Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,467
- 11,641
Msando yupo kama kashoga fulani hivi
shoga ni lema tu anayetambulika msando wamsingizia
Msando yupo kama kashoga fulani hivi
Mkuu pole sana kwa kuwa kipofu na kutofahamu si tatizo lako inategemea umesoma wapi maake shule za kata zinazalisha mambo sana siku hizi,hivi wewe na akili zako ile nayo ni kesi hadi uanze kushangilia sasa kesi ya msingi ikifika na Zitto kushindwa utamuweka wapi Msando hebu acha mambo ya kitoto fuatilia nani zaidi ya Lissu na Msando na historia zao then uje tena hapa jamvini.Baada ya kesi iliyokuwa ikileta sekeseke jijini hapa na hata mikoani kati ya Mwanademokrasia wa kweli Zitto Zuberi Kabwe kwa upande mmoja, na viongozi wa CDM wahafidhina kwa upande mwingine, kutolewa maamuzi huku haki ikiendelea kutendeka na kutawala;
Tafadhari mwenye cv ya mwanasheria machachari mwenye upeo na weledi wa juu wa sheria Albert Msando naombeni aiweke hapa jamvini ili sisi wahanga wa kuonewa na kunyanyaswa na wahafidhina, mafisadi wanyanyasaji na waporaji wake za watu tuweze kujua Msando Gwiji jipya mjini hapa weledi wake kaupata vipi ili aendelee kusimamia kesi zetu.
NB: Kama wewe uko unatoka povu baada ya kunywa mbege na viroba huku ukishushia gongo, huu uzi haukuhusu!!!!!!
Unawahusu tu wale wenye kiu ya demokrasia ya kweli ndani na nje ya CDM.
HAKI ITAINUA TAIFA.
Msando yupo kama kashoga fulani hivi
Msando yupo kama kashoga fulani hivi