Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
makubwaNdio maana nikakwambia ni communication specialist,ukimuona kama Ndezi bado hujampa sifa stahiki
Huwa anapiga sehemu kwa wakati sahihi,halafu anarudi baada ya siku mbili kufanya assessment,na hata thread iwe na page 100,ana uwezo wa kupitia kila comment na hajui kutukana mtu
Duuu!!!Bado historia yake kiafya na uraia.
Naona mleta mada ameshapata mahali anapopatikana P.Mayala aende tu akaonane na mhusika maswali yake yatajibiwa kwa ufasaha na akumbuke kuja na mrejesho.Ni maneno ya Pascal Mayalla katika Uzi mmoja, yanaonesha alicho nacho nizaid ya CV mengine hayajadiliki JF Kwa mujibu wa mambo ya kiintelijensia (wasiojulikana wanaotambulika)
Alisema hivi
"Kumbe ulikuwa hajui?!. Ofisi yangu ni lile ghorofa la mithili ya meli pale mkataba na kanisa la St.Peter. Karibu unitembelee ila ikifika pale usiniuzie kwa jina hili la Pasco wa JF, hili ni jina la huku jf tuu, kule tunatumia majina mengine ya kikule kule, hivyo ili unipate ukifika pale muulizie mtu anayeitwa Chifu, utaletwa ofisini kwangu ila usije siku ya Ijumaa maana inaweza kukosekana nyumbani kwako Ijumaa hadI Jumatatu asubuhi wakapata wasiwasi kwa sababu simu unaicha getini.
Pasco"
HAYO MATAMSHI NI ZAIDI YA CV WAKUU
Aliyasema hayo katika Uzi wa mwaka 2014 katika mabishano ya je lowasaa akifukuali CCM atapokelewa CHADEMA??
Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?
HahaNaona mleta mada ameshapata mahali anapopatikana P.Mayala aende tu akaonane na mhusika maswali yake yatajibiwa kwa ufasaha na akumbuke kuja na mrejesho.
y nadhani unajuwa kuwa yumo humu JF so y usimpm tu ili akupe hiyo cvNdg wana JF. Wasalamu.
Hivi karibuni nimejaribu kupitia michango/thread zilizoletwa na mtajwa hapo juu.
Kwa namna ya uandishi wake na mawazo yake imenilazimu kutaka kujua Pascal Mayala ni nani hasa? Kiwango chake cha elimu? professional yake ni nini?Historia yake ya kiafya ikoje (Hasa ya kiakili)?Na kama mtanzania au la! n.k
NB: Naamini hamna mtu anaweza kuwa na fikra kubwa kama huyu jamaa. Kitendo cha kuleta mada ya mkuu wetu wa mkoa kuwa Raisi wa JMT baada ya JPM binafsi nimeona ni suala zuri ila nani kaleta mawazo hayo ndo nataka kujua profile yake.
msamiati njaa unamaana kubwa Sana kwa watu wanaojitambua . haupaswi kutazamwa kama njaa tu yakula...Jina Mayalla kwa Kisukuma ni njaa
Sijui kwa nini aliacha pengine ni kutokana na maslahi duni yaliyokuwepo kwa Wanajeshi kwa wakati hupo. Nampa asilimia 50 kuwa ni ajenti wa TISS.Kwanini aliacha?
Muda ulifika?
Alifukuzwa utumishi?
Aligomea mkataba?
Unampa asilimia ngapi kua anaweza kua TISS?
Kwa haraka haraka nilisikia kwa kiongozi fulani wa bunge akisema ana kadigree ..Ndg wana JF. Wasalamu.
Hivi karibuni nimejaribu kupitia michango/thread zilizoletwa na mtajwa hapo juu.
Kwa namna ya uandishi wake na mawazo yake imenilazimu kutaka kujua Pascal Mayala ni nani hasa? Kiwango chake cha elimu? professional yake ni nini?Historia yake ya kiafya ikoje (Hasa ya kiakili)?Na kama mtanzania au la! n.k
NB: Naamini hamna mtu anaweza kuwa na fikra kubwa kama huyu jamaa. Kitendo cha kuleta mada ya mkuu wetu wa mkoa kuwa Raisi wa JMT baada ya JPM binafsi nimeona ni suala zuri ila nani kaleta mawazo hayo ndo nataka kujua profile yake.
Pamoja na mambo mengine aliwahi kuwa mtangazaji rtd enzi zile za akina rosemary mkangala na halima mchuka.
Aliwahi pia kuendesha kipindi maarufu cha tv cha kuwahoji wanasiasa kiitwacho kitimoto, kilichopelekea baa moja sinza kuitwa kitimoto bar. Hatimaye nyama iliyokuwa inauzwa katika baa hiyo ikaitwa kitimoto na kupata umaarufu nchi nzima.
Umesahau kuwa ni wa Kijitonyama piaJf tukitaka kusulubu mtu tunaomba cv!!
Haya,kiufupi Mayalla ni
Communication specialist wa hatari sana na ni bobezi katika habari haswa utangazaji
Ana degree ya sheria,amesomea uandishi Tsj
Amefanya kazi Rtd,Dtv,Ctn
Amesafiri sana na viongozi,anajua mengi ya nje na ndani
Kwa sasa ni mfanyabiashara katika mambo ya habari na matangazo akiwa na kampuni yake mwenyewe
Unasemaje mleta mada
Ngosha haridhiki na elimu, fikra, fani yake, uzalendo au kutaka usawa, maendeleo na haki kwa kila raia...Jf tukitaka kusulubu mtu tunaomba cv!!
Haya,kiufupi Mayalla ni
Communication specialist wa hatari sana na ni bobezi katika habari haswa utangazaji
Ana degree ya sheria,amesomea uandishi Tsj
Amefanya kazi Rtd,Dtv,Ctn
Amesafiri sana na viongozi,anajua mengi ya nje na ndani
Kwa sasa ni mfanyabiashara katika mambo ya habari na matangazo akiwa na kampuni yake mwenyewe
Unasemaje mleta mada
Alipost usiku wa manane alikosa usingiz Kama MimiIna maana tangu huu uzi uwekwe hapa, Paschal Mayala hajapita humu? Aje afunge hii mada kwa namna yoyote ile. Au ana-update CV yake!