Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Kwiiishaa.
Hata hao ni wengi mnosijapata picha, what is the issue? Watu kiduchu?
Kuna watu walizaliwa wana roho ngumu hivi kweli mtu unaacha kazi zako kumsikiliza lipumba??
midahalo ya wagombea ilipotea kwa kuwa wagombea walimuogopa lipumba,tangu ule mdahalo wa 1995 wa DW radio lipumba awachakaze mkapa na wenzake hapakutokea tena mwanasiasa wa kufanya mdahalo na lipumba,lipumba akiongea utasikiliza na utaelewa,ila mnajitia wazimu kwa ajenda zenu nyuma ya paziaKuna watu walizaliwa wana roho ngumu hivi kweli mtu unaacha kazi zako kumsikiliza lipumba??
ukweli ni kwamba mbowe na maalim seif ndiyo wasaliti..ila mnalazimisha ionekane vingineYuko wapi Kambaya? Yuko wapi yule mama mbunge Katibu mkuu jina limenitoka wa Tabora?
Wamekubali kujivunjia heshima kwa ushawishi wa ccm!
Watu watambue kuwa CCM ni shetani, akikushawishi dhambi uitende na ukiitenda anakuachia msala mwenyewe
Kuna Pro. Lipumba wa 1995 huyu wa sasa ni njaa kali hana sifa ya kuitwa professor labda professeriiiimidahalo ya wagombea ilipotea kwa kuwa wagombea walimuogopa lipumba,tangu ule mdahalo wa 1995 wa DW radio lipumba awachakaze mkapa na wenzake hapakutokea tena mwanasiasa wa kufanya mdahalo na lipumba,lipumba akiongea utasikiliza na utaelewa,ila mnajitia wazimu kwa ajenda zenu nyuma ya pazia
Bado kuna watu mna roho ngumu lipumba naye ana wafuasi ????ukweli ni kwamba mbowe na maalim seif ndiyo wasaliti..ila mnalazimisha ionekane vingine