CUF sasa dhahiri mambo ni magumu

CUF sasa dhahiri mambo ni magumu

Hao wajumbe hawana majina. Mbona hawajatajwa? Tunachojua sisi ni kwamba wajumbe wote 9 wa bodi ya wadhamini wakiongozwa na mwenyekiti, Mh. Khatau toka wilayani Masasi, walikuwepo kwenye kikao kilichofanyika Zanzibar hiyo juzi.
20161004_202831.jpg
 
Kama ni kweli kikao cha bodi ya wadhamini kilikuwa na wajumbe wanne tu wa Zanzibar na wale watano wa Bara hawakushiriki, then tatizo ni kubwa. Kama ni kweli...maana hii drama inaunfold na versions tofauti kila kukicha na watu wamejitoa ufahamu kabisa
 
20161004_202732.jpg

Mjumbe wa bodi toka Mwanza amesema hawakuitwa Zanzibar wakati yeye anamfadhili Maalim kila akienda Mwanza.
 
Wajumbe wa bodi ya wadhamini toka Bara wameonyesha kutokubaliana kabisa na msimamo wa upande wa pili unaopingana na Mwenyekiti wa CUF, Prof Lipumba.

Kulingana na habari za ITV saa mbili, mtanange unaoonyesha kuwa Bodi ya wadhamini imegawanyika kabisa, huku wajumbe toka bara wakisema mambo kutoka kwa Maalim, enough is enough.

Upande unaolalamikiwa kwa ukiukwaji wa taratibu ndani ya chama cha CUF, ni ule unaoongozwa na Maalim Seif. Mjumbe mmoja ameenda mbali zaidi na kudai tatizo ni usultani wa Katibu wa chama Maalim Seif.

Mjumbe huyo amedai Maalim amekuwa akijilimbikizia madaraka na hatimae kuwafukuza wanachama waanzilishi kama James Mapalala, Mzee Mloo na hata Hamad Rashid.

Mjumbe huyo akimfananisha Maalim na Napoleon aliyeshinda vita nyingi na hatimaye kuzidiwa nguvu katika mji wa Waterloo huko Ulaya, mjumbe huyo kasema Maalim sasa kafika Waterloo yake. Hapa ndo kafika.

Mjumbe mwingine amesema vikao vilivyoitishwa kinyemela huko Zanzibar bila kushirikisha wajumbe toka Bara ni ukiukaji mkubwa wa taratibu za chama.

Sinema inaendelea.
Nilishasema hapa bila chama cha "mkataba" hakitaeleweka
 
Na wananchi ndo tunakikimbia chama.
PR pumba anaishi wapi?
 
Njaa na unafiki unakiangamiza chama cha CUF.
Nimewatazama wale wajumbe wa bodi kupitia ITV, nimewasikiliza pia. Nilichojifunza ni kwamba hivi vyama vya siasa, kwa baadhi ya watu vimegeuka kuwa "vyombo vya kuendeshea" maisha yao. Wale wajumbe, pengine kwa kuelekezwa, wanaugeuza mgogoro uliopo CUF sasa kuwa baina ya CUF bara na CUF Zanzibar. Na ili kunogesha wanamwonyesha Seif kuwa ndiye tatizo. Taasisi zinazoua vyama vya upinzani vinavyosumbua chama tawala huelekeza mashambulizi kwa viongozi BOLD kama ilivyo kwa Seif. Wale wazee kudhihirisha kuwa wanatumika sasa kukimaliza chama, wametumia jukwaa lile kumshambulia Seif tena kwa kutumia hoja zisizoendana na mgogoro uliopo CUF sasa. Kwa hali ilivyo, hawa wazee kama akina Lugeye ndio watatumika kuimaliza kabisa CUF iwe sawa na TLP ya Mrema, UDP ya Cheyo, kile cha Dovutwa; na the like. Sioni kama kuna namna CUF itajinasua katika mbinu hizi za kutumia watu waliochoka!
 
Hao wajumbe hawana majina. Mbona hawajatajwa? Tunachojua sisi ni kwamba wajumbe wote 9 wa bodi ya wadhamini wakiongozwa na mwenyekiti, Mh. Khatau toka wilayani Masasi, walikuwepo kwenye kikao kilichofanyika Zanzibar hiyo juzi.
ni hawa hapa tu ndio walialikwa
img-20161003-wa0050-jpg.411424

Akidi haikutimia tehe tehe tehe
 
Kama ni kweli kikao cha bodi ya wadhamini kilikuwa na wajumbe wanne tu wa Zanzibar na wale watano wa Bara hawakushiriki, then tatizo ni kubwa. Kama ni kweli...maana hii drama inaunfold na versions tofauti kila kukicha na watu wamejitoa ufahamu kabisa
Ni hawa hapa wajumbe wa Bodi wa sefu
img-20161003-wa0050-jpg.411424

Akidi haikutimia tehe tehe tehe
 
Mgogoro unahusu Lipumba kujirudisha uenyekiti baada ya kujiuzulu sasa tatizo la Maalim Seif liko wapi?. au ndio kubadili agenda au kama wasemavyo nia ni kumtoa Maalim Seif kwenye agenda ya uchaguzi zanzibar,?

