Uko sahihi, CUF sio chama cha upinzani tena hivyo hakiwezi kuungana na Chadema, ukiangalia Ndugu Mrema wa TLP kwenye kampeni alikuwa anampigia kampeni JK, hivyo binafsi simwamini hata kidogo kuingia kambi ya upinzani kwani anaweza kuwa chanzo cha migogoro na kuturudisha nyuma zaidi. Ukiangalia pia NCCR Mageuzi pia hawaaminiki ukianzia na kukuru kakara za mwenyekiti wake wakati wa kampeni hata sasa juu ya Chadema na wabunge wake, hivyo ni bora Chadema kusimama kama wao ili kuepuka migororo ambayo ingetokana na wao kuungana na vyama vingine.Asante mkuu. Litakuwa kosa kubwa kwa CHADEMA kushirikiana na CUF ambao wanamakubaliano ya siri na wakubwa zao CCM. CHADEMA wakishirikiana na CUF basi by default CHADEMA itakuwa ni CCM. Dhama za chama kimoja tutarudi huko. Kazi kubwa ya CUF kwenye yale makubaliano yao ni kuuwa upinzani na CHADEMA. Nafurahi viongozi wa juu wameliona hili. CUF imepoteza identity ya upinzani nadhani tamaa ya viongozi wao imewafikisha huko. 2015 CUF itakuwa imefutika kabisa
Mch Masa K
Wakuu zangu hili sio swala la kupuuza hata kidogo. Chadema acheni uchu wa madaraka kuunda kambi ya Upinzani na haitawasaidia chochote zaidi ya kujenga fitna zaidi.
Kweli kabisa Chadema kulingana na katiba inayo haki ya kufanya kila kitu watakavyo isipokuwa mjue tu kinachozungumziwa zaidi na katiba ni jinsi ya kumpata kiongozi wa kambi hiyo ya Upinzani, kuliko uundwaji wa kambi yenyewe.
Vipengele vyote vinazungumzia nani atakuwa kiongozi wa kambi hiyo lakini haikatazi chama kuunda umoja na vyama vingine kwani maana ya kuunda kambi hiyo ni kutoa fursa kwa vyama vingine vipate nafasi ya kuzungumzia hoja walizokuwa nazo dhidi ya chama tawala. Kinyume cha vyama hivyo havitakuwa na nafasi hiyo isipokuwa kuuliza maswali ya nyongeza tu.
Leo hii wakuu zangu nimeamka vibaya na hakika sipendi kuzungumza mengi isipokuwa nasema Mkuu wangu Mbowe, ile tabia ya kuwatumia watu kisha ukawaacha mataani iache.. sii nzuri hata kidogo na wala sii uungwana kwa sababu siasa sio biashara ni maelewano ambayo yanahitaji uaminifu na makubaliano ambayo hayawezi vunjika mara tu unapofanikiwa na kutaka kuvuta asilimia yote 100 wewe.
Hizi tabia za kusema CUF wana wivu ni tabia za kishenzi tu, ni tabia zisizokuwa na shukranii kutofikiria ulitoka wapi na leo umefika wapi ukasahau kwamba pasipo ushirikiano wa mwenzako pengine usingefika hapo ulipo. Alichozungumza Rashid ndiyo hali halisi na sioni sababu kwa nini watu mlitaka afiche hali ndicho kilichotokea hadi kutokuwepo ushirikiano baina ya vyama kuunda kambi ya Upinzani. Sasa kama Chadema mnafikria mnaweza kwenda solo baada ya mafanikio mloyapata uchaguzi huu, sawa endeleeni kufurahia matunda hayo lakini amini maneno yangu malipo yake yatakuja jitokeza muda sii mrefu... Itakula kwenu.
huo kama sio umbea maana yake nini? Anongea wanaume wawili mambo ya kitaifa wewe unayatoa hadaharani.
Mkuu Mkandara...nakubaliana na ulichosema kwa 110% lakini validity yake nadhani imekuwa overtaken na time (or rather events).Wakuu zangu hili sio swala la kupuuza hata kidogo. Chadema acheni uchu wa madaraka kuunda kambi ya Upinzani na haitawasaidia chochote zaidi ya kujenga fitna zaidi.
Kweli kabisa Chadema kulingana na katiba inayo haki ya kufanya kila kitu watakavyo isipokuwa mjue tu kinachozungumziwa zaidi na katiba ni jinsi ya kumpata kiongozi wa kambi hiyo ya Upinzani, kuliko uundwaji wa kambi yenyewe.
Vipengele vyote vinazungumzia nani atakuwa kiongozi wa kambi hiyo lakini haikatazi chama kuunda umoja na vyama vingine kwani maana ya kuunda kambi hiyo ni kutoa fursa kwa vyama vingine vipate nafasi ya kuzungumzia hoja walizokuwa nazo dhidi ya chama tawala. Kinyume cha vyama hivyo havitakuwa na nafasi hiyo isipokuwa kuuliza maswali ya nyongeza tu.
Leo hii wakuu zangu nimeamka vibaya na hakika sipendi kuzungumza mengi isipokuwa nasema Mkuu wangu Mbowe, ile tabia ya kuwatumia watu kisha ukawaacha mataani iache.. sii nzuri hata kidogo na wala sii uungwana kwa sababu siasa sio biashara ni maelewano ambayo yanahitaji uaminifu na makubaliano ambayo hayawezi vunjika mara tu unapofanikiwa na kutaka kuvuta asilimia yote 100 wewe.
