CV ya Director General TANAPA Mr Allan Kijazi

Status
Not open for further replies.
wana jf nani ana cv ya boss huyu alianza lini kusoma mpaka alipo sasa naomba msaada

CV yake inapatikana hata hapa JF jaribu kutafuta thread inayozungumzia kuteuliwa kwake kuwa mkurugenzi mkuu wa TANAPA, alijadiliwa sana hapa mwaka jana.

Vinginevyo unaweza kujaribu njia nyengine za kupata cv yake, pamoja na "google engine"!!
 
Lakini CV especially ya mtu ambaye tayari ni public figure haitakiwi iwe siri.

Labda mheshimiwa atuambie anataka ya nini? lakini vizuri kama ataenda huko TANAPA nadhani watamsaidia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom