Baada ya Kusoma hizi quotations za wana-CUF kuhusu mafisadi, niliwasiliana na Mzee Edwin Mtei. Mzee Mtei amesema hajapata nafasi ya kusoma matamshi ya Prof. Lipumba, lakini akakiri kwamba anam-respect sana Lipumba as an economist.
Kuhusu ugavana wake wa Benki Kuu, alisema aliteuliwa mwaka 1966 akkanzisha sarafu (currency) ya kitaifa na Benki Kuu yake. Amesema ali-hand over to Charles Nyirabu kama Gavana mwaka 1974. Charles Nyirabu alikuwa ni Deputy Governor wake na sio Bob Makani.
Baada ya BoT, Mtei alikuwa Secretary General wa East African Community mpaka ilipovunjika mwaka 1977 ambapo alirudi Dar es Salaam na kuteuliwa Waziri wa Fedha na Mipango. Mzee Mtei alijiuzulu uwaziri baada ya kutofautiana na bosi wake, Mwalimu Nyerere juu ya sera, hasa za uchumi na fedha. Ndipo alipoanza shughuli za kilimo.\ 1980.
Mzee Mtei ameeleza kwamba alichaguliwa na Magavana wa English Speaking African countries Oktoba 1982 kuwa Executive Director wa International Monetary Fund, na akahamia Washington D.C. mpaka Novemba 1986. Wakati jengo la BoT alilolisimamia likijengwa lilipoungua kwa moto mwaka 1984, alipigiwa simu akiwa huko Washington. Charles Nyirabu ndiye alikuwa Gavana, na Deputy wake alikuwa Bob Makani. Kama CUF au Lipumba wana ushahidi wa wizi au ufisadi kuhusu chanzo cha ule moto, waulekeze kwa waliokuwa na jukumu kuendesha BoT. Wajifunze pia historia ya BoT.
Mzee Edwin Mtei alikuwa Muasisi wa Chadema mwaka 1992 na alikiongoza kama Mwenyekiti Taifa mpaka 1998 alipo-hand over to Bob Makani. Anasema anafarijika sana kuona CHADEMA chini ya uongozi mpya wa vijana jasiri, wabunifu na wazalendo kinakuwa tishio kwa chama tawala. Badala ya CUF kuunganisha nguvu na Chadema ili kuleta demokrasia ya kweli nchini, inaonekana viongozi wake wanabuni hadithi za ufisadi dhidi ya Mzee Mtei, ambaye by any stretch of the imagination, hahusiki.
Mzee Mtei ameniambia kwamba anatafuta hayo magazeti yaliyomnukuu Lipumba ili aone wamemkashifu kiasi gani. Amesema kwamba hana shida na fedha, eti aende kortini ku-sue misguided wana-Mageuzi kama hilo kundi la CUF. Wakimuomba Mzee Mtei msamaha hadharani hiyo itatosha.
Asante sana mkuu, sasa CUF waje waeleze hizo data zao za kupika wamezitoa wapi? Ama nao walilishwa kasa kama god father wao RA alivo lishwa lile la deni la Mengi na NBC?
CUF imeshamwaga mboga ,sasa tuone Chadema wapande majukwaani na sio kupitia magazetini ,kusema huku hawaonekani wamijificha ,eti Jusa na Rostam damdam ,mkisikia maneno yasio kuwa na kichwa wala miguu ndio hayo yanayoanzia na eti nimesikia .
Chadema hivi sasa hawatambuani kwa tuhuma nzito iliyotolewa na Mwenyekiti wa CUF ,na bado mnasubiriwa mtokeze pua tu ,ipigwe mizinga mingine. Yaani hiyo rasharasha tu ya spray sangara mmoja mmoja wameanza kufa.
Pemba mnaweza kufanikiwa haswa ilivyokuwa CHADEMA ni Chama cha ukabila ,si unaona hata yule Mwenyekiti wa Chadema huwa anapendelea sana kuvaa rubega ,akiashiria jambo flani flani.Nitashangaa kama Chadema wataamua ku"stoop so low" eti kujibizana na CUF - I really hope they wont na hivyo kulinda heshima kubwa wanayojijengea na hatimaye kuua ndege wawili kwa jiwe moja. Wakati huo huo CUF kama wataendeleza hiyo mikakati wasije shangaa wakikimbiwa huko Pemba.
Huyo amekutana na Mtei ,Uchochoroni ,sasa hivi mwizi atakubali kirahisi tu ,kuwa yeye ni mwizi,amekwiba na kuchoma moto ,hapa sio sehemu ya kujipozea ,nendeni kwenye majukwaa ya walala hoi muwaeleze ,halafu tuone kama kitaeleweka ,hata wale akina Balali na wenzake waliokuwa hai ,nyimbo zao hazina tofauti na matangazo hayo hapo juu ,ila ukweli unabakia palepale kuwa walihusika na kuliibia Taifa hili.
