Kama nimemshapatia "Bwana Yule " pesa imekula kwenuMara waseme walikua wanne,baada ya kukanwa leo wanakuja kusema walikua sita,taarifa haina tarehe wala saini,inaonesha kabisa imetolewa na Mtatiro,Mtatiro mzuri sana kwenye hekaya kama hizi lakini vitu vidogo sana vinafanya hii statement isiaminike,mbona hawakutuambia haya hiyo jana?
Sefu amekwama safari hii
Maalim alicheza kwao na Lipumba kaita wa kwao.Aisee kwa akili ya kawaida na hao wanaoshabikia leo ni sahihi mtu kujiuzuru alafu akalazimisha kwa nguvu kurudi kwenye post ile ile bila hata uchunguzi na wala hawawez kujiuliza hilo.... Jamani hapa kweli inahitaji degree kujua huyu mtu hafai.... Daaaah kweli penye uzia penyeza Rupia.. M
Sasa wew huoni hapo Nani mshindi? Kama watano wamekataa na Tisa wabakubali kuna haja ya kushindana na vibaraka watano hao.Uliwekwa uzi hapa kuhusu hili mkadai ni uzishi, haya sasa!! Watano kati ya tisa wamekataa kikao hicho cha zanzibar na hawamtaki Seif.
Ni wahuni tu!!Kuna watu walipumbazwa na vile vi Press conference uchwara vya haraka haraka vya Kina Mtatiro na Mbowe wakadanganywa eti Prof yupo na kundi la wahuni tu!
Wakili Mkongwe Mzee Twaha Issa Taslima kaona Maji Marefu kakabidhi Uongozi hewa wa Muda kwa Julius Mtatiro nae kaingia kichwa kichwa akadhani kuongea kwa sauti ya Juu na kufoka fola kwny Mikutano ndio ushindi. Taratibu watu Wataanza kuelewa kuwa Siasa ni Sio kitu cha Mchezo mchezo na kosa kubwa kwny Siasa ni kubeza nguvu ya adui
KAMAHURU ya akina Maalim na CCW ya akina Mapalala. Maji hata uyachemshe hadi 1000 c yatarudi tu kuwa baridi mwishowe. CUF sasa inarudi ilikotoka. Mdhamini anasema Maalim ni Sultan!!Wajumbe wa bodi ya wadhamini toka Bara wameonyesha kutokubaliana kabisa na msimamo wa upande wa pili unaopingana na Mwenyekiti wa CUF, Prof Lipumba.
Kulingana na habari za ITV saa mbili, mtanange unaoonyesha kuwa Bodi ya wadhamini imegawanyika kabisa, huku wajumbe toka bara wakisema mambo kutoka kwa Maalim, enough is enough.
Upande unaolalamikiwa kwa ukiukwaji wa taratibu ndani ya chama cha CUF, ni ule unaoongozwa na Maalim Seif. Mjumbe mmoja ameenda mbali zaidi na kudai tatizo ni usultani wa Katibu wa chama Maalim Seif.
Mjumbe huyo amedai Maalim amekuwa akijilimbikizia madaraka na hatimae kuwafukuza wanachama waanzilishi kama James Mapalala, Mzee Mloo na hata Hamad Rashid.
Mjumbe huyo akimfananisha Maalim na Napoleon aliyeshinda vita nyingi na hatimaye kuzidiwa nguvu katika mji wa Waterloo huko Ulaya, mjumbe huyo kasema Maalim sasa kafika Waterloo yake. Hapa ndo kafika.
Mjumbe mwingine amesema vikao vilivyoitishwa kinyemela huko Zanzibar bila kushirikisha wajumbe toka Bara ni ukiukaji mkubwa wa taratibu za chama.
Sinema inaendelea.
Uliwekwa uzi hapa kuhusu hili mkadai ni uzishi, haya sasa!! Watano kati ya tisa wamekataa kikao hicho cha zanzibar na hawamtaki Seif.
Toka juz baada ya kuona uzi wa kumkataa lowasa wa 2014 hadi waking salary wakahamua kubadli id jf nimeikubaliii,,, lipumba beba cuf daima,, huku jf wajinga tumewashikaKweli mkuu asante sana kwa kunote hilo.
Tatizo kubwa wana JF wengi wanakosa kuwa analytical katika matukio kama haya.
Na huu si ushabiki bali extrapolation ya events na matokeo yake katika jamii.
njaa mbaya mkuu imewagawanya kabisaTatizo la cuf ni kukosa umoja sio kama chadema wakiamua na iwe moja wote inakuwa moja hakuna kurudi nyuma na kugawanyika
Hiyo mjumbe njaa tayari kapewa Mgao ile pesa ya viwandaWajumbe wa bodi ya wadhamini toka Bara wameonyesha kutokubaliana kabisa na msimamo wa upande wa pili unaopingana na Mwenyekiti wa CUF, Prof Lipumba.
Kulingana na habari za ITV saa mbili, mtanange unaoonyesha kuwa Bodi ya wadhamini imegawanyika kabisa, huku wajumbe toka bara wakisema mambo kutoka kwa Maalim, enough is enough.
Upande unaolalamikiwa kwa ukiukwaji wa taratibu ndani ya chama cha CUF, ni ule unaoongozwa na Maalim Seif. Mjumbe mmoja ameenda mbali zaidi na kudai tatizo ni usultani wa Katibu wa chama Maalim Seif.
Mjumbe huyo amedai Maalim amekuwa akijilimbikizia madaraka na hatimae kuwafukuza wanachama waanzilishi kama James Mapalala, Mzee Mloo na hata Hamad Rashid.
Mjumbe huyo akimfananisha Maalim na Napoleon aliyeshinda vita nyingi na hatimaye kuzidiwa nguvu katika mji wa Waterloo huko Ulaya, mjumbe huyo kasema Maalim sasa kafika Waterloo yake. Hapa ndo kafika.
Mjumbe mwingine amesema vikao vilivyoitishwa kinyemela huko Zanzibar bila kushirikisha wajumbe toka Bara ni ukiukaji mkubwa wa taratibu za chama.
Sinema inaendelea.
Ndipo utajua kuwa Siasa ya Tanzania haipo kokote Duniani, hata hii style ya CCM kutumia pesa za umma kuwakoroga upinzani haipo kokote.Aisee kwa akili ya kawaida na hao wanaoshabikia leo ni sahihi mtu kujiuzuru alafu akalazimisha kwa nguvu kurudi kwenye post ile ile bila hata uchunguzi na wala hawawez kujiuliza hilo.... Jamani hapa kweli inahitaji degree kujua huyu mtu hafai.... Daaaah kweli penye uzia penyeza Rupia.. M
Kabisa bwana ushuzi haya mambo ya aibu sana... Nahis bado tupo kwenye evolution stage waafricaNdipo utajua kuwa Siasa ya Tanzania haipo kokote Duniani, hata hii style ya CCM kutumia pesa za umma kuwakoroga upinzani haipo kokote.
kwanini ZANZIBAR TU??????Hao wajumbe hawana majina. Mbona hawajatajwa? Tunachojua sisi ni kwamba wajumbe wote 9 wa bodi ya wadhamini wakiongozwa na mwenyekiti, Mh. Khatau toka wilayani Masasi, walikuwepo kwenye kikao kilichofanyika Zanzibar hiyo juzi.