Hizi tabia za kusema CUF wana wivu ni tabia za kishenzi tu, ni tabia zisizokuwa na shukranii kutofikiria ulitoka wapi na leo umefika wapi ukasahau kwamba pasipo ushirikiano wa mwenzako pengine usingefika hapo ulipo. Alichozungumza Rashid ndiyo hali halisi na sioni sababu kwa nini watu mlitaka afiche hali ndicho kilichotokea hadi kutokuwepo ushirikiano baina ya vyama kuunda kambi ya Upinzani. Sasa kama Chadema mnafikria mnaweza kwenda solo baada ya mafanikio mloyapata uchaguzi huu, sawa endeleeni kufurahia matunda hayo lakini amini maneno yangu malipo yake yatakuja jitokeza muda sii mrefu... Itakula kwenu.
mkuu tukiangalia hivyo na tukienda down that road utaanza kuona kwamba wote wana makosa. Maana cuf wanaonekana ni waislamu na chadema wakatoliki/wachaga. Udini upo na ukabila upo sikatai. Hata katika hali ya kawaida mtu ukiwa na nafasi uka kutana na mtu wa kabila lako au dini yako una kuta ni rahisi zaidi kuwasaidia ila haimaanishi wewe ni mkabila au mdini.
Ila mkuu hamna haja ya mimi na wewe kubishana. Unaweza kuwa sahihi kusema udini umechangia nami nasema muafaka nao kwa kiasi kikubwa umechangia. Mbona wakati cuf ndiyo wameunda baraza kivuli bunge lililo pita wali washirikisha chadema? Wakati huo udini haukuepo? Kwa mantiki hilo swala la kwanza linalo kuja kichwani mwangu ni kwamba it's not a matter of "udini" per se bali inferiority complex inayo izuia cuf kuwa chini ya chadema kwenye baraza kivuli ndani ya bunge.
Mundo, you have nailed it all mkuu; kama kweli Hamad Rashid anaiponda CHADEMA kwa kutotaka kushirikisha vyama vingine vya upinzani zaidi ya CUF wao CUF na CCM wangeshirikisha vyama vingine pia kuunda serikali huko Zanzibra, kitu ambacho CUF hawakukifanya huko Zanzibar kwa nini wanalazimisha kifanywe na CHADEMA huku Bara? UNAFIKI!
Hapa ninachoona, na kipo wazi ni kuwa CUF kipo kwa manufaa ya Wazanzibari zaidi na si Watanzania, wao wamepata huko Zanzibar ambapo ndipo walipopapigania hadi kumwaga damu basi hawana haja na ukombozi wa Watanganyika!
Hivi tuongeze ukweli upi zaidi ya huu? Thanks William. Be Blessed a million times.- Well, hii ni nothing but cheap politics halafu you wonder who is immature here Mwenyekiti wa Chadema aliyeongea naye huyu kiongozi wa CUF in private, au huyu kiongozi wa CUF aliyeyaleta mambo ya Private kwenye Public? Sasa unaunda vipi umoja wa Upinzani bungeni na viongozi kama hawa wasioelewa kutenganisha maana ya ishus za private na ishus za public!
- I mean mambo kama haya yataishia kurudisha nyuma tu momentum ya ari ya wananchi waliyoionyesha kwenye huu uchaguzi kwamba wanataka mabadiliko, sasa kama CUF hawaelewi basi dawa ni kuachana nao tunachotaka ni upinzani wa kweli bungeni ili taifa liweze kunufaika na uwajibikaji utakaoletwa na Upinzani kweli bungeni hata kama ni mdogo, maana sasa itakwua nguvu ya hoja zaidi kuliko uwingi wa wabunge wa chama,
- CUF someni mabadiliko ya nyakati wananchi hawana tena muda wa kupoteza na hizi habari zisizo na anything good kwa taifa, zaidi tu ya kutafuta cheap popularity ambayo kama imeshindikana kupatikana kwenye kura, haiwezi kupatikana kwa kulumbana kwenye public na wapinzani wengine!, it stinks!
William.
Have you seen post number 3 Mh. Acid? It is so clear that Chadema will never surrender to CUF.Loud and clear... CUF wameamua kuwa wanafiki... lakini cha maana ni chadema kurudi kambini na kupanga upya mambo yao
Thanks for the post
Nilikuwa nalisoma mtandaoni lakini nimeliondoa hata kwenye cookies zangu! Silitaki kabisa kama nisivyotaka Uhuru na magazeti yote ya Rostam.HIYO HABARI YENYEWE NAONA UMEITOA KWENYE GAZETI LENYE KINYESI CHA NGURUWE HABARI LEO GAZETI LINALONAJISIWA KILA KUKICHA,JANA MHARIRI WAKE KAANDIKA TAHARIRI YAKE AKISEMA HIVI chadema acheni kurudisha maendeleo ya watanzania nyuma. JAPO KUWA SINA KIPATO CHA KUNUNUA GAZETI NA MAGAZETI NAYASIKILIZIA YAKISOMWA REDIONI.NALICHUKIA HABARI LEO KAMA MATAPISHI
Loud and clear... CUF wameamua kuwa wanafiki... lakini cha maana ni chadema kurudi kambini na kupanga upya mambo yao
Thanks for the post
- Well, hii ni nothing but cheap politics halafu you wonder who is immature here Mwenyekiti wa Chadema aliyeongea naye huyu kiongozi wa CUF in private, au huyu kiongozi wa CUF aliyeyaleta mambo ya Private kwenye Public? Sasa unaunda vipi umoja wa Upinzani bungeni na viongozi kama hawa wasioelewa kutenganisha maana ya ishus za private na ishus za public!