CUF imeshamwaga mboga ,sasa tuone Chadema wapande majukwaani na sio kupitia magazetini ,kusema huku hawaonekani wamijificha ,eti Jusa na Rostam damdam ,mkisikia maneno yasio kuwa na kichwa wala miguu ndio hayo yanayoanzia na eti nimesikia .
Chadema hivi sasa hawatambuani kwa tuhuma nzito iliyotolewa na Mwenyekiti wa CUF ,na bado mnasubiriwa mtokeze pua tu ,ipigwe mizinga mingine. Yaani hiyo rasharasha tu ya spray sangara mmoja mmoja wameanza kufa.
CUF hamuelewek!!!na kwa ibara hiyo ya kuisakama Chadema badala ya CCM nafikiri mtakwemnda na maji.Huyo amekutana na Mtei ,Uchochoroni ,sasa hivi mwizi atakubali kirahisi tu ,kuwa yeye ni mwizi,amekwiba na kuchoma moto ,hapa sio sehemu ya kujipozea ,nendeni kwenye majukwaa ya walala hoi muwaeleze ,halafu tuone kama kitaeleweka ,hata wale akina Balali na wenzake waliokuwa hai ,nyimbo zao hazina tofauti na matangazo hayo hapo juu ,ila ukweli unabakia palepale kuwa walihusika na kuliibia Taifa hili.
CUF imeshamwaga mboga ,sasa tuone Chadema wapande majukwaani na sio kupitia magazetini ,kusema huku hawaonekani wamijificha ,eti Jusa na Rostam damdam ,mkisikia maneno yasio kuwa na kichwa wala miguu ndio hayo yanayoanzia na eti nimesikia .
Chadema hivi sasa hawatambuani kwa tuhuma nzito iliyotolewa na Mwenyekiti wa CUF ,na bado mnasubiriwa mtokeze pua tu ,ipigwe mizinga mingine. Yaani hiyo rasharasha tu ya spray sangara mmoja mmoja wameanza kufa.
Pemba mnaweza kufanikiwa haswa ilivyokuwa CHADEMA ni Chama cha ukabila ,si unaona hata yule Mwenyekiti wa Chadema huwa anapendelea sana kuvaa rubega ,akiashiria jambo flani flani.
Siasa ni majukwaani na sio magazetini ,na ndio hivyo ndege mjanja ,Chadema akijaribu kujipapatua basi ajue ndio atazidi kunasa ,kama unavyoona hivi sasa Chadema ni kama waliomwagiwa maji ya baridi ,huwasikii ,yaani hizi siku tatu imekuwa kama hawapo ,sasa sijui baada ya kupigwa mzinga ndio wanajiregroup ,maana CUF inaonekana hawatumii mabomu ila mizinga ya masafa marefu ,wamepiga Ikulu ya CCM ,na kufumua cabinet ya Chadema ,sio mchezo.
Ama kweli kimya kingi kina mshindo.
Mwiba,Ama kweli ufisadi mbaya ,yaani CHADEMA wameingizwa ndani ya kapu ,Makada wa CHADEMA hapa JF wamepata kazi ya kujipapatua ila hakionekani wanachokipapatua ni kipi ,sasa baada ya kukanusha wanamsakama Lipumba ,jamani ujumbe ndio huo umefikishwa ,yaani mlizani atasimama pa Kikwete tu kumbe mambo ni mbele kwa mbele.
Yaani mafisadi tunao humu humu ,jamani sasa wajitokeze hapa kupinga hizo shutuma ,akina ZItto,Slaa naona wamezidiwa ,wanashindwa kufahamu kuwa siasa si lelemama.
Sasa wamelipuliwa kabisa ,yaani Majeshi ya CHADEMA yote yamemvaa LIpumba ,yanajaribu kutafuta pa kushika ,hamna, wanabaki kuzunguka papo kwa papo.
Huyu sie ,huyu si profesa ,wakati wa zamani hakuna mitandao ,yaani CHADEMA na wafuasi wao wamechanganyikiwa kweli,hawajui cha kufanya au sivyo ?
Yaani CUF wamelipua lile bomu lenyewe labisa la nyukliya ,sio mchezo ,wachadema wanatafutana.
