CV ya Director General TANAPA Mr Allan Kijazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CV ya Director General TANAPA Mr Allan Kijazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mwana UoA, Jan 21, 2012.

  1. M

    Mwana UoA Member

    #1
    Jan 21, 2012
    Joined: Nov 8, 2011
    Messages: 47
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    wana jf nani ana cv ya boss huyu alianza lini kusoma mpaka alipo sasa naomba msaada
     
  2. A

    ANTA Member

    #2
    Jan 22, 2012
    Joined: Nov 20, 2011
    Messages: 67
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    muulize yeye nadhani atakupa pa kuanzia. labda kama ni kwa nia mbaya. tutakuambia ila " just express your interest"
     
  3. Saint Ivuga

    Saint Ivuga JF-Expert Member

    #3
    Jan 22, 2012
    Joined: Aug 21, 2008
    Messages: 36,359
    Likes Received: 14,633
    Trophy Points: 280
    unataka ya nini? jamaa sio fisadi
     
  4. Nang'olo Ntela

    Nang'olo Ntela Member

    #4
    Jan 22, 2012
    Joined: Jan 19, 2012
    Messages: 88
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 15
    Funguka mdau. C tunajua jamaa ni msafi, kamu kuna kitu unafaham (scandal) let us know.
     
  5. TIMING

    TIMING JF-Expert Member

    #5
    Jan 22, 2012
    Joined: Apr 12, 2008
    Messages: 21,838
    Likes Received: 110
    Trophy Points: 145
    mtu kaomba CV, watu wanazungumzia ufisadi............ doh :A S 13:
     
  6. C

    Caroline Danzi JF-Expert Member

    #6
    Jan 22, 2012
    Joined: Dec 19, 2008
    Messages: 3,587
    Likes Received: 24
    Trophy Points: 135
    Kazi kweli kweli.
     
  7. Idimulwa

    Idimulwa JF-Expert Member

    #7
    Jan 22, 2012
    Joined: May 27, 2011
    Messages: 3,385
    Likes Received: 7
    Trophy Points: 135
    Sasa CV si ampigie cmu au aende ofisini kwake!Siyo kututega hapa jf,kama wana ugomvi binafsi kivyao bwana
     
  8. Ndahani

    Ndahani JF-Expert Member

    #8
    Jan 22, 2012
    Joined: Jun 3, 2008
    Messages: 12,960
    Likes Received: 889
    Trophy Points: 280
    Hizo kazi unajua zinapatikaje? CV yake ya nini sasa?
     
  9. ntamaholo

    ntamaholo JF-Expert Member

    #9
    Jan 23, 2012
    Joined: Aug 30, 2011
    Messages: 9,574
    Likes Received: 1,640
    Trophy Points: 280
    nadhani kuna uhusiano. inawezekana hatakiwi kuwa pale. kama ameingizwa kifisadi fisadi, basi hata anayoyafanya ni ufisadi fisadi tu
     
  10. Nduka Original

    Nduka Original JF-Expert Member

    #10
    Jan 23, 2012
    Joined: Aug 3, 2011
    Messages: 755
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 0
    This guy is very clean bwana and he has achieved the status and not otherwise

    1. He holds a clean Bsc in project planning from UDSM
    2. He holds an Msc in Environment and Natural Resources Management from Norway

    Experience
    NCA - Manager - Planning Manager
    AWF - Project Manager
    TANAPA - Director of project planning and Tourism Services
    TANAPA - Director General

    Huyu jamaa ni mtu smart sana infact hata hiyo position hakuifukuzia kiviiiiille ni kwamba tu amepewa because he deserved it
     
  11. I

    Imnyagi Member

    #11
    Jan 23, 2012
    Joined: May 8, 2011
    Messages: 96
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Hivi hajawahi kuwa Head of HR. Wa TANAPA Miaka 2008? Akiwa yeye na Mr. Dambaga ambaye Alikuwa Director of Finance & Administration kama nitakuwa nimekosea unaweza kunirekebisha.
     
