CV ya Albert Msando

CV ya Albert Msando

Baada ya kesi iliyokuwa ikileta sekeseke jijini hapa na hata mikoani kati ya Mwanademokrasia wa kweli Zitto Zuberi Kabwe kwa upande mmoja, na viongozi wa CDM wahafidhina kwa upande mwingine, kutolewa maamuzi huku haki ikiendelea kutendeka na kutawala;

Tafadhari mwenye cv ya mwanasheria machachari mwenye upeo na weledi wa juu wa sheria Albert Msando naombeni aiweke hapa jamvini ili sisi wahanga wa kuonewa na kunyanyaswa na wahafidhina, mafisadi wanyanyasaji na waporaji wake za watu tuweze kujua Msando Gwiji jipya mjini hapa weledi wake kaupata vipi ili aendelee kusimamia kesi zetu.

NB: Kama wewe uko unatoka povu baada ya kunywa mbege na viroba huku ukishushia gongo, huu uzi haukuhusu!!!!!!

Unawahusu tu wale wenye kiu ya demokrasia ya kweli ndani na nje ya CDM.
HAKI ITAINUA TAIFA.

Hivi na wewe ni great thinker..???? Jamii forum inachuja kwa kasi sana.....!
 
Albert Msando ni DIWANI WA KATA YA MABOGINI. Bhaaaas!
 
wakuu nakili kuwa sikuwahi kumsikia wala kumjua albert msando wakili wa zitto kabwe kabla ya kesi hii iliyiosha jana. Nimevutiwa na ujasiri wake na mapambano aliyofanya ndani na nje ya mahakama kiasi cha kuwatoa jasho wanasheria nguli TUNDU LISU NA KIBATALA.

Naomba wanaomjua vizuri huyu kijana wamwage detail zake: ni nani: uzoefu wake: ana law firm:kesi maarufu alizoshinda: na mambo mengine including CV yake
 
Huyo dogo ni hatari.....hata mie simjui ila kameonyesha ujasiri na utaalam sana. nataka kumjua pia mkuu songoka
 
huyu jamaa ana cv ya ukweli alakini nikanjanja wa hatari....
sasahivi ulizia yupo wapi kama sio mombasa kuvuta raha.
ni kati ya wanasheria wakali sana japo wame base kwenye makampuni na mashirika kwani huko ndio huwa wanapiga ndefu.
huyu digo alikua na yule jamaa aliejirusha ghorofani nairobi.
jamaa aliekua anaitwa Mawala sasa albert ndie alikua nyoka wake na ndie alie achiwa mikoba yote.
ukiingia ofisini kwake pale mapokezi unakutana na cv ,hakuwahi pata b kwenye masomo yake ni A mpaka mwisho.mkali wa vidosho hawakatizi kwa huyu chalii
 
Baada ya kesi iliyokuwa ikileta sekeseke jijini hapa na hata mikoani kati ya Mwanademokrasia wa kweli Zitto Zuberi Kabwe kwa upande mmoja, na viongozi wa CDM wahafidhina kwa upande mwingine, kutolewa maamuzi huku haki ikiendelea kutendeka na kutawala;

Tafadhari mwenye cv ya mwanasheria machachari mwenye upeo na weledi wa juu wa sheria Albert Msando naombeni aiweke hapa jamvini ili sisi wahanga wa kuonewa na kunyanyaswa na wahafidhina, mafisadi wanyanyasaji na waporaji wake za watu tuweze kujua Msando Gwiji jipya mjini hapa weledi wake kaupata vipi ili aendelee kusimamia kesi zetu.

NB: Kama wewe uko unatoka povu baada ya kunywa mbege na viroba huku ukishushia gongo, huu uzi haukuhusu!!!!!!

Unawahusu tu wale wenye kiu ya demokrasia ya kweli ndani na nje ya CDM.
HAKI ITAINUA TAIFA.

hili neno wahafidhina utalitumia sana ila maji yakimwagika hayazoleki na isitoshe dua la kuku halimpati mwewe........nenda mtaani wanasema hivi....:ZZK akifa mimi siwezi kulia nitamtupa Kagera awe chakula cha mamba. X7..
 
Alisoma HGL pale Ilboru Secondary School miaka ya 1998/1999 akapata DIV 1 PT 4 wakati huo nami nikawa niko O Level palepale Ilboru. Ilikuwa ni mwana Debate maarufu sana na pia mpenda muziki sana. Baadaye alijiunga na Chuo Kikuuu cha DSM (MLIMANI) kuchukua LAw.. Ni Diwani wa Kata mojawapo huko Moshi kwa tiketi ya CHADEMA na amekuwa wakili muhimu pia katika kesi mablimbali za CHADEMA. Sina kumbukumbu halisi ya kesi alizoshinda ila ameisadia CHADEMA katika kesi kibao huko Arusha na Moshi.
 