Mnajua hapa mnakuwa hamna pa kushika ,ukiangalia utaona ni wenywewe kwa wenyewe mnapeana maliwazo na kujalibu kupeana moyo ,lakini ndio hivyo jamaa wamemwaga mboga kabisa ,aisee ,sasa sijui Lwakatale kule watamfanya nini ,kuna tetesi kuwa yeye ndie alikuwa na manyuklia haya na alikwisha kuyatoa kitambo ila alisahau ,sijui watamfanyeje,ila bora wakae kimya maana wakimgusa nae atawalipukia.
Ila kama hapa mpo kama WaTz ambao mmeamua kufanya kweli na mambo ndio yanawekwa hazarani ili kujua lipi bichi na lipi limeiva ,msidumae na kujaribu kuwakosha waliopopolewa ni kuwakimbia kama wenye marazi ya ukoma ,maana wao ni hatari kuliko hao CCM ,ei ndio maana yake ,haina haja ya kutafuta maana ingine ,hao kumbe nao ni mafisadi undercover through CHADEMA ,hiphop leaders ,inafaa wajiuzulu mara moja ili kuisafisha CHADEMA ,hii ni kashfa nzito kwa CHADEMA. Yaani mapigano yao katika medani ya kisiasa ni bure kabisa ,ikiwa tu hizo kashfa walizonadiwa nazo zimewaganda ,hakuna sababu ya wao kubakia kama viongozi wa CHADEMA ,they have to resign .
WAJIUZULU mara moja ,Je utamaduni huo upo TZ ?
Mwiba,
Nadhani ni rahisi sana kuimba wimb wa mafisadi. Sina sababu ya kujitetea kwa lolote, kwa sababu ninajua dhamira ni safi na rekod ni safi, kwa vile hakuna hata moja aliyewahi kuweka hadharani kuwa Slaa ni fisadi, na kutoa "plausible facts". Nimekwisha kusema huko nyuma hakuna anayeshindwa kusema fulani ni fisadi, lakini hao yatabaki "empty words" bila kuwa "substantiated with hard facts and data". Hii ndiyo desturi na utamaduni wa JF kudai daima facts. Hivyo, yeyote mwenye allegation yeyote anakaribishwa dhidi ya wanaoitwa vigogo wa Chadema, provided ataweka "hard facts hadharani". Vinginevyo itabaki kuwa wimbo wa mafisadi, na wengine tuliisha kuvuka hatua hiyo.
Katika hatua nyingine, chama cha CUF kimekituhumu chama kingine cha upinzani cha CHADEMA kuwa ni CCM B. CUF imedai kuwa chama cha CHADEMA kinapiga kelele za ufisadi wakati chenyewe kimejaa ufisadi.
Wakieleza ushahidi wa wazi kuhusu ufisadi wa CHADEMA, viongozi mbalimbali wa CUF wameweka wazi kwa wananchi katika hotuba zao katika mfululizo wa mikutano hiyo kuwa viongozi wa CHADEMA ni mafisadi.
Viongozi hao wa CUF wamesema kuwa CHADEMA imeasisiwa na mafisadi wakina Edwin Mtei na Bob Makani ambao waliiba katika benki kuu na kuchoma benki hiyo ili kupoteza ushahidi.
Viongozi hao wameeleza kwamba hata viongozi wa CHADEMA waliofuata wakina Freeman Mbowe, Dr Slaa na Zitto Kabwe wote wana tuhuma mbalimbali za ufisadi zinazowakabili.
Mkuu Mwiba sasa unaleta mambo ya TAARABU na MIPASHO. Hata hivyo wimbo wako hauna mvuto. Kubali kuwa viongozi wako wamechemka na kujishushia hadhi mbele ya jamii. Huu ni mwaka 2009 na sio miaka ya 70Pemba mnaweza kufanikiwa haswa ilivyokuwa CHADEMA ni Chama cha ukabila ,si unaona hata yule Mwenyekiti wa Chadema huwa anapendelea sana kuvaa rubega ,akiashiria jambo flani flani.
Siasa ni majukwaani na sio magazetini ,na ndio hivyo ndege mjanja ,Chadema akijaribu kujipapatua basi ajue ndio atazidi kunasa ,kama unavyoona hivi sasa Chadema ni kama waliomwagiwa maji ya baridi ,huwasikii ,yaani hizi siku tatu imekuwa kama hawapo ,sasa sijui baada ya kupigwa mzinga ndio wanajiregroup ,maana CUF inaonekana hawatumii mabomu ila mizinga ya masafa marefu ,wamepiga Ikulu ya CCM ,na kufumua cabinet ya Chadema ,sio mchezo.
Ama kweli kimya kingi kina mshindo.
