Customer care airtel ni mbovu mno........... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Customer care airtel ni mbovu mno...........

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by The Boss, Sep 11, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  kila mtu anafahamu ni mabilioni mangapi haya makampuni ya simu yanatumia

  kwenye matangazo na ushindani wa kugombea wateja.....

  sasa ajabu kampuni ya airtel ambao wanazidiwa wingi wa wateja na vodacom na tigo

  wamewaweka wadada jeuri na wasiojua kabisa maana ya customer care

  sijawahi kukosa raha au kukasirishwa na customer care ya kampuni ya tigo..

  kila mara nikiwapigia wako makini na wanakujibu vizuri mno...but sio airtel

  nilikuwa na tatizo la internet connection kwa modem ya airtel
  nikawapigia simu

  kwanza mdada mmoja anaeitwa Uli au Tuli alinijibu tu subiri,halafu akakata simu

  nikapiga tena akapokea mwingine anaitwa Regina huyu nae hivyo hivyo anasema subiri
  halafu anakata.mwisho akasema nitakupigia au kukutima sms but kimya
  huku akionekana yuko bize na kupiga story na vicheko navisikia....hakuna walichonisaidia..
  hata kunipa majibu ya maswali mepesi tu wameshindwa.....

  sijui wamewatoa wapi hawa watu......SO FAR KWA CUSTOMER CARE kwa upande wangu TIGO
  WAKO JUUU SANA...
   
 2. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  Bora Mkuu umepata wa afadhali. Binafsi sijaona mbadala. Wote wezi tu!
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Sep 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Customer Care zamani katika Company zooote za simu zilikua ni bora saana toka na kwamba walikua wanasimamiwa na Kampuni husika... i.e Customer care Voda/Zain/Tgo walikua wanasimamiwa na kampuni yenyewe ya simu... but saizi wamegundua hii ya kubinafsisha sector ya Customer care - WAMEHARIBU Viwango vimeshuka saaana sababu hizo kampuni ndogo zinawachakachua saana hao Customer care agents (e.g Euro Link Via Vod)... Hio imesababisha quality ya huduma kudorora.... Too bad.
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Boss one thing you should know ni kuwa kwa sasa kitengo cha Customer Care Airtel kimekuwa outsourced kwa wahindi ambao hawana ujuzi wa haya mambo kama zamani mtu alikuwa analipwa mshahara wa 700,000 sasa hivi unakuta anapewa less than that kuna wafanyakazi wengi walikuwa wanafanya kazi kwenye Customer Care wameacha hata ufanisi umeshuka tofauti na zamani
   
 5. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  tuwasamehe tu maana wa tz woooote sisi ni wababaishaji tu. siasa imetukaa vichwani....... kama tunachakachua mafuta ndo iwe kazi?? mkuu potezea....hata useme na mate yakauke lakini hakuna anayeelewa.
   
Loading...