William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
Ikiwa ni kweli ana jina la Kasabubu ni dhahiri hawezi kuwa mtanzania wa asili! Atakuwa na asiri ya Rwanda au Burundi
Acha masihara chifu! Unataka kusema PhD ya UDSM na UCLA utazilinganisha kwa vigezo ulivyovisema?!?
Dip (Ed) Marangu
BA (Ed) udsm
PGD (Law) udsm
MBA (Umea-sweden)
Phd (udsm)
ni mwalimu mzuri wa Human Resource Management, binafsi amenifundisha huyu jamaa ila sifa na majigambo ndio mahala pake
It is pity kama Francis Michael Kasabuvu ninaemfahamu mimi (alikuwa undergraduate UDSM 1996-1999) kuwa nae ni DR.
Kama uliemtaja hapa ni Mwalimu mzuri basi mimi ni Barack Obama!
haha..niliishiwa nguvu....alichoandika...ukitaka jua watanzania ni wajinga..sikiliza midahalo yao inavyobadilika kila mara definition fulani inapopata umaarufu..pale mpuuzi mmoja asiyejua ila mwenye ushawishi au aliyewahiskia wapuuzi akilazimisha na kuwatisha wengine kunyamaza..Siku inayofuata ndio inakuwa definition yao ktk kujidai wanajua mambo.PHP ni kazi binafsi ..ndio ila inapimwaje kuwa kufikia viwango....?
Hawa academician wa vyuo vya bongo hawafai popote..wakienda mahakamani wanachemsha sheria, wakienda viwandani hawawezi buni kitu km wahandisi, wakienda kufanya auditing ni bure kabisa..wenzao wa MIT ,Havard ktk bishara ni mabilionea, ktk tehcnologia ni wagunduzi, ktk uchumi ndio wanaodefeine uchumi wa dunia..hawa wapuuzi wanuanga unga notice ..za kiuchumi za kijamaa,kibepari etc mradi tuu wameandika paper general yenye harufu nzuri ila haitekelezeki.....ktk mdini si umemsikia mwingine..sasa wanaface reality..si walikuwa waki dic watu..sasa nao ktk maisha watu halisi watu wana wakamata.....kima hawa
- Sasa wewe kweli unaweza kusimama na kusema Dr. Slaa ni Mtanzania? sio Mwarabu? Karatu kumejaa waarabu kibao mbona hilo husemi?
Le Mutuz System
we mtoto wa malecela mbona una mwaibisha mzee wako? Una akili mbovu sana kijana, jaribu kuu act like mtu mzima haswa.
hastahili hata kuwa udasaUngejua kuwa kutofautiana mawazo hakulindi "irresponsibility"..mawazo yasiyo na kuwajibika ni destructive na si huru ....Uhuru na wajibu ni kitu kimoja kisichotenganishwa....bila wajibu haupo huru...uispowajibika uhuru unakuwa na mipaka.This fool is neither responsible nor free.....hayupo responsible ndio maana hana uhuru..anatumika...kwa vile hajui wajibu wala kuwajibika.
dip (ed) marangu
ba (ed) udsm
pgd (law) udsm
mba (umea-sweden)
phd (udsm)
hastahili hata kuwa udasa
- kWANI dR. sLAA NI WA NINI HASA YAANI UDOCTOR WAKE NI WA NINI HASA MKUU?
lE mUTUZ sYSTEM
Brother clever mind discuss issues not personalities,that's why even who attacks you personally!always hate them let's tackle issues not personality...
Ni kweli Ujumbe umefika Natumaini wewe na Boss wako Davis mmeshalala kwenye room yenu hapo Mount Meru. KISS HIM 4 ME- ha! ha! ha! ha! ha! ina maana ujumbe umefika that is all I could ask kutoka kwa Great Thinker!! like yah!! ha! ha!
Le Big Show