Tatizo la Mwalimu Sefu ni kuhadaa watu kuitisha Kikao cha Marafiki zake Zanzibar na kusema wamemfukuza Mwenykt wa Chama chake ambae pia ni Boss wake

Tatizo la Sefu ni kuupeleka Mgogoro wa CUF kwa Freeman Mbowe na kudai eti hawamtambui Prof.

Utakuwa umeelewa uhusiano wa Seif na Mapinduzi yaliyoshindwa ndani ya CUF
 
Nimewatazama wale wajumbe wa bodi kupitia ITV, nimewasikiliza pia. Nilichojifunza ni kwamba hivi vyama vya siasa, kwa baadhi ya watu vimegeuka kuwa "vyombo vya kuendeshea" maisha yao. Wale wajumbe, pengine kwa kuelekezwa, wanaugeuza mgogoro uliopo CUF sasa kuwa baina ya CUF bara na CUF Zanzibar. Na ili kunogesha wanamwonyesha Seif kuwa ndiye tatizo. Taasisi zinazoua vyama vya upinzani vinavyosumbua chama tawala huelekeza mashambulizi kwa viongozi BOLD kama ilivyo kwa Seif. Wale wazee kudhihirisha kuwa wanatumika sasa kukimaliza chama, wametumia jukwaa lile kumshambulia Seif tena kwa kutumia hoja zisizoendana na mgogoro uliopo CUF sasa. Kwa hali ilivyo, hawa wazee kama akina Lugeye ndio watatumika kuimaliza kabisa CUF iwe sawa na TLP ya Mrema, UDP ya Cheyo, kile cha Dovutwa; na the like. Sioni kama kuna namna CUF itajinasua katika mbinu hizi za kutumia watu waliochoka!
Mkuu wale wajumbe wamerusha tuhuma nzito na kumuita Maalim kuwa na tabia ya usultani.
Eleza kwanini Maalim aliwatimua kwa hila James Mapalala, Shabaan Mloo na hata Hamad Rashid.

Maalim kaanikwa hakuna kichaka cha kujificha.
 
Nimewatazama wale wajumbe wa bodi kupitia ITV, nimewasikiliza pia. Nilichojifunza ni kwamba hivi vyama vya siasa, kwa baadhi ya watu vimegeuka kuwa "vyombo vya kuendeshea" maisha yao. Wale wajumbe, pengine kwa kuelekezwa, wanaugeuza mgogoro uliopo CUF sasa kuwa baina ya CUF bara na CUF Zanzibar. Na ili kunogesha wanamwonyesha Seif kuwa ndiye tatizo. Taasisi zinazoua vyama vya upinzani vinavyosumbua chama tawala huelekeza mashambulizi kwa viongozi BOLD kama ilivyo kwa Seif. Wale wazee kudhihirisha kuwa wanatumika sasa kukimaliza chama, wametumia jukwaa lile kumshambulia Seif tena kwa kutumia hoja zisizoendana na mgogoro uliopo CUF sasa. Kwa hali ilivyo, hawa wazee kama akina Lugeye ndio watatumika kuimaliza kabisa CUF iwe sawa na TLP ya Mrema, UDP ya Cheyo, kile cha Dovutwa; na the like. Sioni kama kuna namna CUF itajinasua katika mbinu hizi za kutumia watu waliochoka!

Msibadilishe hoja! Jana Mlitueleza Baraza la Wadhamini halimtambui Profesa Lipumba kwa nini hamkusema Wajumbe wa Baraza la wadhamini kutoka Zanzibar hawamtambui Prof?
Uongo ni kazi rahisi kuueneza ila si kazi rahisi kuutetea
 
Hivi huyo Malebo wa Geita (Mugusu) yuko Cuf kumbe? Hiki kitakuwa chama 5 kuhamia naona wako na aliye wahi kuwa mkuu wa wilaya moja hapa Nchini!! Hao wote ni watu wa njaa toka zamani lazima waiue Cuf.
 
Mara waseme walikua wanne,baada ya kukanwa leo wanakuja kusema walikua sita,taarifa haina tarehe wala saini,inaonesha kabisa imetolewa na Mtatiro,Mtatiro mzuri sana kwenye hekaya kama hizi lakini vitu vidogo sana vinafanya hii statement isiaminike,mbona hawakutuambia haya hiyo jana?
Sefu amekwama safari hii
 
Msibadilishe hoja! Jana Mlitueleza Baraza la Wadhamini halimtambui Profesa Lipumba kwa nini hamkusema Wajumbe wa Baraza la wadhamini kutoka Zanzibar hawamtambui Prof?
Uongo ni kazi rahisi kuueneza ila si kazi rahisi kuutetea
Mkuu Pohamba, sio kubadilisha hoja, binafsi nilitia mashaka sana niliposikiliza wale wazee ITV, angalau press release ya CUF imenisaidia, ngoja tuwapuuze hao akina mzee Lugeye na mashati yao mapyaaaaaaaa, sijui wamenunua leo asubuhi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom