Customer care Tanesco

Dona Kantri

JF-Expert Member
Dec 13, 2012
341
250
WanabodiNinahitaji kuongea na customer care wa tanesco wanipe ufafanuzi juu ya bei zao mpya na makato ya service line, kwa yeyote anaejua namba yao ya maulizo naomba anisaidie au yeyote anaejua gharama mpya za tanesco anijuze kwani nahisi nimeibiwa, naomba ndugu zangu mnitoe porini mniweke barabarani.

Ahasanteni in advance.
 
kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,167
2,000
...TANESCO ni shirika na taasisi mojawapo ya serikali inayoendeshwa kwa ubabe, "si rahisi kupata msaada kupitia.. Customer care Tanesco"
 
kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,167
2,000
WanabodiNinahitaji kuongea na customer care wa tanesco wanipe ufafanuzi juu ya bei zao mpya na makato ya service line, kwa yeyote anaejua namba yao ya maulizo naomba anisaidie au yeyote anaejua gharama mpya za tanesco anijuze kwani nahisi nimeibiwa, naomba ndugu zangu mnitoe porini mniweke barabarani.

Ahasanteni in advance.

...call centre 0222194400
 
kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,223
2,000
WanabodiNinahitaji kuongea na customer care wa tanesco wanipe ufafanuzi juu ya bei zao mpya na makato ya service line, kwa yeyote anaejua namba yao ya maulizo naomba anisaidie au yeyote anaejua gharama mpya za tanesco anijuze kwani nahisi nimeibiwa, naomba ndugu zangu mnitoe porini mniweke barabarani.

Ahasanteni in advance.
Umeibiwa nini mkuu......, kwani wewe hujui rates za tanesco ni wizi mtupu! Tunafidia wizi na rushwa za wakuu.
 
msimamia kucha

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
307
225
Kaka we acha tu!nilinunua umeme wa buku ten Jana nilichopata 8 units.nikashangaa kawaida napata 37 units ikiwa ndo mwezi umeanza service charges huwa napata 19 units...sasa 8 units?
 
Nascoba

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
310
250
umeme umepanda toka sh 211 hadi sh 307 kwa unit,
service charge toka elfu nne na ushee hadi elfu sita na upadre.
 
vipik2

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
2,400
2,000
umeme umepanda toka sh 211 hadi sh 307 kwa unit,
service charge toka elfu nne na ushee hadi elfu sita na upadre.

Kama ni hivyo mie nashukuru serikali yetu sikivu kwani ule umeme unaopelekwa kijijini ndio utakaosaidia kuelimisha jamii kuwa hawa jamaa ni wakuwang'oa mapema kadri iwezekanavyo kwani hawana huruma kabisa na watanzania walio maskini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom