwemo hii english course anayopiga sasa huko ughaibuni
 
kama unajua ni shujaa yatosha,,
Labda niongeze kwa kusema ni shujaa jasiri asiye na chembe ya uoga hata kidogo na ni mtu atendae kitu akijuacho yaani ana uhakika na afanyacho,,,,,Huyu ndiye SAED KUBENEA jembe la TANZANIA.
 
Hivi ile issue yake ya kumwagiwa tindikali kutokana na mambo yake binafsi na yule jamaa mfanyakazi wa bakhresa iliishiwa mahakama gani?au hakuona haja ya kushtaki akaamua kumwachia mungu,maana yule jamaa namuona bado anapeta tu pale kwa bakhresa kila nikipita
 
sijaelewa ulitaka kusema nini,kuna yeyote aliyemuelewa huyu bwana alichotaka kusema anisaidie pengine,maana naona kaweka kiswahili ile ya kibororonyi

Nadhani ana maana kwako wewe Kubenea hawezi kuwa shujaa,,huwezi kumrefer kama shujaa,,maana yake anahisi chembechembe za unafiki ktk uzi wako
 
Huyu shujaa haitaji CV zaidi ya kazi nzuri anayofanya. Hivi unajua kwa wale ambao wamesoma na vibatari anaweza asionekane na A's katika vyeti kumbe mazingira tu ndiyo yalimfanya asifaulu vizuri na pale ambapo anapata upenyo akiwa mtu mzima anatoka kwa first class? Hivi unafahamu kuna watu ambao walipata post za ualim kidato cha nne only because hawakuwa na facility kama zako wewe uliyesoma Academy? na baadaye wanakuwa professors? Nina mifano mingi, na kwa taarifa maprofessor wengi wameanzia ualimu!!! Na kuna ambaye ni Professor medical na alikuwa secretary and one of our high profile fimale executive katika serikali yetu was also a secretary at one the key ministry and now is a Doctorate fellow? Hivyo CV zaweza kupotosha na ndiyo hata wale waibaji wa vyeti vya NECTA nao utasema wana akili kwa kuwa vinasomeka Division One? Performance yako na vyeti vyako ni subjective!!!!!
 
Mzee mi nilichoomba ni cv ya kubenea tu wala si vinginevyo,hao maprofesa waliosomea vibatari kama utaona inafaa unaweza kuwaanzishia uzi wao,tutachangia pia,lakini hapa issue ni cv ya kubenea,yeyote tu mradi cv,swali rahisi mnaleta majibu magumu,wabongo bwana!
 
In short, S. KUBENEA hana CV, kwa kuwa hata akiandika itakuwa mstari mmoja tu! Alimaliza shule ya msingi kule Mafia, kisha akaja Dar na Bagamoyo kufanya utapeli! Kwa kuwa ana ujanja wa mjini, waandishi wakawa wanamtumia kutafuta story! Kisha akabadili dini na kujiunga CHADEMA, sasa anasomea Uinjilisti kule UHOLANZI!
 
Said Kubenea yupo Holand, Ede Christian University anachukuwa course ya uandishi wa habari...ndoto zake ni kuwa muandishi wa Dr Slaa atakapochukuwa nchi.
Hizo ndio ndoto zako, pole saana utasubiri sana!!!! Said Kubenea ni mwandishi mahiri saana hana wasiwasi na Dr Slaa kuchukua nchi labda wewe na EPA ZAKO!!!
 
In short, S. KUBENEA hana CV, kwa kuwa hata akiandika itakuwa mstari mmoja tu! Alimaliza shule ya msingi kule Mafia, kisha akaja Dar na Bagamoyo kufanya utapeli! Kwa kuwa ana ujanja wa mjini, waandishi wakawa wanamtumia kutafuta story! Kisha akabadili dini na kujiunga CHADEMA, sasa anasomea Uinjilisti kule UHOLANZI![/QUOTE ] weka zako

Wewe ni kajanja nenda jambo leo katukuze mchwa nawe ukila kwa macho? Tindikali yataka ujsiri.
 
Alaah kumbe iko hivyo,sasa yale mambo ya kuitana vilaza huwa yanatoka wapi au yanakujaje?maana nape na wngine ndio huitwa vilaza,ni kigezo kipi basi hutumika?au walio nje ya system yenu cdm wotu tu ndio vilaza?

Kilaza to me ni yeyote mwenye tatizo la kuelewa au anayeonesha uelewa mdogo tofauti na elimu au nafasi yake katika jamii.....Huo ndio uelewa na ufahamu wangu nitumiapo neno hilo....i mean my definition....Kwamba sisi Chadema nakanusha mie sio CHADEMA ila nipo huru zaidi kutoa mawazo yangu ingawa nawakubali kwa mambo mengi kati ya vyama tulivyo navyo...hupati shida kusimama mahali kuwadefend...

Kwa hiyo sasa kama Nape anaongea ambayo hatukuyategemea kwa nafasi au elimu yake tutamwita hivyo na wengineo wote ...Ni sawa na waandishi na wahariri wa gazeti la uhuru/mzalendo....si kweli kwamba ukweli hawaujui ila tu kwa sababu ya kuchumia tumboni unakuta wanayoandika yanatia kichefu chefu na ni bahati mbaya huwa nasikiliza tu kwenye kipindi cha Morning Magic asubuhi lakini kila kitakachoandikwa ni ujinga ambao hata mwanangu wa miaka 10 huwa anacheka na kusema uhuru bana...sasa ndio shida mnazopata wote mnaoitetea CCM kwa kila kitu na huenda mkaendelea kuonekana vilaza kwani kuitetea CCM ni kazi kuliko kwenda kazini.

Back
Top Bottom