Mwiba,
Nadhani ni rahisi sana kuimba wimbo wa mafisadi. Sina sababu ya kujitetea kwa lolote, kwa sababu ninajua dhamira ni safi na rekod ni safi, kwa vile hakuna hata moja aliyewahi kuweka hadharani kuwa Slaa ni fisadi, na kutoa "plausible facts". Nimekwisha kusema huko nyuma hakuna anayeshindwa kusema fulani ni fisadi, lakini hao yatabaki "empty words" bila kuwa "substantiated with hard facts and data". Hii ndiyo desturi na utamaduni wa JF kudai daima facts. Hivyo, yeyote mwenye allegation yeyote anakaribishwa dhidi ya wanaoitwa vigogo wa Chadema, provided ataweka "hard facts hadharani". Vinginevyo itabaki kuwa wimbo wa mafisadi, na wengine tuliisha kuvuka hatua hiyo.
Mwiba,AHSANTE MKUU,
Natumai uminielewa makelele yangu ,nilihitaji kugonga mlango kwa nguvu ,ili kujua kama mupo ni kweli mpo na umeelewa kina cha mtazamo niliokuwa nao.
Majibu yako ni tofauti kabisa na wapiga debe wengi mlionao hapa JF na kwa kweli si waelewa ,zaidi ya kuwa ni mzigo na wamejitwisha wasichokielewa.
Kwa kweli nimefarijika sana ,kupata maelezo binafsi kutoka kwako ,na hata ile poiti ya mtu kuitwa fisadi huwa haileti maana ikiwa ufisadi wake haujawekwa hadharani na kuuonyesha ni kwa jinsi gani Taifa lilifisidiwa.
Kwa ufupi inaonekana wazi kuwa madai yako ni kutaka CUF waonyeshe huo ufisadi ni upi kwa kuweka ushahidi hadharani , ambao wamewatuhumu viongozi wa CHADEMA. Katika game ya CHESS tunaita hiyo hatua uliyoidai kuwa ni Good Move na ni mtihani kwa CUF.
Ila kitu kimoja ninachoona kuwa itakuwa haitoshi kutuekea hapa peke yake ,itahitajika pia kuielewesha jamii na hivyo kuleta msisimko wa kisiasa.
Pia nimefurahi kuwa hukurusha dongo la dharau kwa Lipumba kama ambavyo imeonekana kwa wapiga debe tuliobahatika kuwa nao hapa na kama lipo basi ni well planned kisiasa litakuwa limeeleweka as empty words.
Natumai wale ambao tupo nao hapa na hawaelewi siasa wataweza kuona ni namna gani ,shutuma ya kisiasa hujibiwa na sio kuleta longolongo kama tulivyoona ,simple ni kumtaka alietoa shutuma hizo kuprove na hapo ingekuwa mwisho na ndivyo mapambano ya kisiasa yanavyokwenda.
Wengi wa wapiga debe wa CHADEMA humu hawaelewi siasa ,wao wanaona kumshambulia mtu kwa maneno ya kejeli ndio siasa na ndio kumshusha mtu katika daraja ya kisiasa ,hawa bado wanahitaji elimu ,ili kuhimili propaganda za kisiasa na si vinginevyo ,maana walikuwa wakihangaika sana katika kumsakama Lipumba kwa lugha za mitaani ambayo hayasaidii katika kujibu tuhuma,niliwagandamiza sana ,kuwa mzinga umepigwa na ndio umevuruga wakati jibu lilikuwa rahisi sana ,jibu lilikuwa ni neno moja nalo ni kudai Ushahidi kama ambavyo umedai.
Yaani hata mwanachama wa CHADEMA au hata CUF kwenyewe anaweza kusimama kwenye mkutano wa CUF na kuulizia ..Mwenyekiti ulisema WaChadema wanahusika na ufisadi tunaomba ushahidi wa vielelezo ! Itakuwa ni zamu ya CUF kujipapatua kama ni kusuka au kunyoa hapo itakuwa mwanzo ,lakini kusema longolongo za ajabu ajabu dhidi ya Mwenyekiti wa CUF badala ya kujibu mapigo ni udhaifu.
Zaidi natoa ahsante nyingine, na kuwapa pole wale waliokuwa wakikimbilia wasikokujua.
Mapambano yanaendelea.
haha haha...Miwba,
Mkuu wangu ni lazima ukubali kwamba Lipumba amechemsha na wala sii kidogo.. kibaya zaidi hakuanza jana, muda sasa hivi anazungumza vitu ambavyo havilingani na elimu yake..Yawezekana alipeta sana mchele alokuwanao kabakia na pumba..Kupeta mpunga kunahitaji ujuzi, laa sivyo mchele wote unaweza ishia chini mchangani na ukabakia na pumba ktk ungo - ndicho anachokifanya mkulu wetu..