Kama upo dar kibebe hicho kisimbuzi na uwende nacho moja kwa moja pale buguruni watakurekebishia mkuu other wise fata ushauri wa mjumbe pale juu nunua dish la DSTV kama bajeti ipo vizuri.Aisee nimepata changamoto kisimbuzi changu hakioneshi licha ya kuwa katika same settinf kwa zaidi ya mwaka ghafla tu kikaanza kukata ikifika usiku na kurudi hewani pakikucha. Ikaenda zaidi ikasema invalid cam module detected.
Nikasema niwasiliane na Azam TV customer care. ZILE SIMU ZAO NIMEPIGA WAMENIZUNGUSHA NA KUBONYEZA MINAMBA TU WALA HAMNA OPTION YA KUONGEA NA MTU MOJA KWA MOJA, YAANI WAME AUTOMATE WHOLE THING. Inasikitisha sana kwa sababu nimejaribu hiyo WhatsApp yao wamenitumia general fault tena za Dish na mie natumia antenna, hata aina ya kisimbuzi changu hakipo kwenye list yao wakati ndio latest kabisa. Kwa ninu Azam hawataki kuwasiliana na mteja moja kwa moja maana sio kila tatizo utapata msaada kwenye menu ya huduma.
Pia anaejua ku solve hii error 69 anielekeze natumia antenna.
Wabongo wengi akili hatuna.
We unanunua kisimbuzi ambacho katkat ya Tangazo lao wanakwambia "MAFUNDI WA KING'AMUZI WATAKUA MKOA WA MTWARAAAA LETA KING'AMUZI CHAKO KITENGENEZWE BUUUUUREEE"πππππππππππππ
Hayo mambo Dstv hauji kuyasikia kabisaaπππππ
DSTV ninayo boss sema wife na sinema zetu yake ndio pasua kichwa, mbaya zaidi kuna school mate zake kawaona wanaigiza basi anataka kila akiangalia awapigie wasogoe.Kama upo dar kibebe hicho kisimbuzi na uwende nacho moja kwa moja pale buguruni watakurekebishia mkuu other wise fata ushauri wa mjumbe pale juu nunua dish la DSTV kama bajeti ipo vizuri.
Sasa kumbe wewe ndo localy, boya fulan hvi usiye jielewa. Yaani ni miongoni mwa wale mapunga wanaojiona wao ni wajanja kumbe hamna kitu.Zingatia mada, issue ni customer care ya azam, hiyo dstv wenzio tunayo tangu enzi inajulikana ni ya serikali na maofisi makubwa. Acha ushamba na dstv yako yenye kifurushi cha maisha magic bongo hata epl huoni.
Unajichekesha uonekane uko normal, nyie ndio wale unatambia TV ya jirani. Utasikia ebana kama unataka TV nunua OLED picha yake balaa yaan full ku injoi kumbe unaongelea TV ya jirani, ukute hata hiyo TV ya laki na nusu huna unatamba na DSTV.Sasa kumbe wewe ndo localy, boya fulan hvi usiye jielewa. Yaani ni miongoni mwa wale mapunga wanaojiona wao ni wajanja kumbe hamna kitu.
Ukijisoma vizuri utanielewa kuwa we ni bwegeπππππ.
Ungekua na akili ungefuata mafundi waliko usingekuja kutujazia server huku na kutupangia cha kuandikaππππ
Upo sahihi mkuu. Customer service ya Azam ni hovyo kupita mael.Aisee nimepata changamoto kisimbuzi changu hakioneshi licha ya kuwa katika same settinf kwa zaidi ya mwaka ghafla tu kikaanza kukata ikifika usiku na kurudi hewani pakikucha. Ikaenda zaidi ikasema invalid cam module detected.
Nikasema niwasiliane na Azam TV customer care. Zile simu zao nimepiga wamenizungusha na kubonyeza minamba tu wala hamna option ya kuongea na mtu moja kwa moja, yaani wame automate whole thing.
Inasikitisha sana kwa sababu nimejaribu hiyo WhatsApp yao wamenitumia general fault tena za Dish na mie natumia antenna, hata aina ya kisimbuzi changu hakipo kwenye list yao wakati ndio latest kabisa. Kwanini Azam hawataki kuwasiliana na mteja moja kwa moja maana sio kila tatizo utapata msaada kwenye menu ya huduma.
Pia anaejua ku solve hii error 69 anielekeze natumia antenna.