Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,340
wakuu nakili kuwa sikuwahi kumsikia wala kumjua albert msando wakili wa zitto kabwe kabla ya kesi hii iliyiosha jana. Nimevutiwa na ujasiri wake na mapambano aliyofanya ndani na nje ya mahakama kiasi cha kuwatoa jasho wanasheria nguli TUNDU LISU NA KIBATALA.
Naomba wanaomjua vizuri huyu kijana wamwage detail zake: ni nani: uzoefu wake: ana law firm:kesi maarufu alizoshinda: na mambo mengine including CV yake
nadhani wengi wamekujibu...ila cha kuongezea apo ni kuwa Albert Msando anayo law firm yake. Iko jijini arusha, si vibaya kama una kijikesi unaweza ukampelekea...firm yake iko meneo ya arusha mjini kabla haujaelekea njiro. Pia usisahau kugonga like moyoni mwako kwenye page ya cdm kwa kuwa ina vichwa vingi mno, na uyu anachipukia japo kuna maneno eti kesi imekuwa drafted na jaji mwingine. Kuelekea 2015 mtaomba CV nyingi sana za wanacdm.