Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,328
- 144,767
ni jaji na pia ni mwanasheria mkuu wa serikali ila jana matumizi ya neno "shall" na "may" kwa mujibu wa sheria za nchi yamempga chini.
Wewe uwezo wako mbona ndiyo wa ajabu kabisa hata haufiki wa ......Mwaka 2011 nilishawahi kusema huyu mtu uwezo wake ni mdogo sana na nikasema kuna haja ya kupitia kwa kina hukumu alizotoa akiwa jaji.Ni lazima atakua alitoa hukumu kandamizi au zenye upendeleo
Tukileta CV yake ili ikamilike nadhani na nukuu zake alizowahi kutoa ziwekwe ili kuitendea haki CV hii nzito iliyosheheni usomi na experience!
Ya kweli hayo au kwa vile tu hamumpendi na kwa vile mnadhani ni kilaza basi ndo mnaamua kumzushia?
Mtu aliyekuwa attorney general advocate (what hell is that even?) iweje afeli mtihani wa uwakili? Na kwani mtihani wa uwakili ni mgumu kuliko miaka 4 aliyosomea sheria hapo UDSM?
duh mkuu wewe ni noma? mbona hasira hivi? wazee wote waliosoma wa level hiyo au umri huo wamesomeshwa na serikali sio ajabu baba yako ni mmojawapo!Limesomeshwa na pesa za walipa kodi na sasa anatumikia mafisadi.
Lau Masha kajuaje? Yeye ndo alisahihisha mtihani wake? Na Masha alisema hivyo lini na wapi? Yupo on record akisema hivyo au alibwatuka akiwa keshakunywa pombe Rose Garden?
Mwaka 2011 nilishawahi kusema huyu mtu uwezo wake ni mdogo sana na nikasema kuna haja ya kupitia kwa kina hukumu alizotoa akiwa jaji.Ni lazima atakua alitoa hukumu kandamizi au zenye upendeleo
Tukileta CV yake ili ikamilike nadhani na nukuu zake alizowahi kutoa ziwekwe ili kuitendea haki CV hii nzito iliyosheheni usomi na experience!
Mdau bar exam ilikuaga ni oral exam afu ilikua haina kificho maana mwisho wa siku watu walifaulu wanaapishwa in public
Yeye AG alifanya hiyo exam mwaka gani? Na mtu kwa Tanzania anapewa attempts ngapi?
Bado haiingii akilini kwamba jamaa aliyefeli hicho ki-exam eti ndo aje kuwa judge na AG....haingii akilini kabisa.
Na bado siamini hadi nipate sources zingine zaidi ya watu tu humu (wenye chuki dhidi yake) kusema bila supporting evidence.
Kuna website moja hivi ina orodha ya mawakili wote wa Tanzania. Ngoja niitafute niangalie kama yupo...walau hapo nitakuwa nimepata pa kuanzia.
Kweli watu ni wakeleketwa...website yako unayoiamini hujaitafuta bado unapinga..ukikuta ni kweli cv yake iko sahii utaikana comment yako.
Kinachonifanya nipingi ni mantiki. Wewe mtu keshakuwa jaji, na sasa ni mwanasheria mkuu. Halafu eti tunaambiwa alifeli kimtihani cha uwakili.
Hata kama Tanzania ni nchi ya hovyo hovyo lakini bado siamini kama kweli tunaweza kuwa hovyo kiasi hicho.
Leteni ushahidi kwamba kweli alifeli hicho kijimtihani.
hata andrew chenge mzee wa vijisenti amesoma havard na ni mwizi mkubwa!!!
CV za kusoma ni mbwembwe hasa hasa kwenye mfumo Elimu ambao lengo lake ni kutoa msomi mwenye mawazo tegemezi. Refer kwenye objectives and aims of "Colonial Education", hata baada ya uhuru mfumo haukabadilishwa bali tulibadilishiwa content tu, mbaya zaidi tukakewekewa "Unyerere." So sishangai kwa CV hii bado Werema akawa hivyo alivyo ni mfumo, kuna watu wana uwezo wa "kufaulu" mitihani lakini IQ yao ni ndogo sana. Na viongozi waliotufikisha hapa wote wana CV zilizotukuka lakini wameboronga mwanzo mwisho.
So kwa Werema and etal tusishangae madudu ndivyo walivyo, mfumo uliwabeba na sasa na hizi Division 5 watafyatua Kina Werema, Mulugo wakutosha.
anaiaibisha shule yangu ya ENGINEERS bwiru boys tech. sec. school..