Wasifu wa Dkt. Hussein Mwinyi utata mtupu!

...hivi kama ni kweli,inawezekana vipi kumaliza primary mwaka huohuo na kuanza secondary school!!!


-Kama wewe unayesema elimu yake imetulia bila matatizo,umesoma nchi gani secondary school,sabu Tz ninayoijua mie hakuna na nazani hakujawahi kuwepo kwa mtaala wa miaka miwili secondary school!!!


-Elimu yake imetulia,kama we ni msomi(sijajua wa kozi gani University),angalia MASTERS yake,from 1991-1997,ni kiaka SITA KWA INTERNAL MEDICINE,wale wa MD kama mie wanajua maximum kwa INTERNAL MEDICINE ni miaka MITATU TUU,labda kama aseme alichukua NEURO-SURGERY au laa alikuwa anafeli kila mwaka!!!


-Wakati wa huohuo anasoma MASTERS alikuwa pia anasoma PhD,labda PhD ya ONLINE,kama ipo kwa MD!!


-HEBU TUPATIE HIYO ILIYONYOOKA NA KUTULIA,SABU HII HATA MTOTO WA ANAYEJUA HESABU ZA KUTOA NA KUJUMLISHA ATASEMA MAJIBU YOTE NI CHANYA KAMA SI NEGATIVE!!!!...
 
Haya makosa ya ku type kwenye website ya bunge yanaanza kunitia mashaka sana, naanza kutilia wasiwasi hata Hansard za bunge sasa. Wasije mbele kutuletea matatizo hawa vijana wa teknolojia ya mawasiliano bungeni.
 
CV unaweza kukosea kwenye typing error kama spelling lkn siyo mambo makubwa kama haya ya Dr. Magumashi
 
HII CV INAJADILIWA KWENYE JUKWAA MOJA LA WASOMI......HEBU TUSHIRIKIANE NAO KIDOGO HAPA, IANGALIE KWA MAKINI,
: Hussein Mwinyi
Surname Mwinyi
First Names: Hussein Ali
Alternate Name
Title: Dr
Country of Birth : Tanzania
Positions
From To Organisation Position
2008 Ministry of Defence & National Services Minister of Defence & National Service
2006 2008 Vice-President's Office Minister of State for Union Affairs
2005 Kwahani Constituency MP for Kwahani
Date of Birth 23 Dec 1966
Political Affiliation CCM
eMail
Telephone
Address
Notes +255 744 279343 [ Retrieved on 19-07-06 ]

EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
-Hamersmith Hospital U.K/ Masters in Internal Medicine/-1993-1997 /MASTERS DEGREE
-Marmara University Turkey/ Doctor of Medicine/ 1985-1992 /CERTIFICATE
-Tambaza High School/ A-Level Education /1982-1984/ HIGH SCHOOL
-Azania Secondary Schoo/l O-Level Education/ 1981-1982 /SECONDARY
-Manor House Primary School/ Primary Education /1978-1981 /PRIMARY
-Oysterbay Primary School/ Primary Education/ 1974-1978 /PRIMARY

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
Vice-President's Office - Union Affairs Minister 2006
Ministry of Health Deputy Minister 2000 2005
Hubert Kairuki Memorial University Lecturer in Medicine 1998 1998
Ministry of Health Specialist Doctor 1997 1997
Ministry of Health Doctor 1993 1993

****

POINTS TO NOTE!!!
1991-1992-Intern (Marmar university Turkey )
1993-1993- Doctor MMC
1994-1995- Registrar MMC
1991-1997-Masters UK

1)Kwani tofauti kati ya doctor na registrar ni nini?
2)Huyu mtu alisomaje masters tena Clinical:redface: huku anafanya intern Turkey?? tena wakati huo huo akiwa Doctor and registrar Muhimbili??? wakati huohuo akiwa anafanya masters UK?

MH. Dr. Mwinyi, ufafanuzi wako ni muhimu sana katika hili suala la sivyo tutaanza ku'doubt hizi elimu zako!
Nawasilisha...
Mmmh,bonge ya utata,ufafanuzi wa haraka ni muhimu mno,
 
..weka cv yako hapo si ya dr,mi ninakoelekea ni kuwa burned maana watu wengine mnachefua,sisi tunamjua elimu yake wewe unaleta uongo ili tukuamini..watz bwana
Maajabu haya! Wewe unaijua elimu yake, hujaiweka hapa! Nani atakuamini? Ndiyo maana hii nchi iko hovyo kwa kila kitu. Huyu ni waziri wa kuzawadiwa kwa miaka mingi, taarifa zake zilizowekwa public ni za kihuni tupu, hana wasaidizi? Hana macho? Ikiwa hana uwezo wa kurekebisha taarifa zake anaaminiwaje na kupewa wizara aiongoze?! Haya siyo mambo ya ukoo, ni nchi... kama mtu hana sifa akae kando, watanzania wenye sifa ni wengi mno.
 