  12. MZIMU

    MZIMU JF-Expert Member

    #12
    Jan 26, 2012
    Joined: Apr 29, 2011
    Messages: 4,067
    Likes Received: 25
    Trophy Points: 135
    Small mind spend more time discussing about people, Average mind spend more time discussing about events and Geniuses all the time discuss about solutions to Universe problems like global warming, diseases, conflicts etc. Wake up man, that is disgusting.
     
  13. Myelife

    Myelife Senior Member

    #13
    Jan 26, 2012
    Joined: Dec 31, 2011
    Messages: 147
    Likes Received: 11
    Trophy Points: 35
    Yaani naamini mtoa mada kama c mchawi ni mnafiki na maisha yake yote yanategemea kuishi kama mtego unaosubiri kufyatuka, hata nanyi mlochangia kuweka open cv ya mtu pasipo mahali cjapenda, au mto mada ni mzee sana sasa anaona wivu kijana barubaru kukalia kiti, suala km hili limeshanikuta mimi najua uchungu wa kujana kumpiku mzee, au alimshinda ktk interview? Mada km hizi zinakata stimu kuzikuta great thinker, ziende FB jamani, kasoma norway kasoma Udsm inakuhusu nini, tena huyu jamaa atakuwa Bright sana maana ukiona kijana kala shavu km hili ina maana wazee wamekubali, pata picha bunge la sasa lilivo imara lkn hakuna malalamiko juu ya hili, au umezoea kuona wabunge vijana hujawahi kuona wskurugenzi vijana. Hapa c mahali pake lkn wasomi vijana na ni wakurugenzi list ni kubwa, we umetumwa tena nina shaka huna akili timamu, unanichosha tu kukuelimisha wakati unamatatizo, hata niandike encyeclopedia britanica hautaelewa. Wasalimie wazembe wa kufikiria km wewe
     
  14. Myelife

    Myelife Senior Member

    #14
    Jan 26, 2012
    Joined: Dec 31, 2011
    Messages: 147
    Likes Received: 11
    Trophy Points: 35
    Wakati wenzako tunafikiria jinsi ya kuzitumia fursa za kibiashara zilizoko tanzania, capital market, business initiatives, entreprenerial ventures and self employment wewe unalogin JF halafu unaomba comment kupata CV ya msomi mkurugenzi kijana sasa ukiambiwa unamatatizo utabisha nn?
     
  15. Vinci

    Vinci JF-Expert Member

    #15
    Jan 27, 2012
    Joined: Jul 6, 2009
    Messages: 2,636
    Likes Received: 106
    Trophy Points: 160
    :poaJibu sahihi kabisa....Hope jamaa alieulizia CV atakuwa ameridhika

     
  16. nsangaman

    nsangaman JF-Expert Member

    #16
    Jan 29, 2012
    Joined: Jun 30, 2011
    Messages: 276
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 33
    Hajawahi kuwa Director wa HR
     
  17. r

    rushasha JF-Expert Member

    #17
    Jan 29, 2012
    Joined: Nov 4, 2010
    Messages: 732
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 33
    He also holds an MBA from ESAMI (Eastern and Southern African Management Institute)
     
  18. r

    rushasha JF-Expert Member

    #18
    Jan 29, 2012
    Joined: Nov 4, 2010
    Messages: 732
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 33
    Huyo aliyekuwa HR sio Kijazi Allan, ni Kijazi Paul Chakale, alikua HR Manager. Sasa hivi anafanya kazi mahali pengine huko Dar es Salaam
     
  19. Naibili

    Naibili JF-Expert Member

    #19
    Jan 30, 2012
    Joined: Jan 24, 2011
    Messages: 1,672
    Likes Received: 26
    Trophy Points: 145
    kama nawaona vile watu wa TANAPA wametoa macho!
     
  20. M

    Maswa Member

    #20
    Jan 31, 2012
    Joined: Feb 17, 2011
    Messages: 50
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Hey guy! For sure I do agree for your statement. Let us not spend time in thinking about others! Let us think of innovation and making new things. Thats why I can say, most of we Tanzanian we are not developing ourselves because okf numberal of factors. LET US CHANGE OUR MIND SENT!

    What are u looking from TANAPA's Director CV?
     
Loading...