CV ya Albert Msando

CV ya Albert Msando

baada ya kesi iliyokuwa ikileta sekeseke jijini hapa na hata mikoani kati ya mwanademokrasia wa kweli zitto zuberi kabwe kwa upande mmoja, na viongozi wa cdm wahafidhina kwa upande mwingine, kutolewa maamuzi huku haki ikiendelea kutendeka na kutawala;

tafadhari mwenye cv ya mwanasheria machachari mwenye upeo na weledi wa juu wa sheria albert msando naombeni aiweke hapa jamvini ili sisi wahanga wa kuonewa na kunyanyaswa na wahafidhina, mafisadi wanyanyasaji na waporaji wake za watu tuweze kujua msando gwiji jipya mjini hapa weledi wake kaupata vipi ili aendelee kusimamia kesi zetu.

Nb: Kama wewe uko unatoka povu baada ya kunywa mbege na viroba huku ukishushia gongo, huu uzi haukuhusu!!!!!!

Unawahusu tu wale wenye kiu ya demokrasia ya kweli ndani na nje ya cdm.
Haki itainua taifa.

together we stand brother
 
na wewe ni sawa na nini? Kopo la chooni! Usipende sana kujudge watu na profession zao kirahisi hivyo. Huwezi lingana na uwezo wa Lissu kwenye medani ya sheria wewe na ukoo wako wote! Na waonyesha jinsi ubongo wako ulivyo mtupu! Huyo Msando wako cha mtoto tu kwa Lissu hata presida wako analitambua hilo ndo maana akamkandia ili naye aonekane wamo! Mbona aliyokuwa anayapigania ndo yanayotekelezwa sasa kwenye maandalizi ya bunge la katiba lijalo? Jitambue wewe shabiki usiye na timu!?

HASIRA HIZO. Kumbuka mbuyu ulianza kama mchicha. KEEP UP MSANDO.
 
Chimbueni jamani...yamkini mtaupata ukweli. Kuna mambo ambayo hayaandikwi kwenye CV. Kwa maoni yangu, wakili na mwakilishwa wote ni vibaraka!
 
wa kujiandaa kisaikolojia ni yule mwenye nacho(ccm) linapokuja suala la kuloose manake hajui kutawaliwa na kuongozwa.
Na mwenye anguko ni ccm kwani safari hii hakuna kuibiwa. Wasijidanganye kwani mwisho wa uongo na wizi wao upo maungoni mwao unawawasha.!

BABA NI BABA TU, hawezi kuwa mwana. CCM BADO NI CHAMA BORA NA TUNA UHAKIKA WA USHINDI WA KISHINDO 2015. No doubt. Nyie ni debe tupu, hamuishi kuvuma
 
Najaribu kutafakari nankuhoji utimamu wa bongo wa watu wengine,hiyo gongo,povu inayohusishwa na CDM inakuwajeee???
 
Lissu amezidiwa na sifa sana bora alipotolewa knockout
 
BABA NI BABA TU, hawezi kuwa mwana. CCM BADO NI CHAMA BORA NA TUNA UHAKIKA WA USHINDI WA KISHINDO 2015. No doubt. Nyie ni debe tupu, hamuishi kuvuma

WACHANA na fikra tasa,huna uchungu na nchi yako,huyo baba ametufikisha wapi mpaka sasa?Bei za vitu zinazidi kupanda,achilia mbali ww mwenye uwezo wa kupata mkate wa kila siku,Je,Mwananchi wa kawaida asiyeweza kuafford mnansaidia vipi kama BABA wa Nchi?? CCM inaendelea kuwakandamiza wanyongee,...Wake up to reality!!!
 
Lissu kesi zote za uchaguzi za wabunge wa chadema walizoshinda zilisimamiwa na lissu
Ni upuuzi kuona zuio la zzk kufanikiwa ndio kigezo cha kuona etu lissu hajui
Walikuwa wanahonga majaji lakini zitto anawajua kuwa wanatabia ya kuhonga majaji kawabana.
 
Keep going Msando inahitajika kuwa na watu majasiri na wenye uthubutu sana katika Taifa ili kuweza kusogea mbele,sasa sifa hizi anapopewa mtu mmoja kwa sababu ya faida za wachache ni dhuluma kwa Taifa!!!!!

Wenye macho tujifunze!!!!!
 
WACHANA na fikra tasa,huna uchungu na nchi yako,huyo baba ametufikisha wapi mpaka sasa?Bei za vitu zinazidi kupanda,achilia mbali ww mwenye uwezo wa kupata mkate wa kila siku,Je,Mwananchi wa kawaida asiyeweza kuafford mnansaidia vipi kama BABA wa Nchi?? CCM inaendelea kuwakandamiza wanyongee,...Wake up to reality!!!

Kwani bei za vitu vya ulaya vinapopanda bei InASababishwa na CCM? We vipi. Ugumu wa misha ya wamarekani, wajerumani, greece unsabaishwa na CCM? KUKOMBOKA kwako kimaisha hkutegemei chama, kunategemea kuchakalika kwako. Wewe na uvivu wako wa kufikiri na kujituma ndio vyanzo vikuu vya umaskini wako. Amka, mafanikio yako yanategemea sana kujitumamkwako. Chemka dogo, achana na fikra za wajinga kuwa kuwa umaskini umesabaishwa na chama. Umaskini wa tanzania umesababishwa na mfumo kristo. Rejea kitabu cha dr john silvalon chenye kichwa cha habari"UHUSIANO KATI YA KANISA KATOLIKI NA SERIKALI YA TANZANIA KATI YA MWAKA 1958 NA 1985"
 
Msando ni noma amewabwaga mawakili watatu wa chadema, hii inathibitisha kuwa lissu sasa hivi anatoa ushauri wa kihawayani ambao unazidi kukiaibisha chama mpaka chama kimebaki kinaenda kihunihuni tu
 
Ni ujinga kufaninisha uwezo wa Lissu kisheria na Msando.

Lissu ni katI ya wanasheria hazina wa taifa hili hata Jk anatambua uwezo wake, sema siasa ya zetu uchwara zinatufanya tuone Jiwe kama mkate na mkate kama jiwe.!!!
 
khaaa misukule ya mbowe sijui leo haijapewa unga haielewi kabisa...mtu anataka cv ya professional Albert Msando mnaleta porojo za TOBO LISSU NA MZINZI SLA
Zitto chaguo la umma...mbowe chaguo la mtei

MaCCM mnashida mwaka huu
 
Back
Top Bottom