Cutt of point to university

Cutt of point to university

yuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
376
Reaction score
265
Samahani wadau. Kwenye vigezo vya chuo kinachoangaliwa cutt off point ziwe 4 au principal pass mbili. Kwamba ukiwa na CEF unaenda? Au lazima uanzie DDF?
CE=4 and D+D=4.
Je mtu huyu wa CEF anaenda?
 
Principles inaanzia E Hadi A

Kama una E na C maana Yake umetoboa labda changamoto Kama unataka kusoma education utagomewa au vigezo. Vya chuo husika vikutoe mchezoni
Hongera mkuu
 
Samahani wadau. Kwenye vigezo vya chuo kinachoangaliwa cutt off point ziwe 4 au principal pass mbili. Kwamba ukiwa na CEF unaenda? Au lazima uanzie DDF?
CE=4 and D+D=4.
Je mtu huyu wa CEF anaenda?
Kigezo cha TCU ni ufaulu wa DD katika priciple mbili
 
Back
Top Bottom