Usinibie amemtetea na LEMA kwenye upuuzi wake huko arusha
 
Alisoma HGL pale Ilboru Secondary School miaka ya 1998/1999 akapata DIV 1 PT 4 wakati huo nami nikawa niko O Level palepale Ilboru. Ilikuwa ni mwana Debate maarufu sana na pia mpenda muziki sana. Baadaye alijiunga na Chuo Kikuuu cha DSM (MLIMANI) kuchukua LAw.. Ni Diwani wa Kata mojawapo huko Moshi kwa tiketi ya CHADEMA na amekuwa wakili muhimu pia katika kesi mablimbali za CHADEMA. Sina kumbukumbu halisi ya kesi alizoshinda ila ameisadia CHADEMA katika kesi kibao huko Arusha na Moshi.

Mkuu anaonekana kijana mdogo sana au ni baby face?? kafika 36 kweli??
 
U.c.h.o.k.o mwingi Jf ya saivi watu wanasubiri CV wengine wanabwabaja pumba tu.
 
Alisoma HGL pale Ilboru Secondary School miaka ya 1998/1999 akapata DIV 1 PT 4 wakati huo nami nikawa niko O Level palepale Ilboru. Ilikuwa ni mwana Debate maarufu sana na pia mpenda muziki sana. Baadaye alijiunga na Chuo Kikuuu cha DSM (MLIMANI) kuchukua LAw.. Ni Diwani wa Kata mojawapo huko Moshi kwa tiketi ya CHADEMA na amekuwa wakili muhimu pia katika kesi mablimbali za CHADEMA. Sina kumbukumbu halisi ya kesi alizoshinda ila ameisadia CHADEMA katika kesi kibao huko Arusha na Moshi.

Duh! kweli MLIMANI(UDSM) Imefulia Enzi zetu LAW wanasoma wenye Point 3, tena hata hizo tatu zenyewe hazitoshi lazima waone masomo mengine umefanya vipi, maana unaweza ukawa na Point tatu kwenye Combi lakini una A ya Divinity na F za Bam, GS na masomo mengine.

By the way mimi nijuavyo hayo masomo ya NGWIN usipo pata A A A A wewe ni Kilazaa tu. Unless mniambia aliugua wakti wa Mtihani ndio maana akapata B moja badala ya A kwenye Combination.
 
wivu wa kike acha mara moja
 
Hilo umbo lake liko hivyo tangu miaka hiyo akiwa Sekondari, alikuwa na ndevu lakini kamwili ndio hivyo tena. Ni Mkomao kwa lugha ya Kisasa.. Mi niko 34 na nilikuwa nyuma yake kimadarasa hivyo ni mkubwa kabisaaa.
 
Bongo bana ...Kila mtu anaweza kulala dhoofu ili hali akaamka star....
Ivi court injunction kama aliyoweka Zitto ina ulazima wa kuwa na Mwanasheria?
Makubwa....Kuiambia tu mahakama izuie jambo fulani kufanyika kwa wakati fulani
hadi jambo jingine likamilike kwasababu likifanyika utaathirika na kwa namna ile???
 
Kwa nyongeza ni schoolmate wa Mwigulu Nchemba chini ya Mwl Gwaje(RIP)!

Msando na Mwigulu wanafahamiana toka Ilboru enzi hizooo!
 
Anna miaka 39 sasa na hajaoa kama mna dada mumpe. O' level alisoma Uru Seminary Moshi
 
Bongo bana ...Kila mtu anaweza kulala dhoofu ili hali akaamka star....
Ivi court injunction kama aliyoweka Zitto ina ulazima wa kuwa na Mwanasheria?
Makubwa....Kuiambia tu mahakama izuie jambo fulani kufanyika kwa wakati fulani
hadi jambo jingine likamilike kwasababu likifanyika utaathirika na kwa namna ile???

ndo maana jana nikawaambiwa watu kuwa kesi imekuwa based on legal technicalities na sio facts. Na makosa yaliyofanyika ni ya wanasheria tu wala sio mlalamikiwa. Nashangaa kuona eti Afisa wa mahakama tundu lisu na kibatala wakiwa na afisa mwenzie wa mahakama iyo iyo Albert Msando na jaji wafanye makosa yanayoweza kumgharimu mteja...nadhani na sheria zetu zina matatizo...
 
Back
Top Bottom