No, Big No.
Hawana uhusiano wowote na J-Sister family.
Huyo mama Ashunta Mshama niliwahi kumsikia bungeni akisema yeye ni Mchungaji wa kanisa fulani, ila kwa tabia zake sidhani kama kuna waamini wenye Imani ya kweli ambao wako tayari kuongozwa na mtu kama huyu.
Kama mimi sijui h?ta kwa nn nimeingia huku halafu baada ya kukosa ubunge jk kampa u DC yule mkwere nikisema hamnazo sijui mtanielewa
Mkuu sababu gani za kiusalama?Si useme mume wake Mr.Mshama aliwahi kuwa dereva wa Nyerere na yeye kupitia mumewe alipata kazi ikulu kama muhudumu......au niendelee?
Mi ni mwana CCM damu ila huyu mama sitaki kumuona wala kmusikia. Hana weledi wa uongoziHuyo mama mimi sitaki kabisa kumsikia, hapa nimeingia tu ili kuona CV yake
Wewe si umesema umeangalia kwenye YouTube hotuba zake?, sasa unataka mimi nitoe maoni g?ni?.
unakumbuka SUGU alimlipua bungeni siku ile kuwa hawezi kueleza hadharani kwanini waliachana na mumewe?...wakati huo sugu alikuwa anajibu mapigo baada ya asumpta kumlipua sugu juu ya ugomvi wake na yule mchumba mvaa uchi....funguka basi ili kuondoa hiyo doubt kwasababu sugu alishamwaga ----- wengi tunaamini alichosema sugu."....wakati baba yao nafikiri haishi naye kitambo"
hakuna ukweli hapo ni mke mwenye ndoa iliyohai kwa sababu za kiusalama hatuwezi kumtaja hapa.
Mkuu sababu gani za kiusalama?Si useme mume wake Mr.Mshama aliwahi kuwa dereva wa Nyerere na yeye kupitia mumewe alipata kazi ikulu kama muhudumu......au niendelee?
Mr.Mshama hakuwa dereva wa Nyerere bali Bodyguard wake.....Mkuu sababu gani za kiusalama?Si useme mume wake Mr.Mshama aliwahi kuwa dereva wa Nyerere na yeye kupitia mumewe alipata kazi ikulu kama muhudumu......au niendelee?

Mmm ninavyokumbuka Sugu alimfungukia Martha Mlata na sio Asumpta Mshamaunakumbuka SUGU alimlipua bungeni siku ile kuwa hawezi kueleza hadharani kwanini waliachana na mumewe?...wakati huo sugu alikuwa anajibu mapigo baada ya asumpta kumlipua sugu juu ya ugomvi wake na yule mchumba mvaa uchi....funguka basi ili kuondoa hiyo doubt kwasababu sugu alishamwaga ----- wengi tunaamini alichosema sugu.
nadhani JK alimteua kwa sababu ni kada muaminifu aliyekiifia chama, hata ikibidi kutetea wezi kama alivyofanya kwenye escrow.
Ana maji sanaWakuu habari
Nilikuwa naangalia YouTube nikamuona huyu mama wakati anatoa michango yake bungeni, na hasa kwenye suala la escrow, kwa hiyo kutokana na michango yake hiyo nikaona ni vizuri nione CV yake ndiyo niendelee kuangalia au niache.
Naomba mwenye CV ya huyu mama aiweke hapa.
Mama wa J sisters anaitwa Assumpter Mshama. Wewe unaemuongelea ni nani na unasema No big no?No, Big No.
Hawana uhusiano wowote na J-Sister family.
Huyo mama Ashunta Mshama niliwahi kumsikia bungeni akisema yeye ni Mchungaji wa kanisa fulani, ila kwa tabia zake sidhani kama kuna waamini wenye Imani ya kweli ambao wako tayari kuongozwa na mtu kama huyu.
Ulibisha ukiwa na uhakika ama hisia zilikutuma tu ubishe?No, Big No.