CV ya Pascal Mayalla

Naona uzi huu hajauona, hebu mwenye namba yake ampigie akuje hapa kuhitimisha.
 

Duh anaweza kuwa TISS maana sio kwa kujua nondo za kila sekta
 
Mimi binafsi nammkubali paskali Mayalla, Yeye kama sisi Naye ana misimamo yake kwa kile anachokiamini. Hatuwezi kufikiri sawa member woote wa JF. Kutofautiana mawazo au fikra kwenye hoja ni jambo zuri, siyo baya. Kumuona Paskali mjinga huo ni upunguani, kumtukana au kumdhihaki mtu kwa sababu mmepishana mawazo au hoja flani au hamkukubaliana huo ni wehu. JF ni Jukwaa huru, hivyo tusiminye uhuru huo kwa kumshambulia mtu ili kumdhihaki au kumdharilisha. Tupingane kwa hoja tusitukanane, tusikashfiane.
Paskali Mayalla nakukubali sana. Tena nitaanzisha uzi kumsifia
 
Duh anaweza kuwa TISS maana sio kwa kujua nondo za kila sekta
Inawezekana kwa sababu hata alipoletwa JWTZ Airwing aliondoka kulikuwa na malalamiko fulani pale baada ya muda akapotea akaibukia kwenye Uandishi na Utangazaji wa habari ambako nako amekuwa mahiri na mbunifu mkubwa. Kwa wale watoto wa jana mliomo humu JF Paschal Mayalla ndiye muasisi wa neno Kitimoto.
 
hili jamaa lina akili sana kuliko maccm wenzake halafu japokua kwa ndani kabisa ni ccm lkn ana huruma na watanzania na ni muugwana hana roho mbaya kama maccm wenzake ndo maana kwenye haki anaongea ukweli,pia anapenda demokrasia ya ukweli ndo maana siku za hv karibuni amekua mwiba kwa uhuni wa demokrasia unaofanywa na chama chake,
 
Im not yet convinced..how smart he is..unless mnajaribu kumpa title ambazo ha deserve kabisa kupewa..

KAMA HUMJUI MAYALA BASI UMEZALIWA JUZI NA BADO UNAHITAJI MUDA KIDOGO KUJUA MAMBO MENGI YA SIASA ZA TANZANIA NA MUELEKEO WAKE. ITOSHE KUSEMA TU, ONGEZA BIDII KUJISOMEA ILIWALAU UWENUSU YAKE. MSIWE WAVIVU KUSOMA. NA MSOME MAMBO MENGI NDANI NA NJE YA NCHI. KWANGU MAYALA NI SAWA NA CHARLIE ROSE, CHRISTIANE AMANPOUR, BILL MAHER, THOMAS L. FRIEDMAN AND ALIKE
 
Im not yet convinced..how smart he is..unless mnajaribu kumpa title ambazo ha deserve kabisa kupewa..
wewe utakuwa ni ndezi, kama unashindwa kuelewa unacho ambiwa. Kimsingi namfatilia sana Pascal Mayalla kimya kimya kwenye thread zake nyingi anazo anzisha hapa JF, ni jamaa ambaye ana upeo mkubwa kwa mtazamo wangu na unahitaji uwe na akili ya ziada kuweza kuelewa anacho kisimamia katika post zake. Nimejifunza mengi kupitia yeye na nitaendelea kujifunza zaidi.
 
ni mwandishi wa habari
mwanasheria na kadhaa wa kadhaa lakini pamoja na yote haya ana njaa😀😀😀😀😀😀😀
Pascal Mayalla
 
Naona mwenyewe amegomea hili bandiko...

1. yaweza kuwa ameona ni upuuzi na watu wana changia upuuzi ameamua kuwa puuza
2. yaweza kuwa ana majukumu hivyo pamoja na kutumia nguvu nyingi kum tag ameshindwa kusema hata neno alafu ajbu kesho akafungua uzi au kuchangia ktk uzi mwingine tofauti
3. yawezekana hataki kuweka wazi mambo yake kupitia maswali ya watu wa jf... hayo machache yasiyo na uhakika muyajuayo ndio mbaki kuyajua
4. .........**&*&^&%$&**((&^%^*(())..........

NB:
mleta mada jaribu kuweka CV yako...
 
Ni maneno ya Pascal Mayalla katika Uzi mmoja, yanaonesha alicho nacho nizaid ya CV mengine hayajadiliki JF Kwa mujibu wa mambo ya kiintelijensia (wasiojulikana wanaotambulika)

Alisema hivi

"Kumbe ulikuwa hajui?!. Ofisi yangu ni lile ghorofa la mithili ya meli pale mkataba na kanisa la St.Peter. Karibu unitembelee ila ikifika pale usiniuzie kwa jina hili la Pasco wa JF, hili ni jina la huku jf tuu, kule tunatumia majina mengine ya kikule kule, hivyo ili unipate ukifika pale muulizie mtu anayeitwa Chifu, utaletwa ofisini kwangu ila usije siku ya Ijumaa maana inaweza kukosekana nyumbani kwako Ijumaa hadI Jumatatu asubuhi wakapata wasiwasi kwa sababu simu unaicha getini.
Pasco
"
HAYO MATAMSHI NI ZAIDI YA CV WAKUU
Aliyasema hayo katika Uzi wa mwaka 2014 katika mabishano ya je lowasaa akifukuali CCM atapokelewa CHADEMA??

Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?
 
Kumbe alikuwa askari wa JWTZ!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…