CUTE piga jalamba.

sobhuza jiamini bwana, halafu YM ndio wa mwisho kwao! so no worries!

We ungeona alivyokuwa anasifia macho ya huyo jamaa yake, na kudai kama ana mdogo ampe, na tena akatishia kuniacha. Jamaa akajifanya hajaona comment yake (of koz anaogopa kichapo), lakini CG akamrudisha mu-topic. Kufika pale mie hamu ikaisha...
 
Ila yeye ndo amuulie mtoto Binti Mkhakhela, si ndio eh?

Hawezi kumuuwa!! Tushakuwa familia wote ni wanangu! Mkwe umeamka salama? Hasira zimeisha? Rudisha moyo Mkwe, mwenzio hajalala ni kulia tu tangu jana
 
We ungeona alivyokuwa anasifia macho ya huyo jamaa yake, na kudai kama ana mdogo ampe, na tena akatishia kuniacha. Jamaa akajifanya hajaona comment yake (of koz anaogopa kichapo), lakini CG akamrudisha mu-topic. Kufika pale mie hamu ikaisha...

nilikuwa natania mukwano plz plz plz. . . . g
 
Hawezi kumuuwa!! Tushakuwa familia wote ni wanangu! Mkwe umeamka salama? Hasira zimeisha? Rudisha moyo Mkwe, mwenzio hajalala ni kulia tu tangu jana

mamie am on my way coming to da meeting, sa tunameet wapi? pale pale au umebadilisha?
 
Nishaona dalili mbaya, kwanza ID ilibadilishwa, afu nikaona mdogo wake Yang Masta anauliziwa...
I ken tek zis noo moo, CUTE popote ulipo, kuna mtu anapoteza jimbo huku.

sobhuza nani anapoteza jimbo
samahani sikuuona huu uzi mapema
hope hujajilipua tu mana lol!
 
kasema nani?
Kajaa tele, na glad enough ni kuwa naye anaitaka hii nafasi anayoichezea mwenzie.
nafasi gani hiyo mi nishapata huku na siiachii hata kidogo
hebu nicheke ninenepe mie mana nina shida gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom