The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,899
kila mtu anafahamu ni mabilioni mangapi haya makampuni ya simu yanatumia
kwenye matangazo na ushindani wa kugombea wateja.....
sasa ajabu kampuni ya airtel ambao wanazidiwa wingi wa wateja na vodacom na tigo
wamewaweka wadada jeuri na wasiojua kabisa maana ya customer care
sijawahi kukosa raha au kukasirishwa na customer care ya kampuni ya tigo..
kila mara nikiwapigia wako makini na wanakujibu vizuri mno...but sio airtel
nilikuwa na tatizo la internet connection kwa modem ya airtel
nikawapigia simu
kwanza mdada mmoja anaeitwa Uli au Tuli alinijibu tu subiri,halafu akakata simu
nikapiga tena akapokea mwingine anaitwa Regina huyu nae hivyo hivyo anasema subiri
halafu anakata.mwisho akasema nitakupigia au kukutima sms but kimya
huku akionekana yuko bize na kupiga story na vicheko navisikia....hakuna walichonisaidia..
hata kunipa majibu ya maswali mepesi tu wameshindwa.....
sijui wamewatoa wapi hawa watu......SO FAR KWA CUSTOMER CARE kwa upande wangu TIGO
WAKO JUUU SANA...