Jamani mie ningependa siku nione cv ya ****** nione alivyounga unga mwana

Kaka una maanisha hiii

JAKAYA MRISHO KIKWETE
kikwete.gif
Born on 7th October 1950 at Msoga Bagamoyo District Pwani Region
Education
1958-1961Msoga Primary School
1962-1965Lugoba Middle School
1966-1969Kibaha Secondary School
1970-1971Tanga Secondary School
1972-1975BA(Economics) University of Dar es Salaam
1976-1977Military Training at Tanzania Military Academy at Monduli
1983-1984Military Leadership Training
Appointments
1975-1977Deputy Regional Secretary of Tanganyika African National Union (TANU)
1977-1980Deputy Secretary of CCM, Zanzibar
1980-1981Administrative officer CCM Headquarters
1981-1983CCM Regional Secretary Tabora
1983-1986Political Tutor at the Tanzania Military Academy in Monduli
1986-1988Nachingwea and Masasi Districts CCM Secretary General
1988-1990Deputy Minister for the Ministry of Energy and Minerals
1990-1994Minister for Energy and Minerals and Water Developments
1994-1995Finance Minister
1995-2005Member of Parliament Chalinze Constituency
1995-2005Minister for Foreign Affairs and International Cooperation
 
mhhhhh......sina la kusema zaidi ya kuduwaa kama nikionacho ndicho nikisomacho na ndicho kilichopo kwenye uhalisia
 
Wizi mtupu hivi hizo Mmc alikuwa anasoma mwaka mmoja mmoja, kama hii cv ni ya kweli huyu jamaa nae ni fisadi wa Elimu.
 
Hebu wajuaji mliojaa humu mtu akajaribu kutazama entry requirements za kujoin Hammesmith Hospital London kwa training ya MRCP(Member of the Royal College of Physicians). Yani kibali cha kufanya kazi popote kwenye commonwealth states.

Kwa wanaomjua Dr Jullie Makani(best student wa mwaka miaka hiyoo wa PCB) yupo pale Muhimbili kama daktari bingwa, mhadhiri wa madaktari na mwenyewe ni MRCP na alitrain hapo Hammersmith Hospital. Kamuulizeni how rigorous the vetting exercise ya kujoin hammersmith Hospital kufanya MRCP. Na tunawajua wengi mno walioomba hawakupata au waliopata na wakashindwa mtihani wa MRCP.

Baada ya hapo ndo mje na mambo mengine yasiyo na kichwa wala miguu kama haya.
 
timbilimu watoto wa mabalozi walirudishwa na utawala wa Mwinyi nadhani mwaka 1987 na kweli wengi walienda Tambaza na Azania lakini siyo miaka ya 1983.

CV ambazo zipo kwenye tovuti ya Bunge ni pasua kichwa haziaminiki hata kidogo; zimejichanganya sana.
hivi anayepeleka hizi cv bungeni ni nani?
 
- Sawa sawa mkuu, balanced na imetulia sana!, labda tuseme mapungufu yake kiuongozi lakini siamini kwamba elimu yake ina utata hata kidogo!


William.

Tuondolee maswala ya kuamini, hakuna mtihani wa kwenda peponi hapa! cv inaonyesha mkanganyiko mkubwa, alipaswa kufanya urekebu kama imekosewa kabla hatujamshtukia. kwa sasa it is too late. kabebwa bebwa tu.
 
Kubishania Cv ambayo imetoka kwenye tovuti ya bunge ni kupoteza muda kwani 75% zimekosewa,labda tu kama mna mengine ya kubishania.

unataka kutuaminisha watumishi wa bunge ni vilaza sio!
mbona hatujawahi sikia mishahara ya wabunge imewekwa robo kiasi cha kuzua manung'uniko makubwa miongoni mwa wabunge, hatujawahi sikia hata hoja tu bungeni kulalamikia taarifa binafsi za wabunge nyingi zimekosewa!!!!!!!

Mwinyi jr. jipime mwenyewe.
angalau kwa sasa unanuka uvundo wa kughushi

kwa mnaojua, hakuwemo kwenye timu ya upasuaji wa kichwa badala ya mguu?
 
Kwa walioko majuu, si munajua kwamba kuna degree zinasomwa kwa zaidi ya miaka mitano under part time registration? Mbona wako wanafunzi wengi tu na wala siyo kitu cha ajabu na hasa kwenye Masters na PhD level kwa wale wanaojilipia wenyewe.
 
Kwa hiyo Primary aliishia la 5 na sekondari akasoma miaka 2 kisha akaenda High School?
 
bungeni ni kijiwe cha kutishia na kudanganyia watu kwamba wewe umesoma. Ukisoma cv za kila mmoja utagundua kwamba bunge letu limekubali kutumiwa na mafisadi wa elimu,kila mmoja anajinafasi kwa vile anavyoweza
Mwaka 1982 Tambaza haikuwa na high school.Kulikuwa na o level pekee.High school ilikuja baadae
 
Back
Top Bottom