CV ya Balozi Wilson Masilingi

Huyo Masilingi alikuwa enzi hizo kwa sasa ni outdated. Ukiona mtu umri umeenda anapaka nywele dark &lovely jua huna mtu hapo.
Sidhani kama ana muda mrefu kwenye hicho cheo. JPM atakua anaanda mrithi wake.
 
Jua kuwa huyo balozi ni wale vichwa Nyerere alituachia katika dakika zake za mwisho wa uongozi wake. Inasemekana alikuwa mmoja wa mahakimu vijana waliotingisha enzi hizo kwa kutia hatiani vigogo wahalifu walikuo na uwezo wakununua maisha yako.
Hiyo sio hoja bwana, wewe vipi. Yaani kufunga watu jela ndio umekuwa "Legend". Je kama aliwaonea. Your reasoning reflects shallow thinking and I wish you didn't post this.
 

Lissu anamudu hoja hahitaji bunduki, jiwe ndio hawezi hivyo ni lazima bunduki itakuwa suluhu yake.
 
Sidhani kama ana muda mrefu kwenye hicho cheo. JPM atakua anaanda mrithi wake.

Hapo Lissu ni wa kumshukuru maana anamsaidia mkulu kuchuja watu wachovu. Je isingekuwa huo mdahalo angejuaje kwamba ni bogus? Na huo ni mfano wa mabalozi wetu wengi kuwa incompetent
 

Kutetea upumbavu wa CCM na sirikali yake ni kipaji! Si kila mtu anacho
 
kipindi kilikuwa cha pwagu vs pwaguzi
yani ndo ingekuwa siro vs tundu lisu pale lazima siro angepaniki kama balozi.
shikamoo lisu.watu kama lisu mpo wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww Lissu mi mjanja aliamua kuact in professional way

Mdege mjanja hunaswa na TUNDU bovu. TL kanaswa na tamaa ya malipo ya Fedha haramu. Kabadili gia angani, kajitahidi kukwamIsha juhudi za Rais za kuwashughulikia wezi wa dhahabu za nchi yetu na sasa kalipwa kuendesha uhaini huko ughaibuni.
 
Kwa CCM, CV doesn't matter at all, na ndio maana huwezi kutofautisha anapoongea mtu kama Kibajaji aliyeishia Darasa na Nne na Profesa X aliyebukua mabuku yote hadi yakawa yanakimbia pindi yakimuona!!
Hapo ndipo ELIMU YA DANGANYIKA ilipofikishwa
 
Ndugu zangu, hiyo mlioiona ndio hulka ya viogozi wa sasa walioko madarakani, hamna cha kushangaza. Rais, wakati anaomba urais alipiga push-up kwa wingi. Hii inawakilisha nini? Misuli na matumizi ya misuli ni nini? Mheshimiwa Job Ndugai alimpinga mgombea mwezie hadjarani hadi akazimia, CCM ikampitisha kuwa mgombea ubunge na akapewa promotion kwa kuteuliwa kuwa spika. Mhe. Tundu Lissu ali[powazidi kwa hoja Bungeni, wakamsubiri atoke nje wakampiga risasi nyingi kuliko alizowahi kupigwa tembo. Ben Saanane alipowasema sana wakampoteza hadi leo sio mwili au nguo alizokuwa amevaa zimeonekana. Na nina uhakika kama mahojiano yangefanyika Tanzania Mhe. Masilingi angepigana.
Nguvu, kiburi na jeuri ndizo sifa pekee za sasa kuwa kiongonzi- jiulize wateule wa rais waliokwisha tumia risasi kutetea hoja zao ni wangapi katika kipindi cha miaka mitatu ya mhe.
 
Tatizo tukio l4le la kikatili limechezwa kipumbavu kiasi kwamba mtu yeyote mwenye akili timamu utapata tabu sana kulijibu au kulitetea.
 
 
Tofauti na Mtazamo wako....Balozi alikabili vilivyo uzushi uliopitiliza wa Lissu.Amesaidia kuwafahamisha walio nje ya nchi uhalisia wa mambo kama vile Ukweli kuwa akina Mbowe hawajafungwa gerezaani kama anavyodanganya... hao wamelundikwa mahabusu tena kwa kosa la kukiuka masharti ya dhamana, kwa kesi ya jinai na si ya kisiasa. Kuwekwa mahabusu na kufungwa ni mambo mawili tofauti. Big up Masilingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…