CUF Taasisi iwe makini na hujuma za mwisho kuelekea hukumu ya tarehe 22 Februari, 2019

Huo ndio ujumbe wa leo. Kwanza kutokana na hukumu ya jana tarehe 18 Februari, 2019 kuhusu UHALALI WA BODI YA LIPUMBA na namna maamuzi yalivyofanywa bado inaonesha kuna kiwingu ama mitego mingi ambayo imewekwa na pengine inaweza kutumiwa kama fursa ya kukwamisha baadhi ya mambo mengine ikiwemo kesi ya Uhalali wa mwenyekiti Lipumba.

Jee ni kweli bila shaka yoyote kuwa bodi ya zamani ndio inayotambulika kisheria ?

Viongozi hawapaswi kubweteka kwa maamuzi ya jana ambayo akina sisi tusiokuwa wanasheria bado hatujapata grounds za maamuzi zaidi ya kuona kuwa labda kuna mitego tu hasa kwa kuzingatia TAARIFA ZA SIRI ZILIZOVUJA KUHUSU NJAMA ZA JAJI MUTUNGI , VIONGOZI WA SERIKALI NA HAKIMU kuhusishwa na rushwa ili kesi iamuliwe visivyo. Jee bado kuko salama ?

Kunahitajika umakini kuhusu kutumiwa mwanya wa hujuma ili kesi iliyopo isisomwe ama kusogezwa mbele na mambo mengine kama hayo. Kwa mfano jee upande ulioshindwa kesi ya USAJILI WA RITA hawawezi kukata rufaa na kuchelewesha maamuzi ya kesi ya tarehe 22 Februari, 2019 ? Nini mnapaswa kufanya kisheria kabla ya hujuma kuanza ? yote hayo yazingatiwe.

Jee kwa maamuzi ya jana hayatoi nafasi za kiufundi kwa kesi ya tarehe 22, kukosa mashiko ya maamuzi na kisheria na hivyo LIpumba kupata fursa ya kufanya hujuma zaidi kwa kushirikiana na wadhamini wao ? Na jee huo sio mpango wa kuhujumu kesi ya Msingi ya UENYEKITI WA LIPUMBA AMBAO KAMA IKITOKEA ITAKUWA UMEPANGWA NA JAJI ?

Vyovyote iwavyo, Bado kunahitajika umakini zaidi maana ni wazi waliomtuma Lipumba walikusudia lao kwenye hili sakata la Mgogoro wa kupandikizwa.

Kishada

Mashaka na tahadhari yako ina maana sana....

Hizi serikali mbili (JMT na SMZ) kwa kiwango kikubwa ziko kihalifu halifu sana...

Si rahisi kukubali kushindwa kirahisi rahisi tu...

Mfano ulio wazi ni ishu ya Tundu Lissu. Yaani uhalifu ulio wazi kabisa na serikali na vyombo vya ulinzi na usalama vyenye wajibu wa kuchunguza na kuwatia kwenye mikono ya kisheria wahalifu, cha ajabu na kijinga kabisa inatumia njia za kishamba kufunika uhalifu huo kwa sababu za kijinga kabisa hata mtoto wa darasa la kwanza kuuang'amua ujinga huo...!!

Kwa hiyo, kwa kesi ya CUF, truly wasifurahie. Wawe waangalifu sana....

Mfano, it's possible Lipumba akatambuliwa kuwa M/kiti halali wa CUF....

Ikitokea hivyo, maana yake ishu ya Bodi feki ya wadhamini wa CUF wa Lipumba inakuwa not a deal again....

Maana yake pia ni kuwa, akishakuwa M/kiti halali atakuwa sasa na mamlaka kamili na halali ya kuifanya Bodi ile halali once again....

Na huku akisaidiwa na dola, atakuwa ameshajipanga kukabiliana na maamuzi yasiyo halali yaliyofanywa na Bodi hii kabla ya hukumu ya jana....!!

Kwa sbb jana tu immediately baada ya hukumu ya Bodi ya Lipumba kuwa denounced, tulimwona Maalim Seif Sharrif Hamad akiomba CAG kufanya special audit ya ruzuku ya chama zilizotolewa kwa CUF - Lipumba nadhani lengo lake ni ili wawe "criminalized" so long as eti Bodi ya wadhamini chini ya Lipumba yenye jukumu la kusimamiwa mali na fedha za chama haikuwa halali as per judgement of Court of Law.....

Sina hakika kama wanaopanga, kuratibu na kutekeleza haya huko serikalini kwa kuwatumia Msajili wa vyama vya siasa Judge Mutungi na Lipumba ni wajinga wa kiwango hiki kwamba, they can go all that way halafu wawatelekeze njiani wa - face the consequences.....

CUF, you need to be smarter than them on this matter, otherwise mtalia na kusaga meno si muda mrefu na furaha yenu ya muda mfupi kugeuka kuwa upupu wa kuwawasha kila sehemu ya miili yenu....!!
 
Hihata huna akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikifika pahala watawala wanafikiria kuuwa vyama kwa mbinu chafu basi jua wameshikwa.
mimi ninachojua chama kama cdm na Cuf pale kilipofika hakiwezi kufa japo jina laweza kubadilika. wanahangaika tu hawa!
 
Huo ndio ujumbe wa leo. Kwanza kutokana na hukumu ya jana tarehe 18 Februari, 2019 kuhusu UHALALI WA BODI YA LIPUMBA na namna maamuzi yalivyofanywa bado inaonesha kuna kiwingu ama mitego mingi ambayo imewekwa na pengine inaweza kutumiwa kama fursa ya kukwamisha baadhi ya mambo mengine ikiwemo kesi ya Uhalali wa mwenyekiti Lipumba.

