Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,192
- 99,924
Huu ni upumbavu mtupu, unalinda KURA zako wakati umesaini kuwa hata nakala ya matokeo hutapewa?! Wengine sijui makalio yenu mnayatumia kufanyia nini, anyway hatutashiriki uchaguzi"Hivyo, msimamo wetu mpaka sasa ni wa Kushiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 na kulinda kura zetu kwa jasho na damu, ikilazimu.
