COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,622
- 3,696
Mnaona DEMOKRASIA hiyoooo?
Msajili wa Vyama aliwambia wanachama wa CUF:LIPUMBA ndio Mwenyekiti wenu. Matokeo ndio hayo chini. DEMOKRASIA haina MASKHARA na ndio maana hawaitaki maana wanaiogopa kama UPUPU maana inawapa WANANCHI CONTROL na si watu WACHACHE!