Link CUF: Tutachukua hatua za kisheria dhidi ya watu wanajiita bodi ya wadhamini wa ChamaSiasa ya kiafrika zimejaa drama nyingi sana.
Link CUF: Tutachukua hatua za kisheria dhidi ya watu wanajiita bodi ya wadhamini wa ChamaSiasa ya kiafrika zimejaa drama nyingi sana.
Uliwekwa uzi hapa kuhusu hili mkadai ni uzishi, haya sasa!! Watano kati ya tisa wamekataa kikao hicho cha zanzibar na hawamtaki Seif.
Heri mutangulie kwa pilato tujue mpini wa CUF ameshika nani.
Mbona alikimbia kipindi cha kampeni? Lipumba hana Uchungu na CUF bali pesa za ccm ndizo zinamtoa fahamu na siku ccm wakisitisha kumpatia pesa lazima atasepa na kuwa kimya.Ningeshangaa profesa kung'olewa kirahisi namna hiyo kwenye chama alichokipigania kwa muda mrefu.
Hao baadhi yao wana njaa watakuwa wamenunuliwa na Lipumba safari hii Lipumba lazima awafirisi CCM maana kila kukicha anaomba pesa zaidi kwa ajili ya kununua wanachama wa kumuunga mkono.
Una evidence yoyote inayoonyesha serikali ilimpatia fedha lipumba ili avuruge Ukawa? Nahisi ubongo wako umejaa Ushuzi, acha kufikiri kwa kutumia UshuziPesa ya serikali kuhamia Dodoma imekuwa shida, pesa za misaada kwa waathirika bukoba walichangisha watu lakini pesa za kumpatia lipumba avuruge ukawa ipo ya kutosha
Alikimbia sababu Maalim alimzunguka akalamba pesa ndefu kwa lowasa, kwani hulijui hilo Mnyoo?Mbona alikimbia kipindi cha kampeni? Lipumba hana Uchungu na CUF bali pesa za ccm ndizo zinamtoa fahamu na siku ccm wakisitisha kumpatia pesa lazima atasepa na kuwa kimya.
Hivi tuseme haya yote walikuwa hawayafahamu??? na walichukua hatua gani. Wazee wetu wametuachia methali nyingi tu na moja wapo ni MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO 'SPARE THE ROD AND SPOIL THE CHILDWajumbe wa bodi ya wadhamini toka Bara wameonyesha kutokubaliana kabisa na msimamo wa upande wa pili unaopingana na Mwenyekiti wa CUF, Prof Lipumba.
Kulingana na habari za ITV saa mbili, mtanange unaoonyesha kuwa Bodi ya wadhamini imegawanyika kabisa, huku wajumbe toka bara wakisema mambo kutoka kwa Maalim, enough is enough.
Upande unaolalamikiwa kwa ukiukwaji wa taratibu ndani ya chama cha CUF, ni ule unaoongozwa na Maalim Seif. Mjumbe mmoja ameenda mbali zaidi na kudai tatizo ni usultani wa Katibu wa chama Maalim Seif.
Mjumbe huyo amedai Maalim amekuwa akijilimbikizia madaraka na hatimae kuwafukuza wanachama waanzilishi kama James Mapalala, Mzee Mloo na hata Hamad Rashid.
Mjumbe huyo akimfananisha Maalim na Napoleon aliyeshinda vita nyingi na hatimaye kuzidiwa nguvu katika mji wa Waterloo huko Ulaya, mjumbe huyo kasema Maalim sasa kafika Waterloo yake. Hapa ndo kafika.
Mjumbe mwingine amesema vikao vilivyoitishwa kinyemela huko Zanzibar bila kushirikisha wajumbe toka Bara ni ukiukaji mkubwa wa taratibu za chama.
Sinema inaendelea.
Njaa na unafiki unakiangamiza chama cha CUF.
Link Mwenyekiti Magufuli, tukataze kumshabikia Prof. Lipumba. Anatuaibisha!Heri mutangulie kwa pilato tujue mpini wa CUF ameshika nani.
Mwalimu alisema mtu akianza ubaguzi tu, itammaliza na hataishia kubagua mtu mmoja.Mimi namshabikia lipumba kwa sababu anatoka bara tu, huyo maalim itachukua muda sana kumkubali
Wewe ubaguzi umekumaliza? CCM damudamu mna shida sana. CCM katika nchi hii ndio wabaguzi. Wanaiba chaguzi na kupindua matokeo ya uchaguzi. Au huo sio ubaguzi? Kwa nini CCM inajihisi na kujiona ina hati miliki ya kuitawala nchi hii? Au huo sio ubaguzi?Mwalimu alisema mtu akianza ubaguzi tu, itammaliza na hataishia kubagua mtu mmoja.
Rekodi ya Maalim inajieleza, na inammaliza
Lowassa.Kama una mtu mmoja, angalau mwanasiasa yeyote wa nchi hii ambaye hana njaa na pia si mnafiki naomba umtaje, mmoja tu halafu tuone kama vyama vingine vitapona!
mkuu hata kama wote wange mpinga seif, bado inge halalisha marejeo ya lipumba!!!!!,.....hili linaeleweka kwa tu kwa mzee Ibra na baadhi ya wana ccm tu.Uliwekwa uzi hapa kuhusu hili mkadai ni uzishi, haya sasa!! Watano kati ya tisa wamekataa kikao hicho cha zanzibar na hawamtaki Seif.