CUF walipa jeshi la polisi siku 3 lifute kauli!

Kweli hakuna rule of law,katiba imewekwa pembeni hvyo basi jeshi la polisi lipo juu ya sheria,nchi imeoza funza wamebakiza vipande vipande,Tanzania hakuna demokrasia AKILI ZA MBAYUWAYU CHANGANYA NA ZAKO
 
Tusubiri hizo siku Tatu, hamna asiyemfahamu Julius Mtatiro, ni mtu wa kukurupuka..hayo maneno atakuwa amejisemea mwenyewe na siyo msimamo wa chama chake.
 
KAMA KWELI hao chadema wanaamini mkono utakatika basi waendelee kufuata tu kama sungura labda utakatika miaka ya usoni. Tuwaulize Chadema toka chama chao kiundwe wameifanyia nini nchi wamefanya nini kubadilisha katiba ya nchi kwa manufaa ya watu wote . Hadi leo hii Watanzanai wote hawazijui polcy za Chadema ni zipi kama hamuani nendeni miji yote yenye wafuasi engi wa Chadema waulize sera ya chadema ya kuhusu vijana ni ipi , sera ya uchumi au AJira ya Chadema ni ipi nianweza hata kuismama Kariakoo na mwanza , Arusha na kwengineko kuwaekea video clip za wanachama wa Chadema ukiwauliza kuwa srea ya chama chao ni ipi n i zero.
Nilwiauliza Chadema Sera yenu ya nje ikoje humu ukumbini nani amweza kunyanua mdomo kuniandikia kuniambia hii hapa soma , hakuna.
Chama inachotaka kukua na kutawala kinahitaji kujulikana sio sera ndani ya Briefcase Wakati Mzee Mbowe na Wnzake wanakuja majukwaani ndio utasikia kuwa wao wana mwaga sera ial sera haiwi majukwani tu. Sisi wengine hadi leo hatujachagua chama mbadala cha kuona hichi ndio chama Tanzania ni vigumu hata kumshsauri msomi akikuuliza nataka kugombea ugunge nigombee chama gani kwnai hakuna kipya.CCM ita inutralize Chadema kama ilivyofanya wka vyama vyngine na iendelee kuiharibu nchi ibaki kuwa na mkovu ya kila aina. Haya niwaulize watani wa Chadema CCM Nape alikua Marekani na kila blog kwua laikua akialikwa kupata wisky na redwine kuanzia Texas , Newyork na Washington Dc rea haya Huyo ndio kiongozi wa Vijana au ndio MAlema na yeye toka lini Tanzania kwua na sheria za Afrika Kusini za enzi hizo za ANC n a SWAPO ya Namibia kwani Tanzania bado hijapata uhuru , kama hijapata Uhuru hayo mabilioni yanayotafunwa na wajanja wachache kwa kisingizio cha uhuru ni wapi Katiba ya Tanzania inaruhusu chama kuwa na matawi nje ya nchi au nje ya mipaka au CCM ina plan ya kuja kuweka mgombea wa useneta au ugavana wa Texas na New?York > Kweli ukikosa sera unaumia kama wanyoteseka CCM leo hii inakuaje ushindwe kuwafikia mamilioni ya watanzania vijijini kuwauzia sera ya chama chako ila una uwezo wa kufika Texas kwa wadu kupata wine na nyama choma . Kidumu chama cha Wapinduaji , ALuta continua wanamageuzi mageuzi yanaweza kuwepo Barani Afrika bila ya kuwa na urasim uwa vyama , Tunisia , Egypt na kwengineko wametuonesha mfano hata hapo =kwa jirani Kenya Moi na kundi lake wlwalinyanua mikono watanzania na watanganyika an wazanzibari hawajawa tyari wka mageuzi ya kweli . Mageuiz ya kweli hayaongozwi na wahafidhina wachache walaitiwa pingu za mikono za kulinda maslah ya chama kwanza , mageuzi ya kweli ni nji yetu kwanza Chama baade hata mrema aliwaamsha Watanzania ila walikua bado hawajakua tayari kuyabeba mabegani mageuzi , mizuka ya chama ndio ilionfanya Mrema akimbie kiala chama alichokihamia na mwishowe laiona ni yale yale ya Mabutu wa Zabanga ya Zairwaa kuwa vyama 104 na bado maisha ya mkongo yalikua ni utapeli tu. Tuwaulize CUf nini kiliwakuta na wo kupata somo la Igunga na kujikuta na masuali mengi ya ndani na mwishowe vijana wa CUF wakaja na sera siokuwa yao , iliofeli wkeney CCM ya kuvuana ugozi Niwaulize vijana wa CUF KWeli mutaweza kuchunana magozi ? Kuejnga chama sio mchezo Tanzania haina chama chenye uwezo wa kweli kujiita chama huu ndio ukweli kial chama kina maradhi yake sasa Daktari atatibu maradhi yote haya alioyaeleza Dr Warioba ya vyama kukosa uwazi na Demokrasia ya kweli ndani ya vyama , charity start home kama Kweli munataka kuwapa wananchi altarnative mkutano mkuu ya vyama veynu iwekeni live Kwenye TV wanachama wenu waone nini kimezungumzwa wka uwazi , hamuwezi kwua na mikutano ya Mabaraza kuuu , mikkutano mikuu na Kamati kuu kwa siri .Demokrasia ya leo ni ya uwazi Tusione aibu kwenda haja jioni kando kando ya bahari kama ndug uzetu wa Msumbiji kila mtu anajua ukila lazima unye! Vyama vyetu haja ndogo zoa ni wapi au kando kando ya Bahari ya Msumbiji ?au wanajichumngulia kweney vyoo wakati wananuka Kinyesi ?
 