Jee ni kweli bila shaka yoyote kuwa bodi ya zamani ndio inayotambulika kisheria ?

Viongozi hawapaswi kubweteka kwa maamuzi ya jana ambayo akina sisi tusiokuwa wanasheria bado hatujapata grounds za maamuzi zaidi ya kuona kuwa labda kuna mitego tu hasa kwa kuzingatia TAARIFA ZA SIRI ZILIZOVUJA KUHUSU NJAMA ZA JAJI MUTUNGI , VIONGOZI WA SERIKALI NA HAKIMU kuhusishwa na rushwa ili kesi iamuliwe visivyo. Jee bado kuko salama ?

Kunahitajika umakini kuhusu kutumiwa mwanya wa hujuma ili kesi iliyopo isisomwe ama kusogezwa mbele na mambo mengine kama hayo. Kwa mfano jee upande ulioshindwa kesi ya USAJILI WA RITA hawawezi kukata rufaa na kuchelewesha maamuzi ya kesi ya tarehe 22 Februari, 2019 ? Nini mnapaswa kufanya kisheria kabla ya hujuma kuanza ? yote hayo yazingatiwe.

Jee kwa maamuzi ya jana hayatoi nafasi za kiufundi kwa kesi ya tarehe 22, kukosa mashiko ya maamuzi na kisheria na hivyo LIpumba kupata fursa ya kufanya hujuma zaidi kwa kushirikiana na wadhamini wao ? Na jee huo sio mpango wa kuhujumu kesi ya Msingi ya UENYEKITI WA LIPUMBA AMBAO KAMA IKITOKEA ITAKUWA UMEPANGWA NA JAJI ?

Vyovyote iwavyo, Bado kunahitajika umakini zaidi maana ni wazi waliomtuma Lipumba walikusudia lao kwenye hili sakata la Mgogoro wa kupandikizwa.

Kishada
Pesa haipo, lipumba kala pesa, mashahidi wake hawajalipwa, na viongozi wa chama chake, kama utasoma siri hio unayo sema, bc utapata majibu, jengine ikiwa mahakama itatoa fursa ya rufaa, sio kila kesi ina rufaa wakati ushahidi asilimia Mia moja upo mahakama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
They're smart more than you think, washakaa na kujadili, na kila movements za mahafidhina maalim na cabinets wanazipata, cuf ya maalim kiboko, we kwa akili yako hio siri wamejuaje?
Mashaka na tahadhari yako ina maana sana....

Hizi serikali mbili (JMT na SMZ) kwa kiwango kikubwa ziko kihalifu halifu sana...

Si rahisi kukubali kushindwa kirahisi rahisi tu...

Mfano ulio wazi ni ishu ya Tundu Lissu. Yaani uhalifu ulio wazi kabisa na serikali na vyombo vya ulinzi na usalama vyenye wajibu wa kuchunguza na kuwatia kwenye mikono ya kisheria wahalifu, cha ajabu na kijinga kabisa inatumia njia za kishamba kufunika uhalifu huo kwa sababu za kijinga kabisa hata mtoto wa darasa la kwanza kuuang'amua ujinga huo...!!

Kwa hiyo, kwa kesi ya CUF, truly wasifurahie. Wawe waangalifu sana....

Mfano, it's possible Lipumba akatambuliwa kuwa M/kiti halali wa CUF....

Ikitokea hivyo, maana yake ishu ya Bodi feki ya wadhamini wa CUF wa Lipumba inakuwa not a deal again....

Maana yake pia ni kuwa, akishakuwa M/kiti halali atakuwa sasa na mamlaka kamili na halali ya kuifanya Bodi ile halali once again....

Na huku akisaidiwa na dola, atakuwa ameshajipanga kukabiliana na maamuzi yasiyo halali yaliyofanywa na Bodi hii kabla ya hukumu ya jana....!!

Kwa sbb jana tu immediately baada ya hukumu ya Bodi ya Lipumba kuwa denounced, tulimwona Maalim Seif Sharrif Hamad akiomba CAG kufanya special audit ya ruzuku ya chama zilizotolewa kwa CUF - Lipumba nadhani lengo lake ni ili wawe "criminalized" so long as eti Bodi ya wadhamini chini ya Lipumba yenye jukumu la kusimamiwa mali na fedha za chama haikuwa halali as per judgement of Court of Law.....

Sina hakika kama wanaopanga, kuratibu na kutekeleza haya huko serikalini kwa kuwatumia Msajili wa vyama vya siasa Judge Mutungi na Lipumba ni wajinga wa kiwango hiki kwamba, they can go all that way halafu wawatelekeze njiani wa - face the consequences.....

CUF, you need to be smarter than them on this matter, otherwise mtalia na kusaga meno si muda mrefu na furaha yenu ya muda mfupi kugeuka kuwa upupu wa kuwawasha kila sehemu ya miili yenu....!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kauli yako ina utata. Inawezekana unajuwa kinachoendelea. Jee ile ya jana sio danganya toto ili kupata fursa ya kuimaliza Taasisi pale maamuzi yakifanywa ioinekane mahakama iko fair? hasa ikizingatiwa SHUTUMA ZA HUJUMA NA RUSHWA HAZIJAKANUSHWA ?
Yaan ww wa ajabu sana. Maamuzi ya haki ni yale yanayokupa ushindi ww tu bas!!?? Hata wakisema Lipumba ni mwenyekiti halali, bado yatabaki ni maamuzi ya haki. Ambae hataridhika basi akate rufaa. Mahakama ni chombo cha kutoa haki. Yeyote mwenye haki ndo tunategemea apewe ushindi. Anaweza kuwa seif au Lipumba. Subiri hiyo 22 uone hukumu itakuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom