Mimi ninavyojua pale SUA wanafundisha panya kutegua mabomu na si mbwa!!!!
Alimalizia kweye tuitionKwa akili zake siamini kama alimaliza shule ya msingi
Mhhhhhhh!Kuna watu ni darasa la saba lakini wanauelewa mzuri sana wa mambo na busara yao unaweza kuwaomba hata ushauri huyu jamaa yangu kwa kukosa elimu, angalau angekuwa hata na busara lakini hata hilo hana.Amebaki kutumiwa kama robot kazi yake kuropoka bila kushughulisha ubongo.Kazi kweli kweli.
Usishangae kwani viongozi kama huyu huwa ndio ccm inawapenda saana kwani linapokuja swala la muswada au bajeti au kupitisha maazimio yoyote watu kama Lusinde hutumiwa kama daraja kwani watatoa wapi ubavu wa kupinga kwa hoja?
Sasa jiulize Lusinde apinge bajeti mbovu ya ccm wakati mwenyewe anajua kuwa anabebwa na chama inawezekana? Naunga mkono hoja kwa asilimia mia tatu (300%) huwa nadhani ni mbwembwe tu kumbe masikini hajui hata kuwa asilimia huwa mwisho ni mia moja tu (100%). Mtera hamkuitendea haki Tanzania kwa kuchagua mwakilishi kama huyu. Ndio wale wale ukimuuliza kwanini nchi yetu ni masikini atakujibu hata mimi sijui.
Huyu jamaa Darasa la 7.
Ukiona hivyo ujue na wakazi wengi wa mtera jimbo lake ni darasa la 7.
Mie nadhani vyeti havina umuhimu sana.......na kusoma si lazima uende darasani kwani hata uzoefu wa maisha ni shule tosha kabisa..........kuna watu wengi tu wan ujuzi na maarifa makubwa wakati elimu ni ya chini kabisa lakini hao wenye zao ndio wanachukua ushauri kutoka kwao...................Hata hivyo ubunge ni kazi ya kisiasa haihitaji elimu kubwa sana kwani maamuzi yake mengi ni ya kisiasa...... cha msingi uwape wapigakura wanachopenda hata kama hicho kitu hakina manufaa kwao.........ukienda jimbo la wavuta bangi ukijinadi kwa sera ya kuhalalisha bangi utapata ubunge........ukienda kwa walevi ukawaambia kwamba utahalalisha gongo utapata ubunge...... hivyo naona sifa ya kusoma na kuandika ni tosha kwa mbunge......labda wangeongeza kuwa awe na uwezo wa kupiga majungu, fitna na vijembe kidogo
Lusinde sio mwanasiasa ni mganga njaa tu nashangaa sijui kaingiaje bungeni.
Kumbe ndo maana akakimbilia CCM kutoka chama makini CDM kwani asingeweza kuendana na kasi ya CDM kielimu na kimawazo, nimeamini CCM vilaza wengi (lakairo, Maji marefu, Lusinde na wengeneo wengi ni STD 7) lo kazi tunayo WaTZ.Sina la kusema ninapoona cv kama hizi bungeni!!!
Member of Parliament CV
GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
First Name:
Livingstone
Middle Name:
Joseph
Last Name:
Lusinde
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Mtera
Political Party:
CCM
Office Location:
Box 50, Dodoma
Office Phone:
+255 755 453327/+255 785 679927
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
llusinde@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
4 March 1972
EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Mbigili Primary School
Primary Education
1980
1987
PRIMARY
CCM College Ihemi
Certificate
2007
2008
CERTIFICATE
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of Tanzania
Member - Mtera Constituency
2010
2015
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location
Position
From
To
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary - Tarime District
2006
2010
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Assistant Secretary/Accountant
2006
2007
CHADEMA
Member - National Executive Board
1995
Civic United Front, CUF
Secretary - Kawe Constituency
1992
1995
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Secretary
source:Parliament of Tanzania
kama sijaona vizuri naombeni mnisahihishe... HIVI MUHESHIMIWA NA MBWEMBWE ZOTE ZILE NI DARASA LA SABA LA ZAMANI??
Mimi naamini CV yake imechakachuliwa CV kama izi nizawaganga wa KIENYEJI na si kwa mh.mbunge wa mtera kwa tiketi ya CCM,tafadhali mwenye CV yakweli atuwekee.NDOVU BARIDIIIIIIIIIIIIIIII !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!