CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

Status
Not open for further replies.
Sasa DR. Slaa elimu yake anaitetea ya nini wakati kashafikisha umri wa kustaafu?
 
Hivi ben umeshaua mtu yaani kutoa roho ya binadamu mwenzako? Hivi kama ungefanikiwa kumuua Zitto kwa sumu ungeishije kwenye ulimwengu huu huku una damu ya mtu inakuandama?

Sijui unafanya nini kwenye thread hii maana ulipotajiwa maneno kama 'Pontification' tu umepata kizunguzungu.Hizo vocabularies kama kichwa chako hakihimili si uachane na thread kuliko kujidhalilisha hapa?
 

Kwenye Maandishi yako inaonyesha wewe ilimu yako ni Ngumbaru
 
mkijibiwa hoja kwa hoja mnaruka viunzi? Ndivyo mlivyofunzwa kwenu? Eti babu,na yule kijana mwenzio acyekuwa na dini nanimwanzilishi wa Tanu anaekaa pale kona ya mwananyamala tumwite nani?
 
Sijui unafanya nini kwenye thread hii maana ulipotajiwa maneno kama 'Pontification' tu umepata kizunguzungu.Hizo vocabularies kama kichwa chako hakihimili si uachane na thread kuliko kujidhalilisha hapa?

ngoja nikalale usije nitrap na sumu hukuhuku nilipo ukanimaliza bure.
 

Have a Goodnight! But usiendelee kuwapotosha vijana hawa wa Facebook Songoro ZeMarcopolo chama HAMY-D CHAMVIGA S.HUSSEIN na hata mzee wa "bonafide genuine" pamoja na ukongwe wake huku.Kuthibitisha mazoea yao ya Facebook,baada ya comment hii utaona watakavyoninukuu na kutoa mapovu hapa kisa nimewa-acknowledge!

Goodnight Kasheshe! Acha wivu na chuki zako kwa Chadema.
 
Last edited by a moderator:
Kwenye Maandishi yako inaonyesha wewe ilimu yako ni Ngumbaru

bora cv ya ungumbaru inayojieleza kuliko ya phd ya kutokea kwenye certificate, ukiacha slaa tutajie msomi mwingine aliepata phd akitokea kwenye Certificate
 
Asante sana Mh Rais wa Watz unaeongoza nchi ukiwa nje ya Ikulu!

Maamuma wamepewa ukweli,

Hofu yangu nikuwa wao hili haliwasaidii sana ila furaha kwao ni kuona wamekufanya uwajibu!

Ukweli utadhihirika 2015!
 
elimu alionayo Dr slaa inatosha....
kuna wengine ni maprof lakini akili zao kama wako vidudu, wengine wamesoma harvard university lakini wamelingiza taifa katika mkakati ya kipuuz kama vile walikuwa wanatumia makalio kufikiri
 

format ya cv kwenye tovuti ya Bunge ni poor. ....format za researchers ziko detailed zaidi ya huo upuuzi unaouona kwenye tovuti ya bunge. Hivi mpaka leo unaweza kufanya reference tovuti ya bunge? tumia common sense....
 
Kila kukicha ni Dr Slaa tu humu,yaonekana mnakiogopa sana kivuli chake

Na ndiyo maana tuliomba jukwaa hili litambuliwe kwa jina la Dr slaa , Lumumba fc walitoka Mapovu hadi balaa ! Acheni kuleta uzushi kuhusu huyu mtu , huyu ndiyo atakayepewa KIJITI Jamani , msije kujinyonga!
 
Aiseee, kweli hata mimi sikujua kuwa Dr. Slaa ni Msomi wa hali ya juu kiasi hiki kweli masuala ya Uraia na Dini.

Weakness.

It is absolutely very wrong to select polictics as your career...!!! pole sana mzee.
Kweli kichwa chako kigumu mithili ya chuma, yani wewe hata ufungiwe kwenye chumba chenye walimu mia huwezi elewa hata sentensi moja pole sana posho, kofia, vitenge vya bure kutoka ccm vitakuuwa
 
Kweli kichwa chako kigumu mithili ya chuma, yani wewe hata ufungiwe kwenye chumba chenye walimu mia huwezi elewa hata sentensi moja pole sana posho, kofia, vitenge vya bure kutoka ccm vitakuuwa

Ha ha ha ha haa! JF is Rocks!
 

Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Kuwataja Liberal umemkomesha na hatarudi tena !
 
Aiseee, kweli hata mimi sikujua kuwa Dr. Slaa ni Msomi wa hali ya juu kiasi hiki kweli masuala ya Uraia na Dini.

Weakness.

It is absolutely very wrong to select polictics as your career...!!! pole sana mzee.

Politiki kwa huku Africa tunazitafsiri tofauti wenzetu unakuta mtu ana shughuli zake za kufanya ila anaingia kwenye siasa just kutaka kuleta mabadiliko katika jamii tofauti na wanasiasa wetu wengi ukiwaambia wajazi kazi zao watakuambia ni wanasiasa
 

Katika watu ninaowaheshimu kwa michango yao humu ndani ni Zemarcopolo, HARMY D, CHAMA, Utakuwa umewakosea heshima mkuu.
 
Last edited by a moderator:
huyu babu akalee wajukuu hizi zama za vijana

Haufai vijana watakuwapo bila wazee? Je wakati wa vijana wazee utawaua? Unaogopa nini tumwache tuone kama vijana watamshinda. Zaidi ya hivyo mimi namfagilia ingawa mimi ni kijana.
 
Dah ! Kweli nimeamini Slaa ni balaa aisee ! Hebu tuichambue na elimu ya Katibu Mkuu wa CCM na yule wa CUF , huyu SAM LUHUZA wa NCCR- MAGEUZI tuachane naye , nina hakika kuna watu watabadili ID'S zao kesho asubuhi.
 
Aiseee dr hongera sana kwa kuwambia na kuwafanulia wavivu wa kusoma.

Ni kweli watanzania tulio wengi ni wavivu wa kusoma hata wabunge wetu wengine ndio maana kwenye hotuba ya wenje engine walipanic kumbe kilicho kuwa kinaongelewa kipo kwenye vitabu na kwenye mitandao na tatizo lilikuwa uvivu wa kusoma hata cha kwao.

Asante dr kwa kutukumbusha umuhimu wa kusoma na kufatilia mambo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…