CV ya Asumpta Mshama

CV ya Asumpta Mshama

No, Big No.
Hawana uhusiano wowote na J-Sister family.

Huyo mama Ashunta Mshama niliwahi kumsikia bungeni akisema yeye ni Mchungaji wa kanisa fulani, ila kwa tabia zake sidhani kama kuna waamini wenye Imani ya kweli ambao wako tayari kuongozwa na mtu kama huyu.

Usikanushe kitu usichokifahamu vyema kwani kuwa mchungaji kunamzuia kuwa mzazi? Wale ni watoto wake wa kuzaa mwenyewe
 
wale watoto ni watoto wake aliowazaa. yaani ukiangalia watoto wake ni tofauti kabisa na mama yao. watoto wazuriii, wanaimba vizurii, lakini mama yao ana vituko na anakera hata kusikiliza. j sisters ni watoto wake kabisa. nilishamsikia akihojiwa kwenye tv akieleza hivyo, na anasema amehangaika nao sana wale watoto hadi kufikia pale walipofikia...wakati baba yao nafikiri haishi naye kitambo.

"....wakati baba yao nafikiri haishi naye kitambo"
hakuna ukweli hapo ni mke mwenye ndoa iliyohai kwa sababu za kiusalama hatuwezi kumtaja hapa.
 
Kuwa mama hakukugurantee kutokuwa mchungaji. Binadamu ana madhaifu ila ni muhimu ujue hata kama una tatizo karibu kuligeuza tatizo lako kuwa fursa. Disability is an opportunity. Can't you think hey folk??
 
Mume wake mama huyu ni mtu wa heshima. Ni mkimya sana. Mama mwenyewe ni mtu wa heshima hata hivyo kutokana na msimamo wake kisiasa anachafuliwa tu.
 
Mkuu sababu gani za kiusalama?Si useme mume wake Mr.Mshama aliwahi kuwa dereva wa Nyerere na yeye kupitia mumewe alipata kazi ikulu kama muhudumu......au niendelee?

Ukweli nusu. Mshama hajawahi kuwa dereva wa Nyerere...ingawa ni kweli amewahi kuwa karibu na Nyerere. Mama Mshama hajawahi kuwa mhudumu...na hakupata kazi kwa sababu ya mumewe.
 
Ukweli nusu. Mshama hajawahi kuwa dereva wa Nyerere...ingawa ni kweli amewahi kuwa karibu na Nyerere. Mama Mshama hajawahi kuwa mhudumu...na hakupata kazi kwa sababu ya mumewe.
Kuhudumia Ikulu si uhudumu?
 
Galasha tu hilo; hata kama alisoma elimu yake haikumsaidia hata Robo!



Wakuu habari

Nilikuwa naangalia YouTube nikamuona huyu mama wakati anatoa michango yake bungeni, na hasa kwenye suala la escrow, kwa hiyo kutokana na michango yake hiyo nikaona ni vizuri nione CV yake ndiyo niendelee kuangalia au niache.

Naomba mwenye CV ya huyu mama aiweke hapa.
 
Back
Top Bottom