gstar
JF-Expert Member
- Jun 19, 2011
- 819
- 1,498
Sikuhizi teknolojia imeendelea sana tuitumie kwa faida.
Pia wadada now days wapo serious sana unaweza ukamtongoza tu ukaambulia matusi sasa ni hivi watu tupo serious hapa kama unajijua you are single pm, watu tuko busy na job hakuna muda wa kusocialize zaidi ya hapa JFso mimi binafsi natafuta mke mwema mcha mungu kama upo karibu please pm atleast mrefu kidogo rangi yoyote minimum education form 4 tufanye maisha wadada acheni usista duu mwingi.
(Umri below 25)
Mimi ni graduate, job nnayo pm pm... ul will not regret!!