Ndugu shuleni hamkufundishwa kufupisha habari na kuiweka kwenye mtiririko mzuri????....umechanganya mambo mengi kwa mpangilio mbovu mpaka tunashindwa kuelewa unaongelea nini.
Next time jipange usikurupuke
 
Sat, Nov 12th, 2011| Tanzania




Jakaya-Kikwete14.jpg


President Jakaya Kikwete


The opposition Civic United Front (CUF) has given the police a three-day ultimatum to explain its grounds for prohibiting political rallies and peaceful demonstrations in the country.

Speaking at a press conference at the party's offices in Dar es Salaam on Thursday, CUF deputy secretary general (Mainland) Julius Mtatiro said a recent statement made by the police chief of training and operations commissioner, Paul Chagonja, was too general to understand unless he targeted a particular political party.

"We, as CUF, want the commissioner to specify the party his statement is targeting or the police think it is breaching the prevailing peace instead of making a blanket statement and prohibiting all parties from carrying out their political activities," Mtatiro said.


He added: "It is important for the government and institutions to be careful when making statements to members of the public because banning political parties from holding political rallies and peaceful demonstrations is like declaring a state of emergency which is the president's duty and not the police."


Mtatiro made clear that CUF was going to hold public rallies next week in six regions in the country and nothing was going to stop them from doing so. "When a very senior police officer gives a blanket statement, which resembles declaring a state of emergency it does neither promote democracy nor benefit anybody in the country," he noted.


Mtatiro said the only thing that could stop them from holding political rallies was if the president declared a state of emergency since it was his duty to do so and nobody else's.


"If the president declares a state of emergency it is fine because he is not very busy at the moment as Prince Charles and his wife have already left the country and there is nothing holding him from doing so," Mtatiro stressed.


Mtatiro further said the country's financial situation was distressing and with the high inflation the government should tell people the reality of the situation if it wanted to avoid civil unrest and political instability and failing to manage the country.


"Civil unrest and political instability result from the government's failure to manage what it ought to do and we are likely to experience the worse if the president does not seek immediate assistance from experts in the country," said Mtatiro.


Mtatiro also said the president should clearly tell Tanzanians the country's stand on the rights of homosexuality as put it by British Prime Minister David Cameroon recently and ay the same time accepting Prince Charles' visit from the same country.

Source The Guardian

 
Wanapiga kelele za nini na hata hawakutajwa?

Nilimsikiliza kwa makini yule kamanda wa polisi,na alisema ni vyama viwili vya chdema na ccm vimenyimwa kibali hicho.

cuf hawakutajwa kabisa,nadhani ndo hasira zao zilipo.
 
Ngoja tusubirie hizo siku tatu ziishe tuone ni nani atayeenda kwenye hayo maandamano ya chama tawala zbar
 
Back
Top Bottom