Mkuu hapa nakuunga mkono, maana hata wahadhiri CV zao zinaonyesha machapisho na tafiti walizofanya au kushiriki. Kwa Jaji, judgement alizozitoa ni sehemu ya achievement, zingepaswa kuonyeshwa kwenye CV yake (sina uhakika lakini kama wanasheria wana huu utaratibu, maana ni profession yenye mikwara sana na members wa hii profession wana rigidity ya ajabu)Mwaka 2011 nilishawahi kusema huyu mtu uwezo wake ni mdogo sana na nikasema kuna haja ya kupitia kwa kina hukumu alizotoa akiwa jaji.Ni lazima atakua alitoa hukumu kandamizi au zenye upendeleo
Tukileta CV yake ili ikamilike nadhani na nukuu zake alizowahi kutoa ziwekwe ili kuitendea haki CV hii nzito iliyosheheni usomi na experience!
Wanaoitwa wasomi Tz... wengi wao miaka mingi darasani, uwezo mdogo kichwani.
Na kasema anakuja na marekebisho sheria ya posts na elelectronic itakayothibiti blog zote! MtakomaWe Ben wewe....hivi unajua huyo ni 'kaka msomi' aka 'learned brother'? teh teh teh
Na kasema anakuja na marekebisho sheria ya posts na elelectronic itakayothibiti blog zote! MtakomaWe Ben wewe....hivi unajua huyo ni 'kaka msomi' aka 'learned brother'? teh teh teh
Vita ni vita murrah, usomi bila hekima ni kama suruali bila zip kwani ni rahisi kumwaga radhi.
Mkuu Ben
Huyu mtu mimi nakumbuka kesi mbili (sikumbuki wahusika) alizotoa hukumu ya kifo zilitenguliwa baada ya rufaa. Alipaswa kuwa DRC anawafukuza M23 sio AG an bungeni.
Angalia LLM yake ya America. siyo makosa yake ni makosa ya elimu yake. Uk asingeweza kusoma huyo. kwa kichwa chake kisingehimili masomo kule. America ni saizi yeka.
Umeleta hii CV ya nini?
Ni kweli mkuu ila miaka hii anaachiwa mtu mmoja kutengeneza timu yake wakati those days system ndio ilikuwa inaangalia nani anafaa though kuna maeneo mengine mkulu mwenyewe anahusikaNdio hivyo tena vyeo vya kuteuliwa hata paka anaweza teuliwa, kawaida sana hapa TZ shamba la bibi
Hapa nadhani tungeziweka CV mbili, ya Lisu vs Werema alafu ndio tujadili.
Na alishawahi kusema anapenda vita zaidi...Refer mjadala kuhusu baraza la usalama wa Taifa katika mjadala ulioletwa na wizara ya Utawala Bora