Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,082
- 134,485
Mkuu wapi nimeponda ukuristo kamanda?
Babu kabla kufikiria kugombea tena urais au uongozi wowote bora arudi elimu ya watu wazima kuongeza elimu.
Mwl. Julius K. Nyerere alisoma 'Certificate' ya ualimu pale Makerere (hadi anaaga dunia Mwl. hakuwahi kuwa na BA), baadaye alielekea Edinburg na kuibuka na MA ya kwanza kwa WaTZ (Ingawa hatuelezwi mtu wa kwanza kupata MSc ni nani). Nini cha ajabu kwa Dr. Slaa kupata PhD bila LLB wala LLM? Kuruka shule ni dalili za kuwa kipanga!
Umenichekesha sana kwa kale kamsemo kako kwamba kuruka shule ni dalili za kuwa kipanga.
Nimekumbuka kale katoto kangu kalivyokuwa kiwembe. Kametoka la kwanza kakarukia la tatu. Kametoka la tano kakaingia form one na kakapata 10 bora kwenda vipaji maalum sekondari na form four kakapiga daraja la kwanza pointi 6. Sasa kako six mwakani. Chezea toto yangu weee!
CV yangu wewe ya nini kwani mimi mwanasiasa au nimekuambia nataka kugombea nafasi yeyote ya uongozi.
Mtu yeyote akiamua kutaka kuwaongoza wananchi lazima watu wahoji elimu yake.
CV ya Dr Slaa imekaa kidini zaidi hata mwenyewe amekiri.
Yeh .. tofauti yao ni moja tu huyu m.mke yule m.me ila kwa kisomo wote sawa ...
hapa dr slaa alivyokuwa mbunge hana ba wala ma lakini ana phd
member of parliament cv
salutation honourable first name: dr. Wilbrod middle name: peter last name: slaa constituent: karatu political party: chadema office location: p.o. Box 119, karatu - arusha office phone: +255 784 666995 ext.: office fax: +255 22 2668866 office e-mail: wslaa@parliament.go.tz member status: current member date of birth 29 october 1948
[th="colspan: 3, align: Left"] general [/th]
[td="align: Center"] member picture[/td]
[td="width: 20%"] member type: [/td]
[td="width: 38%"]constituency member[/td]
employment history
school name/location course/degree/award st. Thomas aquinas university transworld tutorial college, london kwermusl primary school(mbulu) daudi primary school karatu primary school dung'unyi seminary school itaga seminary school kibosho seminary school st. Urban university, rome kipalapala seminary international eye h. Centre
[th="colspan: 5, align: Left"] education [/th]
[th="align: Center"] start date [/th]
[th="width: 13%, align: Center"] end date [/th]
[th="width: 10%, align: Center"] level [/th]
[td="align: Center"]advanced diploma in rural development[/td]
[td="align: Center"]1980[/td]
[td="align: Center"]1981[/td]
[td="align: Center"]adv diploma[/td]
[td="align: Center"]certificate in management[/td]
[td="align: Center"]1985[/td]
[td="align: Center"]1985[/td]
[td="align: Center"]certificate[/td]
[td="align: Center"]primary education[/td]
[td="align: Center"]1958[/td]
[td="align: Center"]1960[/td]
[td="align: Center"]primary[/td]
[td="align: Center"]primary education[/td]
[td="align: Center"]1961[/td]
[td="align: Center"]1961[/td]
[td="align: Center"]primary[/td]
[td="align: Center"]primary education[/td]
[td="align: Center"]1962[/td]
[td="align: Center"]1965[/td]
[td="align: Center"]primary[/td]
[td="align: Center"]o-level education[/td]
[td="align: Center"]1966[/td]
[td="align: Center"]1969[/td]
[td="align: Center"]secondary[/td]
[td="align: Center"]a-level education[/td]
[td="align: Center"]1970[/td]
[td="align: Center"]1971[/td]
[td="align: Center"]high school[/td]
[td="align: Center"]certificate in philosophy[/td]
[td="align: Center"]1972[/td]
[td="align: Center"]1973[/td]
[td="align: Center"]certificate[/td]
[td="align: Center"]phd (jcd) law[/td]
[td="align: Center"]1977[/td]
[td="align: Center"]1981[/td]
[td="align: Center"] phd [/td]
[td="align: Center"]certificate in theology[/td]
[td="align: Center"]1974[/td]
[td="align: Center"]1977[/td]
[td="align: Center"]certificate[/td]
[td="align: Center"]certificate in eye health[/td]
[td="align: Center"]1993[/td]
[td="align: Center"]1993[/td]
[td="align: Center"]certificate[/td]
jf daima...😛eace:
===================
majibu ya dr. W. Slaa
===================
huyu jamaa anaye itwa dr slaa kweli nikilaza yaani ana rudia mara nne shule ya msingi.yaani anafeli mwaka unaofuata anarudia shule.pila roman kumsomesha baasi hadi leo angelikua muuza mkaa yaani aliindia kwenye upandre ili aweze kusomeshwa.romani wakijua wamepata mtawa akawaacha njia panda sasa leo ndio hivyo tena kila mke wa mtu yeye ni wakwake poleni CMD
Huyu ana udokta wa upadri wa kuchukua wake za watu baaaaac,padri muasi
Weka na CV ya Godbless Lema...................
| School Name/Location | Course/Degree/Award |
|---|---|
| St. Thomas Aquinas University |
Tatizo si PhD lkn kaipataj? unaposema wakiso Rome wanaunganisha kweli inawezekana ljn kila anapo maliza kozi ambayo ni equivalent na bachelor ni lazina azawadiwe cheti kinachothibitisha hilo,pia kozi zenye hadhi ya masters pia hutolewa chati kinacho tambulisha kozi hiyo na akipata PhD pia hupewa certificate. hata huku kwetu kuna mtu anaanza chekechea ktk shule fulani hadi chuo kikuu lkn hutunikiwa cheti kila anapomaliza hatua fulani ya mafunzo.mfano yupo dogo kasoma chekechea chuo cha Ekenfird Tanga na sasa anasoma digrii lkn anavyeti vyote anavyo kwanini wasingempa cheti kimoja tu. Iweke huru akili yako.
Ulimuomba vyeti akakuambia hana....?
akili yako ukisoma philosophy hutoamini tena kukuta bikira mbinguni wanakusubiri ili uchakachue!
Acheni kuzunguka Dr Slaa PhD yake ni ya magumashi na katika secular education ya tz haijulikani kabisa. Duu huyu Dr wa kuungaunga na angekuwa toka CCM duu ungesikia mengi sana humu JF lakini sababu ni kwasababu ni kipenzi cha Chamdomo basi misifa kibao. Jifunzeni kuwa wakweli maneno mengi ya kuungaunga lakini ati equivalent, what is equivalent? Haya amesoma adv ati equivalent, katika elimu hakuna kitu km hicho dunia mzima inajua Hilo? Umesoma certificate utabakia kuwa na certificate na sio dipl, degree na masters pia. Yeye ni msomi wa Advanced Diploma tu na sio vinginevyo. PhD Hana na sote tumejua Hilo. Duu mkuki kwa CCM tu kwa Chamdomo mchungu